UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Heshima mbele Mkuu Yericko Nyerere, naona umetafiti zaidi kwa kuangalia mfumo wenyewe au majina/imani ya walio kwenye nafasi fulani? Kama lengo lilikuwa takwimu za wangapi wako wapi, basi umethibitisha madai ya wale jamaa kuwa wao ni wengi zaidi kwenye sensa, vinginevyo ungekwenda mbali zaidi ukatafiti mfumo wa uchumi na utawala ambao kiuhalisia umerithiwa toka kwa waliotutawala.
 
Nakupa tano

At least umekiri kuwa Bure ndio mnayotaja..Jizya....Ndio maana nimekuambia waislam bila wakristu na wasio waislama hali yao ni ngumu sana.Kuanzia thailand, china, phillipines mataifa ya magharibi etc.....km uchumi hauna balance ya kuwapa bure..kazi ipo..ukingalia uvunaji wa wanyama pori ulivyo na waislam wengi, madawa ya kulevya..NSSF, na vitengo fulani vinavyoweza nyonya fresh nutrients ni wazi hawa jamaa ni mzigo....hata wenye nyumba mjini ambao huacha matatizo mengi ktk miradhi kwa uzaow ao kugombania.
 
Wakristo hamna hoja juu ya ukweli huu wa mfumo kristo,raisi jk aliwahi kusema kuwa wakristo wanapewa fedha za kuendesha taasisi zao kama hospital ,shule,nk unafikiri wasilam hawajuwi wewe subiri tu kitanuka.

Kama sio muelewa hata nikeshe nikikufunza kamwe hutanielewa,

Hebu soma bandiko langu hapo juu nililokufundisha ukweli wa MoU
 
nyie hamuelewi wanachomaanisha wanaosema mfumo Kristu unatawala. wanamaanisha kuwa ile katiba unaiweka pemben unachukua Quran tukufu ndio unaitumia kuendeshea nchi. wakukatwa mkono wakatwe na wakupigwa mawe wapigwe ndio watajiona mfumo Islam unatawala.
 
Sasa kwanini usimwambie na wewe mama yako aka asisi mfumo wake...kama una data za kwako au za hao wanao dai mfumo kristo na kwakuwa ni bwana zako waombe watuwekee hapa siyo kuja na kejeli za kipumbumbavu ukidhani kijeli unaziweza wewe tu...

Crashwise should crash wisely, by the way nimekeleka km wewe
 
Heshima mbele Mkuu Yericko Nyerere, naona umetafiti zaidi kwa kuangalia mfumo wenyewe au majina/imani ya walio kwenye nafasi fulani? Kama lengo lilikuwa takwimu za wangapi wako wapi, basi umethibitisha madai ya wale jamaa kuwa wao ni wengi zaidi kwenye sensa, vinginevyo ungekwenda mbali zaidi ukatafiti mfumo wa uchumi na utawala ambao kiuhalisia umerithiwa toka kwa waliotutawala.

Mkuu nimepokea heshima hiyo, na ninairudisha kwako maalim,

Kwanza dhana ya nani wengi zaidi nchini haina mashiko na haina uhatari wowote,

Nilichotaka kujua ni kelele za mfumo kristu katika ardhi ya Tanzania,

Viashiria vya kutambua kama mahali pana mfumo futani unaoongoza hapo kimoja wapo na cha kwanza ni hiki nilichokifanya,

Kwanza tujue nani anamiliki uchumi wa nchi, siasa, nk,

Pale mwanzo kabisa nimetoa ufafanuzi wa maana halisi ya mfumo kristu, nimesema hivi:

Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu
 
Last edited by a moderator:
nyie hamuelewi wanachomaanisha wanaosema mfumo Kristu unatawala. wanamaanisha kuwa ile katiba unaiweka pemben unachukua Quran tukufu ndio unaitumia kuendeshea nchi. wakukatwa mkono wakatwe na wakupigwa mawe wapigwe ndio watajiona mfumo Islam unatawala.
Hahahaa tuombe Mungu Tanzania isifike huko, ibaki kama ilivyo
 
Huu utafiti wako sijui umeufanya wapi naona umejaa maneno matupu bila ushahidi wowote wa kitakwimu kutoka kwenye vyanzo mbali mbali...
Jiji la Dar limekumbatia wanasiasa 521,556 ambao huendeshea shughuli zao za kisiasa Dar tu, niliowahoji imani zao za kiroho ni 360,001 kati ya hawa 270,823 ni waamini wa Uislamu na 89,100 ni waamini wa Ukristu huku 72 ni waamini wa imani zingine na 6 ni waamini wa Urasta fari.

Kundi la wanasiasa lililobaki nilitumia kigezo cha majina yao japo kina akisi kwa 98% tu ya ukweli wao!
Hapa unatueleza tu kienyeji hausemi hao wanasiasa uliwahoji maeneo yapi, hauna hata mfano mmoja ni wanasiasa wa aina gani uliowahoji japo kwa majina machache.
Zanzibar ina wanasiasa 682 wanaohudumu katika siasa ndani ya mamlaka hiyo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 123 kati yao 120 ni waamini wa Uislamu na 2 ni waamini wa Ukristu huku watu 1 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.
Nadhani hawa ni wachache ingekuwa vizuri ungetutajia majina yao.
Kwamjibu wa takwimu zilizopo Wizara ya Utumishi na ambazo mimi nimetzitumia kama rejea kuu ni kuwa,

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wafanyakazi 876,981, kati yao 492,238 ni Waislamu, wakati 384,700 ni Wakristu na 43 ni wa dini nyinginezo!
Hapa naona unazidi kuzama kwenye tope zito na hizi tafiti zako haiwezekani Dar es Salaam, ofisi za serikali ziwe na Waislam 492,238 halafu Wakirsto 384,700.
Mwezi wa 7 mwaka 2012 Zanzibar ilikuwa na wafanyakazi 113,206, kati yao 113,001 ni Wakrstu, wakati 205 ni Waislamu na 0 ni wa dini nyinginezo

Hebu soma chini hapa majibu ya serikali bungeni.
SERIKALI imesema haina idadi kamili ya wafanyakazi wa upande wa Zanzibar ambao wanafanya kazi ndani ya Muungano.
Mbali na hilo, serikali pia haina takwimu zinazoonyesha idadi ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma nje ya nchi.
Hayo yalibainishwa bungeni jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum, Mariam Msabaha (CHADEMA).
Katika swali lake, mbunge huyo alitaka kujua ni Wazanzibar wangapi wameajiriwa katika sekta za Muungano na ni wangapi wanaosoma masomo ya juu ndani na nje ya nchi kwa mwaka 20110/2011.
Akiendelea kujibu swali hilo, Waziri Suluhu alisema takwimu zinazoweza kupatikana ni zile zinazoonyesha idadi ya wafanyakazi wote katika idara ya Muungano pamoja na wanafunzi wote wa Tanzania walioko ndani na nje ya nchi.
Alisema masuala haya yanashughulikiwa na sekta ya utumishi wa umma na sekta ya elimu ya juu ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu utafikiti mwingine tena.
Eneo la Kariakoo ambako kunamkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara na biashara zao kulitoa picha stahiki za utafiti wangu,
Kariakoo na viunga vyake pekee nilitembelea maduka 489,125, kati ya hayo 312,568 yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, na maduka 176,500 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Ukristu wakati maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine
Huu utafiti una vituko vingi sana, kariakoo nzima kuna maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine, wakati Wakinga wamejaa kariakoo na wengi wao hawana dini kabisa.

Cc: THE BIG SHOW CHAMVIGA, ZeMarcopolo,
 
Last edited by a moderator:
Nimehuzunika sana kuona huu nao unaitwa Utafiti,Labda kwa kuwa Lugha yetu ni finyu kwenye Misamiati, Mtafiti huyu kashindwa kwanza kabisa Mwanzo wa Utafiti wake kwa kuanza kukejeli eti ' wanaoimba Wimbo huu wa Mfumo Kristo walishindwa kutoa majibu Mujarrab' Vitabu kadhaa vimeandikwa kikiwemo cha Pdri Sivalon akieleza Nafasi ya kanisa Tanganyika, Professor Hamza Njozi kaandika 'The Killing of Mwembe chai and Political future of Tanzania', Tape, Hotuba za Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam wameeleza kwa kirefu sana.

Hata kama huamini ulipaswa kupitia na kuweka hoja zao ili Upate 'Lacuna' Gap ambalo litakufanya Uanze Reserach, Sasa umekwepa Hoja zao halafu umekimbilia kuweka majibu yasiyo na Maswali, Hospital za Mkoa za Serikali Hazina X-ray halafu unasifia Serikal kupeleka Pesa kanisani kununua X ray tena hizo fedha hazina ukaguzi wa serikal kujiridhisha na Matumizi yake.

Mara zote Serikal imekuwa Mlalamikaji kwenye madai yanayoitwa Kashfa dhidi ya Dini Kikristo wakati kesi ya Madai haihusu Serikali na wapo Waislam walikwishapigwa Risasi,kufa kufungwa kwa kukana Mungu wa Kikristo lakin hakuna hata kesi moja ya Wakrsito wakipinga Uungu wa Allah au miungu ya Asili.

Tangu kuanzishwa NECTA haina tofauti na Parokia halafu Waislam hawaruhusiw kuhoji ila ni Halali wakristo kuhoji wingi wa Waislam kwenye Tume ya Katiba, serikal zote Tangu Uhuru zimekuwa zikifanya madudu japo kwa kiwango Tofauti ila 'Mtafiti' Mwenyewe ni Shahidi Kanisa hupaza Sauti kutikisa na kukashifu na kukosoa Serikal pale tu Rais anapokuwa si Mkatoliki, kama anabisha atueleze Kauli za Kanisa kumkosoa Nyerere au Mkapa japo kuna Madudu mengi tu katika Tawala zao, unapozungumzwa Mfumo ni Mpaka Fikra kiasi kwamba leo Ofisi ikiwa na Idad walau 40% ya Waislam huitwa Udini kwa kuwa si mazoea, NSSF kila siku inaitwa kuna Udini lakin tukiomba data za Idad ya waislam na Wakristo huingia mitini kama ile 64% ya wakrsto wakat wa sensa.

Nachokushauri Soma Vizuri Resercha Methodology and Technique and Tactics za Reserch ili uweze kufahamu Maana ya Reserch maana vitu kama hivi kuonekana Jukwaa la Brilliant eti ni Utafiti wa Greatthinkers unatudhalilisha hata kama ulihoji watu kweli kwa kiwango hicho japo ni Ngumu kumeza!
 
nyie hamuelewi wanachomaanisha wanaosema mfumo Kristu unatawala. wanamaanisha kuwa ile katiba unaiweka pemben unachukua Quran tukufu ndio unaitumia kuendeshea nchi. wakukatwa mkono wakatwe na wakupigwa mawe wapigwe ndio watajiona mfumo Islam unatawala.

yeah upo sahihi...
wanasema katiba ni ukafiri so sharia na suna ndio zitawale
 
Huu utafiti wako sijui umeufanya wapi naona umejaa maneno matupu bila ushahidi wowote wa kitakwimu kutoka kwenye vyanzo mbali mbali...

Hapa unatueleza tu kienyeji hausemi hao wanasiasa uliwahoji maeneo yapi, hauna hata mfano mmoja ni wanasiasa wa aina gani uliowahoji japo kwa majina machache.

Nadhani hawa ni wachache ingekuwa vizuri ungetutajia majina yao.

Hapa naona unazidi kuzama kwenye tope zito na hizi tafiti zako haiwezekani Dar es Salaam, ofisi za serikali ziwe na Waislam 492,238 halafu Wakirsto 384,700.

Hebu soma chini hapa majibu ya serikali bungeni.

Huu utafiti una vituko vingi sana, kariakoo nzima kuna maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine, wakati Wakinga wamejaa kariakoo na wengi wao hawana dini kabisa.

Cc: THE BIG SHOW CHAMVIGA, ZeMarcopolo,

Karibu sana mkuu Ritz,

Utafiti wangu nimeeleza mahali nilipopita,

Hapo chini umeweka taarifa ya waziri akilieleza bunge,

Hilo siwezi kumpinga lakini mimi namuambia yeye na wewe kuwa mimi nimepata takwimu hizo
 
Last edited by a moderator:
Katika hao waislam wenye ajira karibu wote ni MADEREVA na WALINZI,kazi za uofisa ni za wakristo!OKEY kutokana na data zake hapo yaonekana waislam kuwa 50%ktk idadi ya watu,inakuaje msiseme wapo 30%?ungetoa na idadi ya wanaomaliza vyuo vikuu,ufundi tungejua tatizo lipo wapi!ila kwenye biashara ndio limekua kimbilio la waislam kama mbadala wa ajira
 
Nimehuzunika sana kuona huu nao unaitwa Utafiti,Labda kwa kuwa Lugha yetu ni finyu kwenye Misamiati, Mtafiti huyu kashindwa kwanza kabisa Mwanzo wa Utafiti wake kwa kuanza kukejeli eti ' wanaoimba Wimbo huu wa Mfumo Kristo walishindwa kutoa majibu Mujarrab' Vitabu kadhaa vimeandikwa kikiwemo cha Pdri Sivalon akieleza Nafasi ya kanisa Tanganyika,Professor Hamza Njozi kaandika 'The Killing of Mwembe chai and Political future of Tanzania', Tape, Hotuba za Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam wameeleza kwa kirefu sana, Hata kama huamini ulipaswa kupitia na kuweka hoja zao ili Upate 'Lacuna' Gap ambalo litakufanya Uanze Reserach, Sasa umekwepa Hoja zao halafu umekimbilia kuweka majibu yasiyo na Maswali, Hospital za Mkoa za Serikali Hazina X-ray halafu unasifia Serikal kupeleka Pesa kanisani kununua X ray tena hizo fedha hazina ukaguzi wa serikal kujiridhisha na Matumizi yake, Mara zote Serikal imekuwa Mlalamikaji kwenye madai yanayoitwa Kashfa dhidi ya Dini Kikristo wakati kesi ya Madai haihusu Serikali na wapo Waislam walikwishapigwa Risasi,kufa kufungwa kwa kukana Mungu wa Kikristo lakin hakuna hata kesi moja ya Wakrsito wakipinga Uungu wa Allah au miungu ya Asili, Tangu kuanzishwa NECTA haina tofauti na Parokia halafu Waislam hawaruhusiw kuhoji ila ni Halali wakristo kuhoji wingi wa Waislam kwenye Tume ya Katiba, serikal zote Tangu Uhuru zimekuwa zikifanya madudu japo kwa kiwango Tofauti ila 'Mtafiti' Mwenyewe ni Shahidi Kanisa hupaza Sauti kutikisa na kukashifu na kukosoa Serikal pale tu Rais anapokuwa si Mkatoliki, kama anabisha atueleze Kauli za Kanisa kumkosoa Nyerere au Mkapa japo kuna Madudu mengi tu katika Tawala zao, unapozungumzwa Mfumo ni Mpaka Fikra kiasi kwamba leo Ofisi ikiwa na Idad walau 40% ya Waislam huitwa Udini kwa kuwa si mazoea, NSSF kila siku inaitwa kuna Udini lakin tukiomba data za Idad ya waislam na Wakristo huingia mitini kama ile 64% ya wakrsto wakat wa sensa. Nachokushauri Soma Vizuri Resercha Methodology and Technique and Tactics za Reserch ili uweze kufahamu Maana ya Reserch maana vitu kama hivi kuonekana Jukwaa la Brilliant eti ni Utafiti wa Greatthinkers unatudhalilisha hata kama ulihoji watu kweli kwa kiwango hicho japo ni Ngumu kumeza!
Ndugu yangu,

Bahati mbaya sana hao uliowataja hapo juu na wewe mwenyewe, mkiulizwa hasa mfumo kristu ni upi Tanzania? hamna jibu yakinifu zaidi ya majibu ya dhahania tu,
 
Katika hao waislam wenye ajira karibu wote ni MADEREVA na WALINZI,kazi za uofisa ni za wakristo!OKEY kutokana na data zake hapo yaonekana waislam kuwa 50%ktk idadi ya watu,inakuaje msiseme wapo 30%?ungetoa na idadi ya wanaomaliza vyuo vikuu,ufundi tungejua tatizo lipo wapi!ila kwenye biashara ndio limekua kimbilio la waislam kama mbadala wa ajira

Hahaaa sio madereva tu mkuu,
 
Mkuu Yericko Nyerere utafiti wako umejaa ubabaishaji mwingi sana. Historia yako pia jinsi tunavyokufahamu humu ndani inakuhukumu na kutia wasiwasi mkubwa katika utafiti wako. Mimi naweza kusema umeenda kujiridhisha tu mawazo yako ya siku zote kuwa tanzania hakuna mfumo kandamizi kwa upande wa waislamu. Jambo lingine ni tafsiri yako uliyotoa hapo juu kuhusu neno 'mfumo kristo'. Mimi nijuavyo tafsiri yake na jinsi ulivyoeleza wewe ni mambo mawili tofauti. Nina imani unajua hilo ila umeamua kupindisha tu ili kuzungumza kile nafsi yako imependa kukizungumza. Nikipata wasaa nitarudi.
 
Last edited by a moderator:
But utafiti wako na takwimu zako zinatia mashaka kweli kweli, niseme tu siuamini.
 
Mkuu Yericko Nyerere utafiti wako umejaa ubabaishaji mwingi sana. Historia yako pia jinsi tunavyokufahamu humu ndani inakuhukumu na kutia wasiwasi mkubwa katika utafiti wako. Mimi naweza kusema umeenda kujiridhisha tu mawazo yako ya siku zote kuwa tanzania hakuna mfumo kandamizi kwa upande wa waislamu. Jambo lingine ni tafsiri yako uliyotoa hapo juu kuhusu neno 'mfumo kristo'. Mimi nijuavyo tafsiri yake na jinsi ulivyoeleza wewe ni mambo mawili tofauti. Nina imani unajua hilo ila umeamua kupindisha tu ili kuzungumza kile nafsi yako imependa kukizungumza. Nikipata wasaa nitarudi.
Karibu mkuu,

Kwenye akili yako ushaweka siku nyingi kuwa uonapo tu mleta mada ni wamlengo tofauti basi lazima chembe za kumpinga ziwepo hata kama unakubaliana kabisa,

Nakukaribisha tena nfugu yangu katika mkeka huu
 
Last edited by a moderator:
Si kweli kwamba watumishi wengi wa serikali zanzibar ni wakristu,ndio shida ya kupika takwimu.
 
Nimehuzunika sana kuona huu nao unaitwa Utafiti,Labda kwa kuwa Lugha yetu ni finyu kwenye Misamiati, Mtafiti huyu kashindwa kwanza kabisa Mwanzo wa Utafiti wake kwa kuanza kukejeli eti ' wanaoimba Wimbo huu wa Mfumo Kristo walishindwa kutoa majibu Mujarrab' Vitabu kadhaa vimeandikwa kikiwemo cha Pdri Sivalon akieleza Nafasi ya kanisa Tanganyika,Professor Hamza Njozi kaandika 'The Killing of Mwembe chai and Political future of Tanzania', Tape, Hotuba za Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam wameeleza kwa kirefu sana, Hata kama huamini ulipaswa kupitia na kuweka hoja zao ili Upate 'Lacuna' Gap ambalo litakufanya Uanze Reserach, Sasa umekwepa Hoja zao halafu umekimbilia kuweka majibu yasiyo na Maswali, Hospital za Mkoa za Serikali Hazina X-ray halafu unasifia Serikal kupeleka Pesa kanisani kununua X ray tena hizo fedha hazina ukaguzi wa serikal kujiridhisha na Matumizi yake, Mara zote Serikal imekuwa Mlalamikaji kwenye madai yanayoitwa Kashfa dhidi ya Dini Kikristo wakati kesi ya Madai haihusu Serikali na wapo Waislam walikwishapigwa Risasi,kufa kufungwa kwa kukana Mungu wa Kikristo lakin hakuna hata kesi moja ya Wakrsito wakipinga Uungu wa Allah au miungu ya Asili, Tangu kuanzishwa NECTA haina tofauti na Parokia halafu Waislam hawaruhusiw kuhoji ila ni Halali wakristo kuhoji wingi wa Waislam kwenye Tume ya Katiba, serikal zote Tangu Uhuru zimekuwa zikifanya madudu japo kwa kiwango Tofauti ila 'Mtafiti' Mwenyewe ni Shahidi Kanisa hupaza Sauti kutikisa na kukashifu na kukosoa Serikal pale tu Rais anapokuwa si Mkatoliki, kama anabisha atueleze Kauli za Kanisa kumkosoa Nyerere au Mkapa japo kuna Madudu mengi tu katika Tawala zao, unapozungumzwa Mfumo ni Mpaka Fikra kiasi kwamba leo Ofisi ikiwa na Idad walau 40% ya Waislam huitwa Udini kwa kuwa si mazoea, NSSF kila siku inaitwa kuna Udini lakin tukiomba data za Idad ya waislam na Wakristo huingia mitini kama ile 64% ya wakrsto wakat wa sensa. Nachokushauri Soma Vizuri Resercha Methodology and Technique and Tactics za Reserch ili uweze kufahamu Maana ya Reserch maana vitu kama hivi kuonekana Jukwaa la Brilliant eti ni Utafiti wa Greatthinkers unatudhalilisha hata kama ulihoji watu kweli kwa kiwango hicho japo ni Ngumu kumeza!
Mkuu Songoro,

Nakusoma kwa makini hizi bayana zako kwa utuvu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom