UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Usi take advantage ya kutokuwepo kwa mabandiko yenye utafiti ili kuweka uongo wa kitoto kama huu wa kwako.
Maandiko hukanushwa kwa maandiko na sio vinginevyo,

Ili uwezi kukabiliana na nilichokiweka ni lazime upinde mgongo kuusaka ukweli,

Zaidi ya hapo utaumia roho tu bure bila kuijibu hoja ya msingi
 
Maandiko hukanushwa kwa maandiko na sio vinginevyo,

Ili uwezi kukabiliana na nilichokiweka ni lazime upinde mgongo kuusaka ukweli,

Zaidi ya hapo utaumia roho tu bure bila kuijibu hoja ya msingi

Ungekuwa umetoa hoja inayohitaji hoja, ningetoa lakini wewe huna hoja uliyotoa bali ni bandiko la uongo ambalo nimekuonesha ni kiasi umepotoka. Ungekuwa muungwana ungekaa kimya badala ya kuanza kujnibu usichokijua. Muungwana akivuliwa nguo huchuchumaa. Nawe ficha aibu kwa kukaa kimya.
 
Maandiko hukanushwa kwa maandiko na sio vinginevyo,

Ili uwezi kukabiliana na nilichokiweka ni lazime upinde mgongo kuusaka ukweli,

Zaidi ya hapo utaumia roho tu bure bila kuijibu hoja ya msingi
Wewe unasema Dar es Salaam kuna watu 5.1 Milioni sijui umeipata wapi hii data, soma hii hapa chini.
The City of Dar es Salaam (Arabic: دار السلام‎ Dār as-Salām , literally "The abode of peace"), formerly Mzizima, is Tanzania's largest and richest city, serving as a regionally important economic centre. The city is located within the Dar es Salaam Region, an administrative province within Tanzania, and consists of three local government areas or administrative districts: northern Kinondoni, central Ilala, and southern Temeke. The Dar es Salaam Region had a population of 4,364,541 as of the official 2012 census.
Ngoja tukusome na wewe hapa chini...
Mkuu wangu,

Nikujuze tu kuwa mpaka mwezi uliopita yani mwezi wa nane, Dar es Salaam ilikuwa inakadiriwa kuwa na wakaazi 5.1 milioni,
Teh teh teh teh.....hauna ushahidi wowote zaidi ya maneno matupu halafu unaita utafiti.
 
Haihitaji kuwa mtaalamu wa hesabu ndipo ubaini nichokusudia,

Ukiangalia hata kwa jicho la mbali tu utabaini kuwa uchumi wa nchi hii kwa kiwango fulani umweshikwa na watu gani,

Amini amini nakuambia..waislam bila kublack mail serikali , hawawezi sustain huo uchumi walioshikilia....subiri JK atoke.....halafu nchi ishikwe na mtu mwingine..watakao survive ni wale waliojenga mitaji mikubwa sana na aina ya business wanayofanya inawateja wengi wakristu ambao watapush forward sustainability...
 
Dar es Salaam, haina watu milioni 5.1.

Sijui hizi data zako unaziokota wapi.

Dar es Salaam kuna wakazi 48,261,942. Hizi data kutoka serikalini.

mill 48,261,942.....ni figure ya makadirio ya nchi nzima wewe kijana...na every second Idadi ya watu inabadilika haraka sana kutegemeana na rate iliyo sawa na difference ya wanaozaliwa, wanaokufa, wanahama na kuhamia kwa kubadili uraia.

Dar es Salaam ilikuwa inacheza na watu kati ya 5mil na 10mil na inaweza kuwa imezidi..ila data za Yericho no za watu ambao walipatikana na kuhesabiwa.....duh kwa hiyo figura unayotaka niw azi haukustahili ktk huu mjadala.
 
Wakristo hamna hoja juu ya ukweli huu wa mfumo kristo,raisi jk aliwahi kusema kuwa wakristo wanapewa fedha za kuendesha taasisi zao kama hospital ,shule,nk unafikiri wasilam hawajuwi wewe subiri tu kitanuka.

JK alisema halafu haku clarify ili asiwaudhi kwa kuondoa mnalopenda sikia....ndio maana Lema hadi Kesho anasema JK ndie mwanzilishi wa Udini......

Kinuke kwa lipi sasa.....mlitaka muende hospital za wakristu bure kutibu mabusha..,sukari, pressure na magonjwa mengine ya kula vibaya?

