UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Mkuu asante sana kwa maoni yako murua,

Kama ndugu zetu wanayasoma haya basi kwa hakika nawaomba wauzingatie

Badala ya kushabikia hoja za kukashfiwa waislamu! Unatakiwa utujibu maswali ambayo tumekuuliza huko nyuma!
Kama wewe ulitumwa na kanisa kuja kupotosha watu humu. Ndio jamii ione what kind of people r you!
 
Andiko lako linakwenda tofauti na AMRI YA SERIKALI YAKO! JE! Unajua hivyo!?
Au nikufundishe kidogo! ?

Halafu unasema "damu ya yesu imelipa deni la shetani"

Sasa unataka kusem kuwa shetani alimdai mungu deni!
Halafu mungu akaamua kumuua mtoto wake mpenzi na wa pekee ili amlipe shetani ambae pia kaumbwa na huyohuyo mungu!!?
Hivi kweli nyie huwa mnatumia vichwa kufikiri?
Yaani wewe unamtoto mpendwa tena wa pekee! Halafu unadaiwa! Ukaamua umuue mtoto wako ili ulipe deni!
Hio si laana hiyo! Mi niko tayari kufa nimuokoe mwanangu! Huyo mungu wa biblia kama kashindwa kumhurumia mwanae, KWELI ATAKUONEA HURUMA WEWE MCHAGA!? ASIYE HATA KUJUA??

Shetani alimdai adamu baada ya kuingia makubaliano nae na Adamu kumwasi Mungu.Ili Mungu awe wa haki lazima alipe deni la shetani ili haki itendeke.Hakuna tofauti na mwanao kwenda kpa unga na bangi...hata kama alionjeshwa na kufundishwa na hao wahuni..watakapomshika baba km unampenda mwanao utajituma lipa hilo deni....

Hata hayo majinn mliyoingia nayo mikataba kuondoka kwenu ni kugumu sana km... utakufa kabla hujamaliza kuondoka ili roho yako ibaki ktk kujisalimisha huko...mtachinja makondoo , na mengine sana ili kuweza ongeza siku ila si kuingia mbinguni....Mmejisalimisha kwa spsirit msizozijua ...ni kazi sana kujua km kuna dunia ya Mungu wa Kristu..
 
Yakobo hakuwa Mkristu....kuna tofauti ya mtanganyika na Mtanzania..
Kwa hiyo wale walioshi kipindi cha Yakobo,hawakupata uzima wa milele,maana Yesu alikuwa hajazaliwa wala kusulubiwa,basi huyu Yesu anaupendeleo,waliokuwa kabla yake hawataingia Mbinguni,hapo patamu.
 
Eti wao wanaona kuinywa hiyo damu ndio mapenzi!
Khaaaaa ptu!
We baba yako auwawe kwa kupigwa risasi!
Halafu eti uvae kabastola kadogo shingoni kukumbuka kifo chake!
Haitoshi hio unywe na damu pia??
Hii si bangi mbichi hii??

haha..inakuweje wengine wanaovaa jani la bangi, inakuweje bendera ya nchi, inakuweje kipande che mwezi...
 
Awaangamize.....kwanini wakati kaja lipa deni?Unawezaje lipa deni la mwanao halafu umwangamize anayedai?

Sasa ni nani aliyekuwa anamdai mungu mpaka akaamua kwamba ni bora amuue mwanae ndio deni liishe!
Mungu gani huyo asiye na uwezo wa kutafuta njia bora ya kulipa deni mpaka aue mwanae!!
We kweli unaabudu mungu mwenye roho mbaya namna hii!?
 
Kwa hiyo wale walioshi kipindi cha Yakobo,hawakupata uzima wa milele,maana Yesu alikuwa hajazaliwa wala kusulubiwa,basi huyu Yesu anaupendeleo,waliokuwa kabla yake hawataingia Mbinguni,hapo patamu.

walikuwa na maagano tofauti na Mungu na waliyatii n akuyafuta...unataka sema na Muhamad na allaha mkataba wake?nadhani mkienda ziara za usiku mnajua wapi anakwenda.
 
udhalimu wapi sasa..km watu wanafanya mamabo yao kwa faida zao na wengine mayatima ktk uzalishaji km nyie nin kinawauma?We all know islam is jealousy and has a strong feelings of rejection,,tangu ishmaele alipoondoloa na mamaye ili kutomzonga mtoto halali,kilimuuma sana,ndipo shetani akamchukua kumpa hifadhi.

