Mkuu asante sana kwa maoni yako murua,
Kama ndugu zetu wanayasoma haya basi kwa hakika nawaomba wauzingatie
Andiko lako linakwenda tofauti na AMRI YA SERIKALI YAKO! JE! Unajua hivyo!?
Au nikufundishe kidogo! ?
Halafu unasema "damu ya yesu imelipa deni la shetani"
Sasa unataka kusem kuwa shetani alimdai mungu deni!
Halafu mungu akaamua kumuua mtoto wake mpenzi na wa pekee ili amlipe shetani ambae pia kaumbwa na huyohuyo mungu!!?
Hivi kweli nyie huwa mnatumia vichwa kufikiri?
Yaani wewe unamtoto mpendwa tena wa pekee! Halafu unadaiwa! Ukaamua umuue mtoto wako ili ulipe deni!
Hio si laana hiyo! Mi niko tayari kufa nimuokoe mwanangu! Huyo mungu wa biblia kama kashindwa kumhurumia mwanae, KWELI ATAKUONEA HURUMA WEWE MCHAGA!? ASIYE HATA KUJUA??
Kwa hiyo wale walioshi kipindi cha Yakobo,hawakupata uzima wa milele,maana Yesu alikuwa hajazaliwa wala kusulubiwa,basi huyu Yesu anaupendeleo,waliokuwa kabla yake hawataingia Mbinguni,hapo patamu.Yakobo hakuwa Mkristu....kuna tofauti ya mtanganyika na Mtanzania..
Eti wao wanaona kuinywa hiyo damu ndio mapenzi!
Khaaaaa ptu!
We baba yako auwawe kwa kupigwa risasi!
Halafu eti uvae kabastola kadogo shingoni kukumbuka kifo chake!
Haitoshi hio unywe na damu pia??
Hii si bangi mbichi hii??
Awaangamize.....kwanini wakati kaja lipa deni?Unawezaje lipa deni la mwanao halafu umwangamize anayedai?
Kwa hiyo wale walioshi kipindi cha Yakobo,hawakupata uzima wa milele,maana Yesu alikuwa hajazaliwa wala kusulubiwa,basi huyu Yesu anaupendeleo,waliokuwa kabla yake hawataingia Mbinguni,hapo patamu.
Tunahitaji sana watu wa namna yako mkuu Yericko Nyerere
sasa kama nyie mnajenga mashule mahosptali ,kwanza pesa za mou zinahusika.pili tutasoma kwenye shule zenu hizohizo kwanza zimejengwa kwa ruzuku ya serikali kupitia MOU.udhalimu wapi sasa..km watu wanafanya mamabo yao kwa faida zao na wengine mayatima ktk uzalishaji km nyie nin kinawauma?We all know islam is jealousy and has a strong feelings of rejection,,tangu ishmaele alipoondoloa na mamaye ili kutomzonga mtoto halali,kilimuuma sana,ndipo shetani akamchukua kumpa hifadhi.
NI hiyo spirit zinazofanya islma ikose "self esteem"..kazi ni kuua watu wati kwa vile hawajasema kuwa dini yenu ni nzuri...imagine mwanamume anayekataliwa na wanawake kwa sababu sura yake haivutii..huku akijiona ana hela, akijiona kuwa al-maaruf ,reaction yake kwa waliomzidi..
Islam imeipa dunia kitu gani cha kujivunia?hata Tanzania tuu hamjaweza toa hospital moja mzuri, shule moja nzuri na chuo kikuu kimoja kizuri.Shame on you bado mnawea kwa watu huku mkitumia nguvu.
Sasa ni nani aliyekuwa anamdai mungu mpaka akaamua kwamba ni bora amuue mwanae ndio deni liishe!
Mungu gani huyo asiye na uwezo wa kutafuta njia bora ya kulipa deni mpaka aue mwanae!!
We kweli unaabudu mungu mwenye roho mbaya namna hii!?
Tumeshawapa maana ya kristo!
NARUDIA TENA!
kwa mujibu wa andiko!
MAANA YA KRISTO NA MPAKWA MAFUTA!
SASA UKISEMA KRISTO (MPAKWA MAFUTA ) KAFUNDISHA UKRISTO!
HUJATOA JIBU BADO!
NA KAMA JIBU NDILO HILO INAMAANA UNATAFSIRI UKRISTO KAMA UPAKWAJI WA MAFUTA??
au unaweza kutupa maana halisi ya UKRISTO!