Kwanza Hata hiyo hela serikali inayotoa waislam wana michango kidogo sana....akina manji, mohamed more, bkhresa, wana misamaha kibao....waislam wengine ndio wauza mirungi, unga, vitumbua, uganga, restaurant za kwenye kona, kuuza misahafu, kanzu, tende etc vitu ambavyo havina kodi....wakristu wanalia kodi kubwa, bia na sigara, nyingine ni misaada ya Mataifa makubwa na mashirika ya dini(ambayo ni kodi za wakristu wa hayao mataifa na Sadaka za makanisani).

JK hawezi waamabia haya kwa vile uwezo wake kiakili Kagame anaweza usema vyema....waislama bado sana kuweza ishi wenyewe ktk hii dunia bila kukata mti mlioukalia.
 
ndio maana nika kwambia nyie ni viziwi na vipofu kwenye kaumu ya kuchangia tu. kweli naogopa najisi ya ukiristo ili nisije kuwa kama wewe mtu wa kupiga kelele na kuhubiricha bwana wakati waislamu hapa hapa Tanzania wanaendelea kuwa mbweana zenu

Huo uziwi na upofu mnaofundishwa ni kifungo chenu cha kifikra...sasa km ni viziwi na vipofu mbona mpe busy kulalamika....?

Huo ubwana mbona hamuufaidi sasa km mnadhani mmeshakuwa mabwana....ni desire ya uislam kutawala wengine,kutumia vurugu na ubabe km hooligans..ila ni kukosa maarifa na rehema ya Mungu ndipo huwageuza na kuwaacha kichwa chini miguu juu..ndipo wanaanza lia sijui tulikuwa tunaongoza kwa wasomi, sijui kwa taaluma wapi..Mtaenda shule sana lakini kuelimika ni kugumu sana...always mtakuwa na wrong choices ambazo kwa muda mfupi tuu mnajikuta mpo down.

Ilikuwa ni brilliancy ya Nyerere ndipo alipoona kuwa uhuru unaweza patikana bila vita, na nini ch akufanya akawakusanya waislam waliokuwa wamegawanyika huku wengine wakipewa rushwa na mzungu, wengine wakiwa wametawaliwa na wenzao wa Kenya kupitia Taasisi ya kiislam ya E africa.Nyerere akawaonyesha nini cha kufanya,huku akijua alihitaji wingi wa watu ili kuwathibitishi wazungu kuwa watanzania wapo tayari, waislam walikuwa kutaka wapewe Bure ndipo wakubali uhuru....wakapewa bure ambayo Nyerere hakuwa na nayo zaidi ya kuchukua mali za wakristu na kuwamwaga waislam bwerere km waingiapo ktk biriani ya Maulidi.....Kukataa uhuru na kutaka "bure" ilikuwa ni kitu cha kijinga sana ktk fikra za waislam, km ilivyo ktk sensa.......waislam hawawakua wavumilivu ingawa walijua Nyerere haku na hela wala serikali yenye hela, na hata walipoona shule za wakristu zikichukuliwa hawakujifunza wala kujali kwa vile kwao hakuna haramu km kimechukuliwa kwa kafiri...what a twisted theology?
 
ama kweli kipofu kiziwi nia kaitka kaumu ya matatatizo. bila ya aibu eti anasema ukitaka kuongokewa katika biashara fuate nyao za kikrosto lakini wakati akijua kuwa hata top 5 ya taycoons wa tanzania ni waislamu. uchumi wa Tanzania uko kwenye mikono ya waislamu.
Ukiristo ni dini ya mwituni Tanzania. Hapa kwetu hata ukiomba maji basi hupewi kwenye gilasi na ukibahatika basi glasi hiyo itaoshwa kwa maji ya moto na JIK baada yakuitumia kafiri

Haha....tonatofautiana san ktk analysis a vitu....wafalme wa uarabuni wana hela nyingi sana za kufuru ila at the end of the day wamezungukwa na masikini wa kufa mtu......Umewahi jiuliza akina manji, karamagi, hata Bakheresa contribution yao ktk jamii si tuu ya watanzania au hata ya kiislam na kodi ktk uchumi wa nchi?NImekuuliza muulize bakhresa km angewauzia waislam pekee (wauza chapati) na maandazi angeuza chapati ngapi...?

Hiyo kuosha glass na JIK ni kuonyesha ujinga wako kiakili...JIK si salama kwa afya km wewe unadhani unasafisha something is wrong in your head and mindset.

Ukristu si dini wala hautokuwa dini .Ukristu ni "Neno ", Ukristu ni "Habari Njema" habari haiwezi kuwa utamaduni....NI HABARI YA UKOMBOZI.....UISLAMA NI HABARI YA KUJISALIMISHA.....WANAJISALIMISHA WALIOSHINDWA KTK VITA....NA BAADA YA KUJISALIMISHA WANASUBIRI HURUMA YA ADUI AU MHUKUMU WAO....UKRISTU NI UMASIHI..MASIHI NI MPAKWA MAFUTA..MPAKWA MAFUTA NI MTU ALIYEKWISHA APISHWA NA KUPEWA MILKI....so shetani aliyekufundisha kwa kupindisha maneno hajakosea sana..ila hakumalizia kwanini ukristu si dini..alijua ubongo wako hautoshi kung`amu mengi.....

Yesu ahatofunga foleni na mohamed ktk hukumu......YESU ni Neno la Mungu alilottumw amalaika kwa Maria, Neno La Mungu linaumba,Neno La Mungu linaishi ,Yesu aliumba alifufua, aliponya kwa vile yeye ni uhai wenyewe...na hakutaka dini kwa vile dini ni utamaduni wa watu duni wanahitaji teseka sana wakimtafuta Mungu..Wakristu Mungu aliwajia...

"Kasome Quran vyema uone Nguvu ya Neno la Mungu ....Nakumbusha "NENO-THE WORD"" Mungu hana meneno ...Mungu ni Mmoja Neno lake ni Moja...Neno Lake Lina Nguvu ya Mungu....Yesu Ni Roho Ya Mungu...Roho ya Mungu ni Mungu ..Kwani ina Nguvu za Mungu......Nadhani Baada ya hapo utajifunza kwanini Islam will never be as powerful as Christianity.....Injil itabaki kuwa na Nguvu sana na Itajilinda yenyewe mbele ya Mataifa bila vita.

Uislam hauna hata nguvu ya kukimbiza majinn achilia mbali "kuliishi Neno la Mungu"..kamuulize shekhe wako km kuna muislam anayeweza kimbiza Jinn....only kuwatuliza.
 
Wewe unasema Dar es Salaam kuna watu 5.1 Milioni sijui umeipata wapi hii data, soma hii hapa chini.

Ngoja tukusome na wewe hapa chini...
The City of Dar es Salaam (Arabic: دار السلام‎ Dār as-Salām , literally "The abode of peace"), formerly Mzizima, is Tanzania's largest and richest city, serving as a regionally important economic centre. The city is located within the Dar es Salaam Region, an administrative province within Tanzania, and consists of three local government areas or administrative districts: northern Kinondoni, central Ilala, and southern Temeke. The Dar es Salaam Region had a population of 4,364,541 as of the official 2012 census.

Teh teh teh teh.....hauna ushahidi wowote zaidi ya maneno matupu halafu unaita utafiti.

Haha Ritza unajua wewe ni mwehu sana......5.1mil mwaka huu 2013 na 4,364,541 as of the official 2012 census kuna mkinzano gani?watu wanaongezeka....aisee hayo majinn uliyo nayo yanakuonyesha nyota km wale watoto wa madrassat wakiingia ktk ilm dunya.
 
ama kweli kipofu kiziwi nia kaitka kaumu ya matatatizo. bila ya aibu eti anasema ukitaka kuongokewa katika biashara fuate nyao za kikrosto lakini wakati akijua kuwa hata top 5 ya taycoons wa tanzania ni waislamu. uchumi wa Tanzania uko kwenye mikono ya waislamu.
Ukiristo ni dini ya mwituni Tanzania. Hapa kwetu hata ukiomba maji basi hupewi kwenye gilasi na ukibahatika basi glasi hiyo itaoshwa kwa maji ya moto na JIK baada yakuitumia kafiri

Dah! Kweli waarabu na wazungu wamefanikiwa sana kutugawa.
 