NI hiyo spirit zinazofanya islma ikose "self esteem"..kazi ni kuua watu wati kwa vile hawajasema kuwa dini yenu ni nzuri...imagine mwanamume anayekataliwa na wanawake kwa sababu sura yake haivutii..huku akijiona ana hela, akijiona kuwa al-maaruf ,reaction yake kwa waliomzidi..

Islam imeipa dunia kitu gani cha kujivunia?hata Tanzania tuu hamjaweza toa hospital moja mzuri, shule moja nzuri na chuo kikuu kimoja kizuri.Shame on you bado mnawea kwa watu huku mkitumia nguvu.
sasa kama nyie mnajenga mashule mahosptali ,kwanza pesa za mou zinahusika.pili tutasoma kwenye shule zenu hizohizo kwanza zimejengwa kwa ruzuku ya serikali kupitia MOU.
 
Sasa ni nani aliyekuwa anamdai mungu mpaka akaamua kwamba ni bora amuue mwanae ndio deni liishe!
Mungu gani huyo asiye na uwezo wa kutafuta njia bora ya kulipa deni mpaka aue mwanae!!
We kweli unaabudu mungu mwenye roho mbaya namna hii!?

Kwani unapolipa deni kwa anayekudai ili amwachie mwanao, kakuambia nani utalipe deni halisi.....ili umshawishi unahitaji kiasi ambacho kitamfanya ajisie vyema, ajisikie kakuibia...

Hata wewe ukisikia ni kumpata binti w anchungaji kumchezea nadhani mtajituma kweli....mnafanana na baba yenu.
 
Tumeshawapa maana ya kristo!
NARUDIA TENA!
kwa mujibu wa andiko!

MAANA YA KRISTO NA MPAKWA MAFUTA!

Leta andiko hilo.

SASA UKISEMA KRISTO (MPAKWA MAFUTA ) KAFUNDISHA UKRISTO!

HUJATOA JIBU BADO!

NA KAMA JIBU NDILO HILO INAMAANA UNATAFSIRI UKRISTO KAMA UPAKWAJI WA MAFUTA??
au unaweza kutupa maana halisi ya UKRISTO!
AU PIA NA HILO HULIJUI??

Tatizo unakariri maneno bila kufungua ubongo wako kwa mapana!

Kristo ni neno la kigiriki lenye kuelezea mpakwa mafuta aliye Masiha kwa wahebrania. Huyu ndiye aliyeitwa Yesu Mnazareti au Yesu wa Nazareti aliye Kristo.

Ukristo na mkristo unakuja haswa katika kufuata mafundisho ya Kristo Yesu, aliyepakwa mafuta na Baba ili aje kuwaokoa wanadamu kutoka dhambini. Bila kuyafuata na kuyaishi mafundisho hayo yanayopatikana katika Biblia Takatifu, haswa Agano Jipya, hakuna UKRISTO na MKRISTO.

Haya mambo yanaeleweka vizuri kama una Roho Mtakatifu anayekuongoza katika kuyasoma, kuyatafakari na kuyaishi maneno hayo.
 
makanisa yapi hayo unaongelea..tupo hapa wakristu hembu jifanye mwalimu wetu vizuri..hadith ni umbea na ndizo nguzo yenu:

-Unaongelea catholics?catholics kila kanisa ni ubalozi wa vatican, na unapewa leave ya vatican, Anglican,Lutheran...yana taasisi za kitaifa na kimataifa..sas huo ubinfasi upi.Makanisa mengine ya kipentecoste ndio yana watu binafsi ila yamesajiliwa kitaifa na yana body ya wadhamaini km taasisi....

Sijui misikiti ina nini?

We unauliza swali! Halafu unatoa majibu mwenyewe!
Teh teh teh yeh!
Makanisa YOOTE ktk hati miliki kuna majina ya watu binafsi!!

Hakuna cheti miliki kikaandikw sijui"ubalozi wa vatican:" sijui "papa nicholas". Hakuna!

NI MALI YA WATU BINAFSI! wacha uongo we!
 
Sasa ni nani aliyekuwa anamdai mungu mpaka akaamua kwamba ni bora amuue mwanae ndio deni liishe!
Mungu gani huyo asiye na uwezo wa kutafuta njia bora ya kulipa deni mpaka aue mwanae!!
We kweli unaabudu mungu mwenye roho mbaya namna hii!?
kwanza wanasema kafa msalabani na hivyo kawaokoa wafuasi wake kwa kubeba dhambi zao.

Sasa kama dhambi kachukua yesu wanakwenda kanisani kufanya nini wakati yesu ameshawakomboa?
 
my take! Hii ripoti yako haina umakini hatta kidogo! Hesabu zake ziko miguu juu kichwa pembeni! Source ulizo tumia hazina hakiki hata 50%! How ktk kutafuta takwimu! Ktk jumla ya wanasiasa 526280 wewe na juhudi zooote umekusanya data za wanasiasa 361,736 tu, na juu ya yote, hujaweka hata reliable source hata moja ku support hii kazi unayosema umejituma!! Sijajua lengo lako lkn i am working on it!!

Cc Tayeb

Nilishaidharau hii report mfuu toka mara ya mwanzo nilipoisoma!

Haina source ya kusupport japo hata utumbo mmoja aliouandika tehe tehe tehe!

Husione aibu kuanza upya Yericko Nyerere, kajipange tena na huu uharo wako!
 
Last edited by a moderator:
sasa kama nyie mnajenga mashule mahosptali ,kwanza pesa za mou zinahusika.pili tutasoma kwenye shule zenu hizohizo kwanza zimejengwa kwa ruzuku ya serikali kupitia MOU.

kwani ktk hiyo hela ya serikali ..ni kiasi gani mmeweka......?Kwa ninavyofahamu budget ina hela ya msaada toka kwa makafiri wngine wa ulaya.Kodi na sadaka zao.....na hapa tz makafiri ndio wanaongoza kulipa kodi.Na ujenzi wa mirani ni sadaka za makafir wa makanisani+makafiri wa nje ya nchi...halafu kiasi mnachotumia cha kanisa kinazidi hata cha serikali ambacho kina share ya makafiri.

How shameful..mna nguvu za vita kuliko za kufanya kazi.
 
Leta andiko hilo.

Tatizo unakariri maneno bila kufungua ubongo wako kwa mapana!

Kristo ni neno la kigiriki lenye kuelezea mpakwa mafuta aliye Masiha kwa wahebrania. Huyu ndiye aliyeitwa Yesu Mnazareti au Yesu wa Nazareti aliye Kristo.

Ukristo na mkristo unakuja haswa katika kufuata mafundisho ya Kristo Yesu, aliyepakwa mafuta na Baba ili aje kuwaokoa wanadamu kutoka dhambini. Bila kuyafuata na kuyaishi mafundisho hayo yanayopatikana katika Biblia Takatifu, haswa Agano Jipya, hakuna UKRISTO na MKRISTO.

Haya mambo yanaeleweka vizuri kama una Roho Mtakatifu anayekuongoza katika kuyasoma, kuyatafakari na kuyaishi maneno hayo.
alipakwa mafuta na mary magdalena,inakuaje tukio liwe dini?
 
Hoja ujibiwa kwa hoja wewe!

Viroba sio chai!
 
We unauliza swali! Halafu unatoa majibu mwenyewe!
Teh teh teh yeh!
Makanisa YOOTE ktk hati miliki kuna majina ya watu binafsi!!

Hakuna cheti miliki kikaandikw sijui"ubalozi wa vatican:" sijui "papa nicholas". Hakuna!

NI MALI YA WATU BINAFSI! wacha uongo we!

Ndio maana mnadanywa na akina ponda......mengi hujui kwa kiasi hufai kufundisha..

Hakuna property ya KKKT,Anglican,Catholic yenye jina la mtu Binafsi...
 
kwanza wanasema kafa msalabani na hivyo kawaokoa wafuasi wake kwa kubeba dhambi zao.

Sasa kama dhambi kachukua yesu wanakwenda kanisani kufanya nini wakati yesu ameshawakomboa?

Mengi ya maswali yenu si kwamba mnajua mfanyalo ila shida ni uelewa tuu,hamuwezi unganisha dots.

Kulipiwa au kutolipiwa deni ni uhuru wako......torauti ya Mungu na shetani ni kwamba ukishaingi kw ashetani hakuachii..kwa Mungu bado uhuru unapewa..ndio tofauti ya Wakristu na waislam...kuwa muislam kuna majinn hadi waislama wapo busy kukulaghai, na kukutisha au kukua kabis akuliko kuuacha uislam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom