Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Eeeehhh kumbe kuna step makubwa na kwanini Yesu ambae ni mungu asiwaangamize wale waliokuwa wamemtundikaNasali kwa lugha niijuayo kwani kila kitu kuanzaia step ni zilezile tuu..timetable ni ileile..wala sihitaji onge akichina popote.NI protocol tuu.....sijui kwanini Allah sasa asiwaumbe wote mkiongea kiarabu?
kama neno lilikua limeandikwa lingetimia tu,hakukuwepo ulazima wa kujifichaficha,binadamu hangeweza kuzuia mipango ya mungu,kwanini ajifiche?.Alifanya hivyo ili neno la unabii litimie kwa kuteswa, kusulubiwa na kufa msalabani. Kisha kufufuka. Kwamba, "Akasema, Lazima Mwana wa Mtu kupatwa na mateso mengi, kukataliwa na wazee, pia na makuhani wakuu na Waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Luka 9: 22).
Hivyo wakati ulikuwa haujatimia! Ndiyo maana katika injili ya Mathayo 16: 21-23 inasema:
"Toka wakati huo, Yesu alianza kuwaonya wafuasi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu na kupatwa na mateso mengi kwa wazee, makuhani wakuu na Waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka. Petro akamchukua upande, akaanza kumwonya na kusema, "Mungu akurehemu Bwana. Hayo hayatakupata hasha". Akageuka, akamwambia Petro, "Nenda nyuma yangu, Shetani! U kikwazo katika njia yangu, kwani maana mawazo yako si ua Mungu, bali ya kibinadamu".
Soma pia Marko 8: 31-33.
Some tena bandiko langu la saa 12:13 nililokujibu kuhusu ulipoanzia ukristo. Utapata jibu humo kutoka kitabu cha Matendo ya Mitume.
Pia kwa kuongezea soma Mathayo 13: 54-58
"Akaenda nyumbani kwake. Huko akafundisha katika sinagogi lao, hata wakashangaa na kusema, "Amepataje hekima hii na uwezo wa miujiza?" Je, huyu si mwana wa seremala? Na mama yake haitwi Maria? Na kaka zake si Yakobo, Yosefu, Simoni, na Yuda? Na dada zake wote hawakai nasi hapa petu? Basi, hayo yote ameyapata wapi? Wakakwazika kwake. Yesu akawaambia, "Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika mji wake na nyumbani mwake". Huko hakufanya miujiza mingi kwa sababu ya ukosefu wao wa imani".
Pia injili ya Marko 6: 1-6 utapata majibu.
yesu alisema,hakutumwa ila kwa wana wa israel,na alisema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kumpa mbwa.
Hiyo enendeni kwa mataifa yote ni nyongeza ya baadae.
Baada ya wayahudi kumkataa yesu ndo mwishomwishoni akawageukia mataifa.
Kumbuka yesu alikataliwa na hata pald nazerati walimfukuza wenyeji akaenda galilaya.
Ukifahamu kwamba Yesu ndiye Kristo, basi utaelewa yale aliyoyafundisha ndiyo ukristo wenyewe. Na wale walioyafuata mafundisho yake ndiyo wakristo wenyewe. Yesu hawezi kuwa MKRISTO wakati yeye ndiye KRISTO.
Soma na hapa upate kuelewa na kubarikiwa.
Luka 24: 44-49
"Kisha akawaambia, Hii ndiyo maana ya maneno yangu niliyowaambia nilipokaa bado nanyi, yaani, lazima yatimizwe yote yaliyoandikwa katika Sheria ya Musa, na manabii na zaburi. Halafu akawafungulia akili wapate kuyafahamu maandiko. Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa kwamba Kristo atateswa na kufufuka katika wafu siku ya tatu, na kwa jina lake ihubiriwe toba na maondoleo ya dhambi kwa mataifa yote, kuanzia Yerusalemu. Ninyi ni mashahidi wa mambo hayo. Angalieni, mimi ninawatumia ahadi ya Baba yangu. Lakini ninyi kaeni mjini hata mvikwe nguvu toka juu".
Walikua wapi siku zote hizo?
unayo shida..unaandika pumba ,halafu unajipa conclusion mwenyewe.
Eeeehhh kumbe kuna step makubwa na kwanini Yesu ambae ni mungu asiwaangamize wale waliokuwa wamemtundika
pale msabani wakati yeye mwenyewe amewaumba? huyu mungu atakuwa mzembe sana kiumbe amuumbe mwenyewe halafu
huyo huyo kiumbe amuadhibu aibu"shame on you"
Kwahiyo huyu mungu aliyetoa neno na huyu aliyepigiliwa msalabani na kudhalilishwa ni waungu wawili tofauti
baba mtumishi?
Hivi akili hii uliyonayo wewe ndio umesoma? Hujui kama hakuna mtu yoyote ambaye halipi kodi? Ukinunua chochote,unga, sukari,mchele,mafuta nk.unalipa kodi,ukilipia huduma yoyote,ukilipa nauli,ukilipa bili ya maji,umeme,ukinunua vocha ya simu nk,unalipa kodi.Hakuna mtu asiyelipa kodi.Hata hizo kodi kubwa zinazolipwa na makampuni,viwanda na biashara binafsi,wa mwisho kubeba mzigo wa kodi ni mlaji,ambaye ndiye huyo unayesema wewe halipi kodi.Someni,acheni kununua vyeti.Alex massawe ni jambazi km jambazi wengine ambao hata kanisani wamashindikana.......Mramba na Yona SIna hakika na JK...Ila nikija kwa kinana, Rostam , manji, Mpakanjia, Malima, Rage, Zungu, etc sijui km hawa jamaa wameshindikana miskitini...wauza maandazi na mirungi wengi mjini,weny studio za picture, wauza kanzu , waganga wa kienyeji wa majinn ambao ndio matajiri Tanga, ilala, magomeni na temeke sijui km wanalipa kodi ipi....sijui km wanalipa kodi km vipato vyao....
Lukuvi ni kundi la Wahalifu km wengine ambao hawajawahi tete Ukristu wao in public wala kujali Ukristu kuingizwa ktk siasa za chama chake, kudhaililishwa na kutukanwa ktk chama chake.....ni wazi hawao jamaa hawana tofauti na wapagani wenye majina ya kikristu..Ila sijui km Rostam,manjia, na akina asha baraka, karamagi, kagasheki etc wameshawahi acha tete uislam wao popote....
Huwezi kuuita huu udhalimu kuwa ni values!
Kumbuka hii nchi si yenu peke yenu!
And more over waislamu ni wengi kuliko hao wanywa damu ya bwana!
Mnapoleta hii mifumo yenu mpaka kwenye nyumba za kulala wageni!
Iko siku yatawatokea puani!
We unanipikia kiti moto mtaani kwangu na kupiga miziki kwenye baa mpaka saa saba usiku halafu unaita Christian values!
Kudadeki!
Na wewe unaona umeandika kitu chenye maana kumbe wewe ndio -------- mnene
samahani lakini ila wewe ni mpuuuuuziiiiiiiiii
kwa taarifa yenu uislam ndio unayotaka shawishi hapa....hapo juu wenyewe mmekomaa kuwa Kiarabu ndio lugha yenu , muhamad naye alisem Quraysh ndio the choosen....sijui umetoka wapi km allah alikulete ukiongea lugha nyingine ,haalfu kakuletea maandishi kwa lugha nyingine huku akijua hata yako mwenyewe tuu usingekaa uulewe uislam.
Waislam wangeulewa uislam ungekuwa umefutika, wangefanya wise decision....wengi hawaelewi na,wanaoelewa wengi wanafaidika na matambiko kwa majinn....wewe unayo mangapi?
Kama amekopi,mbona,hakupigiliwa misumari,na akatandikwa mijeledi,ila yeye Muhammad,alikuja kukanusha tendo hili la Yesu kudhalilishwa,na kusema hakufanyiwa tendo ovu hilo.Someni,acheni tabia ya kutafuta vyeti fake,halafu mwasema mumesoma.Huwezi pata picture kwa fikra za kiislam...mohamed alicopy tuu sifa za Jehovah ila hakuwa hata na clue maana yake nini....ndio maana si yeye wala nyingi mnaweza tambua ktk sifa za Mungu za kuwefa fanya mamabo mengi, ktk sehemu tofauti kwa pamoja.
mkuu sijakaririshwa,ngoja sasa nikuambie,mimi nimeanza kusoma mambo ya yesu nikiwa bado kinda,niko la kwanza,tukiishi kotasi,kipindi hicho mashirika ya kikristo bado yanagawa bible na vijitabu vidogovidogo vya michoro ya yesu bure.mamangu was a christian na pale kotas kulikua kuna rotate ya maombi leo kwa fulan kesho kwa fulani.mzee wangu kuwa mtu wa masafa mother alikua free kuwainvite wana maombi kuja kusifu na kuomba.Mbona yote uliyoandika ni ya kukaririshwa tuu.....ungesona na mistari kdhaa inayofuatia....mpo desperate sana ,kutete ujinga wenu..mpo tayari hata kukufuru kwa vile nyie si wa Mungu wetu..Mnadanganya kuwa hivyo il sivyo.Ndio maana hamna ch akupoteza linapokuja suala la kufuru.
So km alikataaliwa na wewe unataka nasi tumkatae?
Mchungaji eti kwenye biblia inasema Mungu alipokuwa anaumba dunia siku ya sita alipumzika kwa uchovu?
udhalimu wapi sasa..km watu wanafanya mamabo yao kwa faida zao na wengine mayatima ktk uzalishaji km nyie nin kinawauma?We all know islam is jealousy and has a strong feelings of rejection,,tangu ishmaele alipoondoloa na mamaye ili kutomzonga mtoto halali,kilimuuma sana,ndipo shetani akamchukua kumpa hifadhi.
NI hiyo spirit zinazofanya islma ikose "self esteem"..kazi ni kuua watu wati kwa vile hawajasema kuwa dini yenu ni nzuri...imagine mwanamume anayekataliwa na wanawake kwa sababu sura yake haivutii..huku akijiona ana hela, akijiona kuwa al-maaruf ,reaction yake kwa waliomzidi..
Islam imeipa dunia kitu gani cha kujivunia?hata Tanzania tuu hamjaweza toa hospital moja mzuri, shule moja nzuri na chuo kikuu kimoja kizuri.Shame on you bado mnawea kwa watu huku mkitumia nguvu.
Hivi akili hii uliyonayo wewe ndio umesoma? Hujui kama hakuna mtu yoyote ambaye halipi kodi? Ukinunua chochote,unga, sukari,mchele,mafuta nk.unalipa kodi,ukilipia huduma yoyote,ukilipa nauli,ukilipa bili ya maji,umeme,ukinunua vocha ya simu nk,unalipa kodi.Hakuna mtu asiyelipa kodi.Hata hizo kodi kubwa zinazolipwa na makampuni,viwanda na biashara binafsi,wa mwisho kubeba mzigo wa kodi ni mlaji,ambaye ndiye huyo unayesema wewe halipi kodi.Someni,acheni kununua vyeti.
mi nauliza,kwani hizo maabara hufundisha wanafunzi wa kikristo peke yake?.Mi siwezi kuendelea kubishana na wewe maana wakati wewe na wenzako mnasubiri tende za bure na nyama za ngamia (ule msimu wenu ukifika) ili mchakachue, wale mnaowalalamikia wanajenga mashule na mahospitali!
Wakati nyie mnagombana kumuondoa mufti, na kutuhumu wenzenu kuwa waliuza viwanja ambavyo inasemekana vilikua mali yenu, wenzenu wananunua viwanja kule mnakoona ni maporini na kuvipima ili kuvimilliki kihalali!
..btw,hivi ulishajiuliza kwa nini viwanja vingi vya makanisa havina migogoro?!
Wakati 'mkikomaa' na Baraza la Mitihani eti ili kumuondoa Katibu kwa madai kuwa elimu ya kiislamu imehujumiwa kwa wanafunzi ambao wamefeli masomo mengine pia hadi lugha yao ya taifa, wenzenu wanafanya mikakati ya ufaulu kwa kuajiri walimu zaidi na wanajenga maabara za masomo ya sayansi ili kuwezesha kujifunza kwa vitendo.
Sasa katika hali kama hii kutegemea mlingane utakua ni muujiza wa tisa wa dunia!!