AU PIA NA HILO HULIJUI??
makanisa yapi hayo unaongelea..tupo hapa wakristu hembu jifanye mwalimu wetu vizuri..hadith ni umbea na ndizo nguzo yenu:
-Unaongelea catholics?catholics kila kanisa ni ubalozi wa vatican, na unapewa leave ya vatican, Anglican,Lutheran...yana taasisi za kitaifa na kimataifa..sas huo ubinfasi upi.Makanisa mengine ya kipentecoste ndio yana watu binafsi ila yamesajiliwa kitaifa na yana body ya wadhamaini km taasisi....
Sijui misikiti ina nini?
kwanza wanasema kafa msalabani na hivyo kawaokoa wafuasi wake kwa kubeba dhambi zao.Sasa ni nani aliyekuwa anamdai mungu mpaka akaamua kwamba ni bora amuue mwanae ndio deni liishe!
Mungu gani huyo asiye na uwezo wa kutafuta njia bora ya kulipa deni mpaka aue mwanae!!
We kweli unaabudu mungu mwenye roho mbaya namna hii!?
my take! Hii ripoti yako haina umakini hatta kidogo! Hesabu zake ziko miguu juu kichwa pembeni! Source ulizo tumia hazina hakiki hata 50%! How ktk kutafuta takwimu! Ktk jumla ya wanasiasa 526280 wewe na juhudi zooote umekusanya data za wanasiasa 361,736 tu, na juu ya yote, hujaweka hata reliable source hata moja ku support hii kazi unayosema umejituma!! Sijajua lengo lako lkn i am working on it!!
Cc Tayeb
sasa kama nyie mnajenga mashule mahosptali ,kwanza pesa za mou zinahusika.pili tutasoma kwenye shule zenu hizohizo kwanza zimejengwa kwa ruzuku ya serikali kupitia MOU.
alipakwa mafuta na mary magdalena,inakuaje tukio liwe dini?Leta andiko hilo.
Tatizo unakariri maneno bila kufungua ubongo wako kwa mapana!
Kristo ni neno la kigiriki lenye kuelezea mpakwa mafuta aliye Masiha kwa wahebrania. Huyu ndiye aliyeitwa Yesu Mnazareti au Yesu wa Nazareti aliye Kristo.
Ukristo na mkristo unakuja haswa katika kufuata mafundisho ya Kristo Yesu, aliyepakwa mafuta na Baba ili aje kuwaokoa wanadamu kutoka dhambini. Bila kuyafuata na kuyaishi mafundisho hayo yanayopatikana katika Biblia Takatifu, haswa Agano Jipya, hakuna UKRISTO na MKRISTO.
Haya mambo yanaeleweka vizuri kama una Roho Mtakatifu anayekuongoza katika kuyasoma, kuyatafakari na kuyaishi maneno hayo.
Leta andiko hilo.
Tatizo unakariri maneno bila kufungua ubongo wako kwa mapana!
Kristo ni neno la kigiriki lenye kuelezea mpakwa mafuta aliye Masiha kwa wahebrania. Huyu ndiye aliyeitwa Yesu Mnazareti au Yesu wa Nazareti aliye Kristo.
Ukristo na mkristo unakuja haswa katika kufuata mafundisho ya Kristo Yesu, aliyepakwa mafuta na Baba ili aje kuwaokoa wanadamu kutoka dhambini. Bila kuyafuata na kuyaishi mafundisho hayo yanayopatikana katika Biblia Takatifu, haswa Agano Jipya, hakuna UKRISTO na MKRISTO.
Haya mambo yanaeleweka vizuri kama una Roho Mtakatifu anayekuongoza katika kuyasoma, kuyatafakari na kuyaishi maneno hayo.
We unauliza swali! Halafu unatoa majibu mwenyewe!
Teh teh teh yeh!
Makanisa YOOTE ktk hati miliki kuna majina ya watu binafsi!!
Hakuna cheti miliki kikaandikw sijui"ubalozi wa vatican:" sijui "papa nicholas". Hakuna!
NI MALI YA WATU BINAFSI! wacha uongo we!
Hoja ujibiwa kwa hoja wewe!
Viroba sio chai!
kwanza wanasema kafa msalabani na hivyo kawaokoa wafuasi wake kwa kubeba dhambi zao.
Sasa kama dhambi kachukua yesu wanakwenda kanisani kufanya nini wakati yesu ameshawakomboa?