Kamanda naona usingizi umekukamata kweli umekesha JF teh teh teh teh! unataka kukimbia tulia jamvini tukupe dawa.
1) Kwa mfano Tanzania ikijiunga na OIC uhuru wa makanisa utakuwa umeingiliwaje?
2)Kuna sheria gani inayoilazimu serikali kusimamia pesa zinazohusu mambo ya dini yoyote
hapa Tanzania?
Kitabu ambacho hakizuiwi,ni kile kinachotangaza mauwaji,ndio papatikane uokovu?Mtu kateswa na kauliwa,nyinyi mwasema ni uokovu.Quran ndio iliyokuja kusafisha njia
...Walisema:sisi tumemuua Masihi Iysa,mwana wa Maryam,Mtume wa mwenyezi Mungu-nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu,bali walifananishiwa tu...
Qur-aan,4157
Kama kweli tendo la kusulubiwa Yesu ni zuri,Mbona Yuda,aliyefanya mpango wa kusulubiwa kwa Yesu,anaitwa msaliti.Kama ingekuwa ni tendo zuri,Yuda awe wa kwanza kupokelewa mbinguni.Lakini ukristo umemwita Yuda msaliti,na wala ndani ya ukristo hna utakatifu wowote.Tafakari,chukuwa Hatua.
Kweli wewe ni mjinga mnene yaani wewe unaona kuna la maana ameandika huyo Yericko dah wagalatia bwana
hebu nionyesha lamaana ambalo linahitajika kujibu kwenye huo upuuzi hapo juuu
Mbona mpo nje ya mada yericko uzi wako unahusiana na haya.
Kwa hiyo mfumo mzima wa hiyo dini,umesimama juu ya Shetani?Maana bila shetani kulipwa deni lake,hiyo dini isingekuwapo?Wala uokovu usingekuwapo?Mnajichanganya sana.
Research on Islam and Muslims in Africa
An International Conference on Islam in Africa, University of Haifa (November 28, 2013)
The Think Tank for the Research of Islam and Muslims in Africa together with the Ezri Center for Iran & Persian Gulf Studies and the University of Haifa will be hosting at the University of Haifa on November 28, 2013, a
conference titled "An International Conference on Islam in Africa". The conference will deal with four main topics:
1. Israel and Africa,
2. the Horn of Africa and the Nile Basin,
3. Islam and Society in Africa, and
4. Islamic Radicalism in Africa - Sunni and Shi'ite Dimensions.
For more details and for the full program of the conference, please look at
the following link:
An International Conference on Islam in Africa, University of Haifa (November 28, 2013) | Research on Islam and Muslims in Africa
on-islam-in-africa-university-of-haifa-november-28-2013/
Cc: Elungata Ritz Boko haram Ally Kombo mbokaleo martyr2012 et al.
Hiyo conference ni platform nzuri ya kuweza kuwakilisha madukuduku yenu juu ya uwepo wa mfumo kristo Tanzania na athari zake kwa waislamu wa Tanzania.
Hivi ni kweli utafiti huo umefanywa November 28, 2013?,
Leo September 16, 2013
after jesus raised lazaro.
''they left the tomb and went to the Young man's house(lazaro house)for he was rich.six days later,jesus gave him instruction of what to do and IN THE EVENING THE YOUTH CAME TO HIM(Jesus).WEARING NOTHING BUT A LINEN CLOTH OVER HIS NAKED BODY.
HE REMAIN WITH JESUS ALL NIGHT,for jesus taught him the mystery of the kingdom of god.
And when jesus wokeup HE RETURN TO THE ORTHER SIDE OF JORDAN.(Mark10:34-35).
Sasa jamani mystery gani ya kufundishana usiku kucha tena kijana kaja amevaa kanga tu ndani yuko uchi?.
Baba mchungaji nicolaus explain this.
Teh teh teh! Umeishaamka, ni bora kuchakaa nguo kuliko akili.Ndio nini hiki Ritz?Hapa kweli nanyoosha mikono sijakupata..?
Binadamu kikawaida uzito wake wa ubongo ni 1400g.
Lakini wewe ubongo wako kama wa tembo uzito wake ni 0.15.
Ukichanganya na viroba unadhani kuna nini kichwani mwako
Dini yetu haiendelezwi na predictions!
Dini yetu hairuhusu akili kuambiwa!
Dini yetu hakuna binaadamu anauwezo wa kumsamehe binaadamu mwenzake!
Dini yetu hairuhusu kuchonga sanamu na kuweka picha ya mzungu halafu ukaiabudu!
Wala dini yetu hawezi binaadamu akakwambia kwa hakika kuwa wewe ni 100% utakuwa ni mtu wa peponi!
Hii ni kazi ya MUNGU MMOJA TU!
Na mimi na wewe wote ni viumbe tusiokiwa na uwezo wowote ktk amri ya MUNGU!
Wewe kuamini kuwa huyo Mungu aliyekuumba wewe alipigwa mijeledi mpaka akafa ndio kunakusababisha usimuheshimu tena huyo mungu. Na hao viongozi wenu wakaamua kuchukua madaraka yake ya kusamehe madhambi.
Wakati wenyewe huku nyuma wananajisi watoto wadogo kila siku tunaona kwenye habari!
Sasa sijui wao watasamehewa na nani??
Labda yericho nyenyere!! Mdanganyifu asiyejua hesabu!!
Hayo mambo ya kufanya ibada mwezini na kwenye space,lee uzi unao husiana na hayo.Jibu swali langu usikwepe,kwa nini aliyefanikisha kukamatwa kwa yesu,aitwe msaliti,wakati kitendo ni cha kuondolewa dhambi zenu.Haha..nilijua umechelewa sana UPDATE AKILI YAKO....Hilo swali niliwahi jibu wenzenu wa malaysia ktk forum fulani.....nilipowapa challenge waniambie ni vipi uislam utakwenda space, achilia mbali mwenzini...waislam waaangalie mwezi wakiwa mwezini, ni vipi watapiga swala 5 ktk siku yenye masaa8 ktk mwezi...watagawanya vipi mwaka wa mwezi kuzunguka dunia kwa siku 30, .....nadhani umesikia jisni waislam wanavyojitahidi kuingia ktk space programs huku wakitangaza, ila bado wanakopa sayansi kutoka duniani iwasaidi kumpa mtu taarifa saa ngapi aswali, ila haijamwambia afanyaje ili aweze tazama qibla, wakati space station inabadili mwelekeo mara nyingi kwa sekunde..na mara kibao atakuwa anapiga mgongo Qibla kichume na kanuni..
SIKILIZA KW AMAKINI:WAYAHAUDI WALIPOSEMA HAWAKUMUUA YESU NI KWELI NA BIBLIA HAIJASEMA KUWA WAYAHUDI WALIMUUA, ILA WAYAHUDI WALIMSHITAKI KWA UONGO NA WALIPOSHINDWA WALIOMBA HIYO KW AKUMBDILI NA BARABA...WAYAHUDI WALIKUWA WANAKALIWA NA WARUMI NA WARUMI NDIO WALIKUWANA HAKI YA KUHUMU KIFO NA KUTOA KUADHIBU KWA KUUA.SO HII HAIKUPIGA KIFO CHA YESU WALA QURAN AHAIJAKATAA HILO.
Quran haijakataa kuwa Yesu hakufa,ila imeuliza swali baada ya kusema wayahudi kusema si wao..
Suala la Yuda kuingia hatiani wakati alikuwa akiteimiliza mpango....hili jibu lake ni kwamba, Yuda ali commercialize na kulifanya dili, kitu ambacho kilimwingiza ktk uuzaji ghafla.Ni kama watu waliokwenda wauzia watu Net ambazo walitakiwa zitoa bure.
Ulichobakisha kwa siku ya pili mfululizo ni kusema majini tu!
Mi na wsws kuwa wale popo bawa walipita hapo kwako!!
Huwezi kuwa unawaongelea namna hii!!
Na nyie wachaga mnavyoogopa popobawa!!
Msee wangu ee! Chunga sana ilee nanihii kweli!
Teh teh teh teh!
Haha..nilijua umechelewa sana UPDATE AKILI YAKO....Hilo swali niliwahi jibu wenzenu wa malaysia ktk forum fulani.....nilipowapa challenge waniambie ni vipi uislam utakwenda space, achilia mbali mwenzini...waislam waaangalie mwezi wakiwa mwezini, ni vipi watapiga swala 5 ktk siku yenye masaa8 ktk mwezi...watagawanya vipi mwaka wa mwezi kuzunguka dunia kwa siku 30, .....nadhani umesikia jisni waislam wanavyojitahidi kuingia ktk space programs huku wakitangaza, ila bado wanakopa sayansi kutoka duniani iwasaidi kumpa mtu taarifa saa ngapi aswali, ila haijamwambia afanyaje ili aweze tazama qibla, wakati space station inabadili mwelekeo mara nyingi kwa sekunde..na mara kibao atakuwa anapiga mgongo Qibla kichume na kanuni..
SIKILIZA KW AMAKINI:WAYAHAUDI WALIPOSEMA HAWAKUMUUA YESU NI KWELI NA BIBLIA HAIJASEMA KUWA WAYAHUDI WALIMUUA, ILA WAYAHUDI WALIMSHITAKI KWA UONGO NA WALIPOSHINDWA WALIOMBA HIYO KW AKUMBDILI NA BARABA...WAYAHUDI WALIKUWA WANAKALIWA NA WARUMI NA WARUMI NDIO WALIKUWANA HAKI YA KUHUMU KIFO NA KUTOA KUADHIBU KWA KUUA.SO HII HAIKUPIGA KIFO CHA YESU WALA QURAN AHAIJAKATAA HILO.
Quran haijakataa kuwa Yesu hakufa,ila imeuliza swali baada ya kusema wayahudi kusema si wao..
Suala la Yuda kuingia hatiani wakati alikuwa akiteimiliza mpango....hili jibu lake ni kwamba, Yuda ali commercialize na kulifanya dili, kitu ambacho kilimwingiza ktk uuzaji ghafla.Ni kama watu waliokwenda wauzia watu Net ambazo walitakiwa zitoa bure.
Ndio mjue hao watu walikuwa Waislam,mpaka pale vitabu sahihi vya Mungu vilipochakachuliwa,na kuanzisha dini ambazo si za Mungu,dini za kupangwa na wanadamu.Maana historia,inaonyesha ukristo ulianza Antokyo,baada ya kuondoka Yesu duniani.Je kabla ya kuondoka Yesu na wakati wa Yesu,palikuwa na dini gani?,ikiwa ukristo ulikuwa bado?.Lakini tukiangalia uislamu ulikuwapo,toka Adam mpaka Muhammad,anapewa utume,aliutangaza uislam,anaondoka dunini,uislamu umeshaenea.Haukuanza uislam,baada ya kuondoka yeye.Ulikuwapo kipindi chake cha utume.
haha..sasa unawezaje sema kuwa unategemea kufika ktk pepo (Danguro la mabikra 72,mito ya wine)...kwa kufanya unachofanya sasa..?au hujui kuwa hiyo ni prediction..ndio maana unakuwa uki adjust kwa kafuata maelekezo , na mashsrti hata km unatoka ktk mstari..
Kasome vizuri maana ya christ kwa padri au pasta wako
Tendo la kusulubiwa kw Yesu ndio lililofanya mkasamehewa dhambi zenu.Kwa nini aliyefanya mpango huu wa kusulubiwa Yesu,aitwe msaliti na wakati alifanya tendo zuri?Huyu Yuda ndio amewaokoa wakristo wote na dhambi kwa kufanikisha tendo hili,lakini ndio ameonekana ni msaliti.Mbona mnajichanganya?