Hakuna ukweli hapo. Utafiti mzima ni upuuzi mtupu. Walipa kodi wakubwa wa nchi hii ni waislam. Makampuni ya Bakhressa pekee yana mchangowa mabilioni katika kodi bila kuwajuisha makampuni ya mafuta ambayo % kubwa yanamilikiwa na waislamu. Kama huu ndio utafiti unaonyesha namna tulivyoshindwa kila pahali

Kukusaidia tuu TBL na TCC ndio walipa kodi no moja.......yaani bia na Sigara/na vileo vingine na wala si chai..ndio vinaongoza..Bakhresa ana dili na hivyo vitu..?Bakhresaa na akina manji wametumia sana mfumo islam kutolipa kodi kabisa..ktk maeneo mengi..kaulizie kodi anayolipa na ukubwa wa makampuni km hutampiga JK risasi.
 
asante kwa utafiti makini keep it up.
Teh teh teh teh, magari mabovu yanavutana, jamaa yako alipeleka huu utafiti wake kule Wavuti hana hamu kakutana na za uso, ndiyo kisa cha yeye kufanya editing kwenye bandiko lake alikutana na mtu wa shoka hebu soma hii chini hapa.
Utafiti Feki!!! I am also a researchers, lakini ktk kuchambua "methodology" uliyotumia, tayari nakupa sifuri, kwani wapo wakristu/waislam kwa MJAINA lakini nafsi/roho zao tofauti.

Lingine naomba niambatanishe MCHEMSHO wa data zako kwa nukuu ifuatayo:
Mkoa wa Dar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 120,032, kati yao 111,231 ni Waislamu, na 8801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!

Mkoa wa Mbeya mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 76,136, kati yao 25,621 ni Waislamu, na 8801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!

Utaona data ya "8801 ni Wakristu" inajirudia kwa DSM na Mbeya. Huu ni uongo, ukiwa unatafiti kwa kupika data, utagundulika tu, kama ambavyo DSM na Mbeya kuwa na data inayofanana, HAIWEZEKANI, hizi data ulifjifungia chumabni ukazipika.

Yericko Nyerere, alivyokuwa mtupu kichwani bila aibu amechukua majibu ya huyu mtu na kuyaweka kwenye bandiko lake, teh teh teh...angalia haya majibu halafu angalia juu kwenye bandiko lake.

CC; THE BIG SHOW FaizaFoxy Ally Kombo, kahtaan,
 
Last edited by a moderator:
Huo uziwi na upofu mnaofundishwa ni kifungo chenu cha kifikra...sasa km ni viziwi na vipofu mbona mpe busy kulalamika....?

Huo ubwana mbona hamuufaidi sasa km mnadhani mmeshakuwa mabwana....ni desire ya uislam kutawala wengine,kutumia vurugu na ubabe km hooligans..ila ni kukosa maarifa na rehema ya Mungu ndipo huwageuza na kuwaacha kichwa chini miguu juu..ndipo wanaanza lia sijui tulikuwa tunaongoza kwa wasomi, sijui kwa taaluma wapi..Mtaenda shule sana lakini kuelimika ni kugumu sana...always mtakuwa na wrong choices ambazo kwa muda mfupi tuu mnajikuta mpo down.

Ilikuwa ni brilliancy ya Nyerere ndipo alipoona kuwa uhuru unaweza patikana bila vita, na nini ch akufanya akawakusanya waislam waliokuwa wamegawanyika huku wengine wakipewa rushwa na mzungu, wengine wakiwa wametawaliwa na wenzao wa Kenya kupitia Taasisi ya kiislam ya E africa.Nyerere akawaonyesha nini cha kufanya,huku akijua alihitaji wingi wa watu ili kuwathibitishi wazungu kuwa watanzania wapo tayari, waislam walikuwa kutaka wapewe Bure ndipo wakubali uhuru....wakapewa bure ambayo Nyerere hakuwa na nayo zaidi ya kuchukua mali za wakristu na kuwamwaga waislam bwerere km waingiapo ktk biriani ya Maulidi.....Kukataa uhuru na kutaka "bure" ilikuwa ni kitu cha kijinga sana ktk fikra za waislam, km ilivyo ktk sensa.......waislam hawawakua wavumilivu ingawa walijua Nyerere haku na hela wala serikali yenye hela, na hata walipoona shule za wakristu zikichukuliwa hawakujifunza wala kujali kwa vile kwao hakuna haramu km kimechukuliwa kwa kafiri...what a twisted theology?

Ukiwaeleza ukweli huo unageuka kuwa adui yai
 
Yericko uliahidi kuwa ukiamka utakuja tuongee numbers naona umeingia mitini na sasa umejikita kwenye "kusutana".

Njoo hapa tuongee numbers, ili ujiridhishe kuwa "utafiti" wako ni porojo za kijiweni.

Umesema Dar kuna watu mil. 5.1. Tukubaliane na takwimu hiyo, na wala sitakuuliza source.

Sasa jibu swali hili kwanza ili tuwekana sawa kwa numbers, kwa sababu utafiti ni numbers.

Je, ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar wako kwenye umri wa kuajiriwa/kufanya kazi? Hii ni kumaanisha kutoa walio chini ya miaka 18 na walio zaidi ya miaka 65 ikiwa ni pamoja na walio mashuleni (sekondari na vyuo).

Makadirio niliyo nayo yanaonyesha walio nje ya umri wa kufanya kazi ni zaidi ya asilimia 50 na mimi huwa ninatumia asilimia 50 kama makadirio ya walio nje ya umri wa kufanya kazi. Je, unakubaliana na makadirio haya? If not, je wewe makadirio yako ni asilimia ngapi? Kwa vile hii ni data muhimu katika "utafiti" wako sitarajii useme kuwa huna takwimu hizo.

Tuanze na swali hili halafu hatua kwa hatua utajiridhisha jinsi ulivyojaa porojo za vijiweni kama ile hadithi yako ya Lebanon.
 
Kukusaidia tuu TBL na TCC ndio walipa kodi no moja.......yaani bia na Sigara/na vileo vingine na wala si chai..ndio vinaongoza..Bakhresa ana dili na hivyo vitu..?Bakhresaa na akina manji wametumia sana mfumo islam kutolipa kodi kabisa..ktk maeneo mengi..kaulizie kodi anayolipa na ukubwa wa makampuni km hutampiga JK risasi.
Vipi makampuni ya madini [h=3]Barrick Gold [/h]hayamo?
 
Yericko uliahidi kuwa ukiamka utakuja tuongee numbers naona umeingia mitini na sasa umejikita kwenye "kusutana".

Njoo hapa tuongee numbers, ili ujiridhishe kuwa "utafiti" wako ni porojo za kijiweni.

Umesema Dar kuna watu mil. 5.1. Tukubaliane na takwimu hiyo, na wala sitakuuliza source.

Sasa jibu swali hili kwanza ili tuwekana sawa kwa numbers, kwa sababu utafiti ni numbers.

Je, ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar wako kwenye umri wa kuajiriwa/kufanya kazi? Hii ni kumaanisha kutoa walio chini ya miaka 18 na walio zaidi ya miaka 65 ikiwa ni pamoja na walio mashuleni (sekondari na vyuo).

Makadirio niliyo nayo yanaonyesha walio nje ya umri wa kufanya kazi ni zaidi ya asilimia 50 na mimi huwa ninatumia asilimia 50 kama makadirio ya walio nje ya umri wa kufanya kazi. Je, unakubaliana na makadirio haya? If not, je wewe makadirio yako ni asilimia ngapi? Kwa vile hii ni data muhimu katika "utafiti" wako sitarajii useme kuwa huna takwimu hizo.

Tuanze na swali hili halafu hatua kwa hatua utajiridhisha jinsi ulivyojaa porojo za vijiweni kama ile hadithi yako ya Lebanon.
ZeMarcopolo,

Huu mtihani mgumu sana hakuna majibu zaidi porojo.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Yn acha kupotosha watu eitha kwa kutokujua ama kwa makusudi.....Watu wanaposema mfumo Kristo hawamaanishi idadi ya watu aliopo seeikalini la hasha.......Wanazungumzia maamuzi ya upendeleo kwenye Dini moja (ukristo ) haijalishi wanaofanya Hiyo maamuzi ni Wa Dini gani..........Hivyo utafiti wako umejaa mbegu ya chuki hasa kwenye mambo ya Dini ......Nakushauri kama kweli unataka kufanya utafiti wako jikite kupata ukweli ya kuwa kuwa Dini inapendelewa? kwa njia zote BAHATI Dini zingine zikipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa? halafu leta majibu ya utafiti wako........Vinginevyo umejificha uso mwili unaonekana...........
 
Ndugu Yn acha kupotosha watu eitha kwa kutokujua ama kwa makusudi.....Watu wanaposema mfumo Kristo hawamaanishi idadi ya watu aliopo seeikalini la hasha.......Wanazungumzia maamuzi ya upendeleo kwenye Dini moja (ukristo ) haijalishi wanaofanya Hiyo maamuzi ni Wa Dini gani..........Hivyo utafiti wako umejaa mbegu ya chuki hasa kwenye mambo ya Dini ......Nakushauri kama kweli unataka kufanya utafiti wako jikite kupata ukweli ya kuwa kuwa Dini inapendelewa? kwa njia zote wakati Dini zingine zikipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa? halafu leta majibu ya utafiti wako........Vinginevyo umejificha uso mwili unaonekana...........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom