UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Nimecheka sana kusoma kuwa kariakoo kuna madukani 489,125 fanya kila duka lina wafanyakazi 3, kariakoo peke yake tumepata ajira za watu 1,467,375.

Wewe tena unasema Dar es Salaam kuna ajira 876,981 kwa hiyo kariakoo peke yake imezidi ajira za serikali Dar es Salaam.

Cha kuchekesha unasema utafiti wako umeufanya 2011 lakini unaweka data za 2012.
 
tunatofautiana kwa hoja ingawa saa ingine wengine wanapanic sana.

Research ya yerico ni fake,hakuna cha kujadili hapo.
 
Unamaoni yoyote kwa mada husika nje ya hayo unayohubiri?
 

Dini yetu haiendelezwi na predictions!

Dini yetu hairuhusu akili kuambiwa!

Dini yetu hakuna binaadamu anauwezo wa kumsamehe binaadamu mwenzake!

Dini yetu hairuhusu kuchonga sanamu na kuweka picha ya mzungu halafu ukaiabudu!
Wala dini yetu hawezi binaadamu akakwambia kwa hakika kuwa wewe ni 100% utakuwa ni mtu wa peponi!
Hii ni kazi ya MUNGU MMOJA TU!
Na mimi na wewe wote ni viumbe tusiokiwa na uwezo wowote ktk amri ya MUNGU!
Wewe kuamini kuwa huyo Mungu aliyekuumba wewe alipigwa mijeledi mpaka akafa ndio kunakusababisha usimuheshimu tena huyo mungu. Na hao viongozi wenu wakaamua kuchukua madaraka yake ya kusamehe madhambi.
Wakati wenyewe huku nyuma wananajisi watoto wadogo kila siku tunaona kwenye habari!
Sasa sijui wao watasamehewa na nani??

Labda yericho nyenyere!! Mdanganyifu asiyejua hesabu!!
 
hamna mimi sileti kejeli,nachoshangaa hapa ni kuwa,kumbe kupaka mafuta wenye mamlaka ilikua ni desturi.hata samwel akampaka king david.

Nachotaka kujua umuhimu wa mafuta hayo hadi dini ikaitwa jina la wapakwa mafuta.
Mafuta yanawakilisha nini?.
Wokovu wa yesu kwa kufa msalabani unajitosheleza vipi ikiwa tena mpaka mtu asari na aungame. Je akiungama leo alafu tena kesho akatenda dhambi ule wokovu una switchoff au inakuaje.
 

Ndio, kariakoo kuna madukani 489,125, lakini kufanya kila duka lina wafanyakazi 3 huo ni mtazamo tu hata ungefanya 1,2, au 6 bado nisehemu ya mtazamo na matokeo ya namba tu,

Kwamba utafiti unataja kuwa ulianza 2011 huku takwimu ni za 2012, hilo halina mantiki,

Labda nikusaidie tu, tunaposema utafiti haihusu kuamka asubuhi na kuingia kariakoo kuhesabu duka hadi duka,

Ni kuwa tunahitaji maadandalizi na hatua za awali za kiutafiti huhusika,!

Kama utakuwa umesoma tena upya hiyo ripoti utaona zipo takwimu za 2013 nk!
 

Mkuu mi si nimemueleza huyu jamaa kuwa, wakati anaupanga huu uongo wake huko chumbani kwake alisahau kupiga hesabu au huenda hesabu hajui kabisa!
Teh teh teh teh!
Anasema wtt wa wakristo waliohitimu 2011 ktk 100% ya wtt wote walio hitimu kidato cha nne hapo Dar!
Eti watt wa kigalatia ni 20% tu!! Walibaki woote waislamu!!

Muongo mkubwa huyu! We nenda shule yyt ya serikali moja tu Dar uone ratio ya wagalatia na waislam.
Teh teh teh! Lbd ajaribu siku ingine! Leo kaumbuka!!
 
Fact??!
 
Last edited by a moderator:
Unamaoni yoyote kwa mada husika nje ya hayo unayohubiri?

Maoni ni kuwa anae kulipa kuja kudanganya watu hapa!
Akiona hayo mapungufu ya huo uongo wako mshahara hatoi!
Siku nyingine kama huna calculator basi azima upigie hesabu!!
Na kabla huja post huo utumbo. Omba msaada kwa wale wagalatia wenzako mpate kuandika uongo unaofanana na ukweli!
 

Mkuu umeongea kweli kabisa
 
Je mnayo ripoti yoyote mnayoweza kuja nayo hapa ili nami niwasome?
 
Yaliandikwa na yalipaswa kutimizwa.

Ndio ulivyoambiwa hivyo na mchungaji wako!
Yaani mungu umemgeuza Robot! Akielekezwa kulia basi ni kulia tu!!
Mungu amuumbe shetani na binaadamu halafu aandike kuwa huyu shetani ntamlipa deni kwa kuwa kuwatumia hawa wanadamu! Watanipiga mijeledi mpaka nife!
Hebu amka ndugu! Usije kufa hali ya kuwa ni kafiri!
 

Bila shaka umemaliza maoni yote kichwani mwako, je kuna lingine?

Je hutaki kujua wapi mnapokosea na kudanganywa kuwa Tanzania ni yamfumo kristu?

Niulize swali lolote ndugu!
 
Unisaidie tena mie au wewe ndiyo usaidiwe.

Tufahamishe kariakoo umepata ajira ngapi?
 
Mkuu wangu huyu jamaaa ni kituko, umejaribu kumsahihisha lakini bado anakomaa na utafiti wake feki.
 
1) Sawa Tanzania sio nchi ya kidini je Uganda ni nchi ya kidini?

A.Kwani Uganda wao hawasimamii matakwa ya katiba yao?

B. unaposema serikali iepuke kushiriki shughuli za waislamu wa Tanzania mbona hiyo hiyo serikali
ilishiriki katika makubaliano kati ya Kanisa na Ujerumani (MOU) na hawakushirikishwa wananchi
kutoa maoni yao kukubali au kukataa?
 
Unisaidie tena mie au wewe ndiyo usaidiwe.

Tufahamishe kariakoo umepata ajira ngapi?

Kwakuwa sikujihusisha sana na utafiti wa ajira, lakini naweza kusema kwa mjibu wa sheria ya ajira nchini nikuwa, ili mtu atambuliwe kuwa yupo kwenye ajira, ni lazima awe kwenye mfumo kamili wa ajira ikiwemo bima na maslahi yake yalindwe kwa mkataba,

Sasa kwa kadirio la 98% ya wasiomiliki biashara kariakoo hawana ajira bali wanavibarua tu wakiwatumikia wafanya biashara wazalendo!
 

Swali lako (A) halina mantiki kwakuwa tunazungumza Tanzania na Watanzani kwakuzingatia katiba ya Watanzania lakini wewe umelipeleka Uganda,

Swali (B) hili nitalijibu

1)
B. unaposema serikali iepuke kushiriki shughuli za waislamu wa Tanzania mbona hiyo hiyo serikali
ilishiriki katika makubaliano kati ya Kanisa na Ujerumani (MOU) na hawakushirikishwa wananchi
kutoa maoni yao kukubali au kukataa?


Sababu halisi za Tanzania kushiriki katika MOU ya kanisa na Ujerumani ni hii,

1) Serikali ya Ujerumani ilikubaliana na makanisa ya Tanzania kuwa itakuwa ikiyasaidia (pesa),

Hivyo serikali ya Tanzania kama mtawala wa nnchi ambamo makanisa haya ndimo yanamoishi na kutoa guduma zake, ilitakiwa kuwa SHAHIDI namba moja na msimamizi wa pesa!

Hilo hata waislamu nao wakipata mfadhili wanayo fursa ya kuingia nae MoU na serikali ya Tanzania ikawa shihidi namba 1 na msimamizi wa pesa hizo!

Hapo serikali itakuwa haijaingilia uhuru wa makanisa wala itakuwa haijaiingiza kuwa ya mfumo wa kidini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…