UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Kamanda naona usingizi umekukamata kweli umekesha JF teh teh teh teh! unataka kukimbia tulia jamvini tukupe dawa.

sasa unaongea nini?mtu kachoka, halafu unasema tena anakimbia....unayo kazi....logical hakuna muunganiko.
 
1) Kwa mfano Tanzania ikijiunga na OIC uhuru wa makanisa utakuwa umeingiliwaje?

2)Kuna sheria gani inayoilazimu serikali kusimamia pesa zinazohusu mambo ya dini yoyote
hapa Tanzania?

1) Uhuru wa makanisa utakuwa haujaingiliwa kwakuwa makanisa hayana uhusiano na OIC, lakini serikali itakuwa imevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi tutaiwajibisha serikali hiyo,

2) Hakuna sheria,

Ufafanuzi zaidi: Suala la MOU lililazimu serikali kuwa mhusika kama shahidi kwakuwa lilihusu NCHI ya kigeni na taasisi ya kidini nchini Tanzania,

Hata leo waislamu wakiingia makubaliano MoU na serikali ya Iran kwaajili ya kupewa pesa za kuendeshea taasisi zenu, Serikali ya Tanzania itahusika katika MoU hiyo kama Shaidi na msimamizi wa pesa hizo!
 
Kitabu ambacho hakizuiwi,ni kile kinachotangaza mauwaji,ndio papatikane uokovu?Mtu kateswa na kauliwa,nyinyi mwasema ni uokovu.Quran ndio iliyokuja kusafisha njia
...Walisema:sisi tumemuua Masihi Iysa,mwana wa Maryam,Mtume wa mwenyezi Mungu-nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu,bali walifananishiwa tu...
Qur-aan,4157
Kama kweli tendo la kusulubiwa Yesu ni zuri,Mbona Yuda,aliyefanya mpango wa kusulubiwa kwa Yesu,anaitwa msaliti.Kama ingekuwa ni tendo zuri,Yuda awe wa kwanza kupokelewa mbinguni.Lakini ukristo umemwita Yuda msaliti,na wala ndani ya ukristo hna utakatifu wowote.Tafakari,chukuwa Hatua.

Haha..nilijua umechelewa sana UPDATE AKILI YAKO....Hilo swali niliwahi jibu wenzenu wa malaysia ktk forum fulani.....nilipowapa challenge waniambie ni vipi uislam utakwenda space, achilia mbali mwenzini...waislam waaangalie mwezi wakiwa mwezini, ni vipi watapiga swala 5 ktk siku yenye masaa8 ktk mwezi...watagawanya vipi mwaka wa mwezi kuzunguka dunia kwa siku 30, .....nadhani umesikia jisni waislam wanavyojitahidi kuingia ktk space programs huku wakitangaza, ila bado wanakopa sayansi kutoka duniani iwasaidi kumpa mtu taarifa saa ngapi aswali, ila haijamwambia afanyaje ili aweze tazama qibla, wakati space station inabadili mwelekeo mara nyingi kwa sekunde..na mara kibao atakuwa anapiga mgongo Qibla kichume na kanuni..

SIKILIZA KW AMAKINI:WAYAHAUDI WALIPOSEMA HAWAKUMUUA YESU NI KWELI NA BIBLIA HAIJASEMA KUWA WAYAHUDI WALIMUUA, ILA WAYAHUDI WALIMSHITAKI KWA UONGO NA WALIPOSHINDWA WALIOMBA HIYO KW AKUMBDILI NA BARABA...WAYAHUDI WALIKUWA WANAKALIWA NA WARUMI NA WARUMI NDIO WALIKUWANA HAKI YA KUHUMU KIFO NA KUTOA KUADHIBU KWA KUUA.SO HII HAIKUPIGA KIFO CHA YESU WALA QURAN AHAIJAKATAA HILO.
Quran haijakataa kuwa Yesu hakufa,ila imeuliza swali baada ya kusema wayahudi kusema si wao..

Suala la Yuda kuingia hatiani wakati alikuwa akiteimiliza mpango....hili jibu lake ni kwamba, Yuda ali commercialize na kulifanya dili, kitu ambacho kilimwingiza ktk uuzaji ghafla.Ni kama watu waliokwenda wauzia watu Net ambazo walitakiwa zitoa bure.
 
Kweli wewe ni mjinga mnene yaani wewe unaona kuna la maana ameandika huyo Yericko dah wagalatia bwana
hebu nionyesha lamaana ambalo linahitajika kujibu kwenye huo upuuzi hapo juuu

matusi..........full...ndipo akili zimezima si mngekusanya aya za kukusanya hadi mchoko km kawaida yenu.
 
Research on Islam and Muslims in Africa

An International Conference on Islam in Africa, University of Haifa (November 28, 2013)

The Think Tank for the Research of Islam and Muslims in Africa together with the Ezri Center for Iran & Persian Gulf Studies and the University of Haifa will be hosting at the University of Haifa on November 28, 2013, a
conference titled "An International Conference on Islam in Africa". The conference will deal with four main topics:

1. Israel and Africa,
2. the Horn of Africa and the Nile Basin,
3. Islam and Society in Africa, and
4. Islamic Radicalism in Africa - Sunni and Shi'ite Dimensions.

For more details and for the full program of the conference, please look at
the following link:

An International Conference on Islam in Africa, University of Haifa (November 28, 2013) | Research on Islam and Muslims in Africa
on-islam-in-africa-university-of-haifa-november-28-2013/

Cc: Elungata Ritz Boko haram Ally Kombo mbokaleo martyr2012 et al.

Hiyo conference ni platform nzuri ya kuweza kuwakilisha madukuduku yenu juu ya uwepo wa mfumo kristo Tanzania na athari zake kwa waislamu wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mfumo mzima wa hiyo dini,umesimama juu ya Shetani?Maana bila shetani kulipwa deni lake,hiyo dini isingekuwapo?Wala uokovu usingekuwapo?Mnajichanganya sana.

mfumo mzima ni umebase ktk kumkomboa binadamu..na hata islam inajitangaza hivyo ingawa haina wokovu zaidi ya utumwa...presummption ya kwanza ni dhambi aliyotenda adamu ndiyo iliyowauza uzao wake....ndio iliyo mpa access Iblis kwa binadamu baada ya kufukuzwa mbinguni...Bibli aipo wazi ba makini sana kutaja vipindi Binadamu walipokuw wakijisahau na kuvunja maagano na Mungu, na mwisho wake wakawa wanajikua wakiwa kwa shetani.Mungu akawaletea mitume waliokuja wapa ujumbe na maagano mengine.....

Kwani mfumo mzima kusimamami ukombozi ni taabu..?Kuna mision nyingi tuu za US kwa ajili ya kupambana na ugaidi, kupambana na Uharamia wa wasomali, otherwise Mungu asingekuwa na haja ya kufanya Ukombozi km hakuna utumwa ...jombaa vipi?Uislam hauna Mission....?Oh well mission yake ni ...Watu kuji.."salimisha" kwa allah na jinns...kuwatambua jinn ambao mkuu wao ni Iblis....
 
Research on Islam and Muslims in Africa

An International Conference on Islam in Africa, University of Haifa (November 28, 2013)

The Think Tank for the Research of Islam and Muslims in Africa together with the Ezri Center for Iran & Persian Gulf Studies and the University of Haifa will be hosting at the University of Haifa on November 28, 2013, a
conference titled "An International Conference on Islam in Africa". The conference will deal with four main topics:

1. Israel and Africa,
2. the Horn of Africa and the Nile Basin,
3. Islam and Society in Africa, and
4. Islamic Radicalism in Africa - Sunni and Shi'ite Dimensions.

For more details and for the full program of the conference, please look at
the following link:

An International Conference on Islam in Africa, University of Haifa (November 28, 2013) | Research on Islam and Muslims in Africa
on-islam-in-africa-university-of-haifa-november-28-2013/

Cc: Elungata Ritz Boko haram Ally Kombo mbokaleo martyr2012 et al.

Hiyo conference ni platform nzuri ya kuweza kuwakilisha madukuduku yenu juu ya uwepo wa mfumo kristo Tanzania na athari zake kwa waislamu wa Tanzania.

Hivi ni kweli utafiti huo umefanywa November 28, 2013?,

Leo September 16, 2013
 
Last edited by a moderator:
after jesus raised lazaro.

''they left the tomb and went to the Young man's house(lazaro house)for he was rich.six days later,jesus gave him instruction of what to do and IN THE EVENING THE YOUTH CAME TO HIM(Jesus).WEARING NOTHING BUT A LINEN CLOTH OVER HIS NAKED BODY.
HE REMAIN WITH JESUS ALL NIGHT,for jesus taught him the mystery of the kingdom of god.
And when jesus wokeup HE RETURN TO THE ORTHER SIDE OF JORDAN.(Mark10:34-35).
Sasa jamani mystery gani ya kufundishana usiku kucha tena kijana kaja amevaa kanga tu ndani yuko uchi?.
Baba mchungaji nicolaus explain this.

Elungata unajua shida ya waislam ni kwamba hawana akili ....na hata Arabs wengi tuu wanasema wazi kuwa Arabs wana akili ndogo sana...ila wana ujasiri sana...Huw ampo desperate sana kuchukua vitu vinavyopinga Ukristu....hata kama vinapinga na uislam wenyewe...mojawapo nikakupa mfano wa Theory of Evolution...ulicho copy hujaweza think otherwise..ndio maana umejaribu sana kukufuru illi kutafuta kashfa kwa Kristu..ndio maana dhambi aliyosema Yesu haisameheki...ya kumkufuru Roho Mtakatifu...Muslims do it day and night......yule mwandishi alikuwa akitaka onyesha kuwa hakuwa amevaa zaidi ya nguo aliyofufuka nayo.....na kuonyesha kuwa haikuchukua muda tangu kufufuka na kurudi kwa Yesu....Linen ndio kitambaa kilichotumika kumzika..Pengine hakupata nguo nyingine kwa vile watu walikuwa akiogopa kuwa ni mzimu.
 
Ndio nini hiki Ritz?Hapa kweli nanyoosha mikono sijakupata..?
Teh teh teh! Umeishaamka, ni bora kuchakaa nguo kuliko akili.

Ngoja nikupe darsa kauzu wewe maneno mengi kumbe huna ulijualo.

"Neurologicall" Objectives To assess the feasibillity and reliabillty of systematic evaluations of analgesia, sedatio...

Wewe una PhD ya Ujinga.
 
Binadamu kikawaida uzito wake wa ubongo ni 1400g.

Lakini wewe ubongo wako kama wa tembo uzito wake ni 0.15.

Ukichanganya na viroba unadhani kuna nini kichwani mwako

-Unakichaa wewe..hakuna kitu unaweza andika sahihi....0.15 kg/tonn/gm au?
-kwani viroba vinapunguza uzito au vinaongeza?Viroba havina uzito..?Hizi ni hesabu za mwaka wa tembo , wa mbwa au wa ngamia....?Angalia usijikute unatukana uislam zaidi ukidhani unanitukana mimi?

Haha..hata hesabu ya urithi ktk Uislam ni wendawazimu kabisa...km elimu ya mangaribi haikuwepo....sijui km kaenda ya kiislam ingekuwepo tena,majina ya mwaka kubase ktk wanyama...sijui mwaka wa Tembo, ngamia etc mngekuwa mmemaliza wanyama wote wa saudi Arabia na miezi kutumia majina, mngejuwa mmemalizia miezi ya shaaban, ramadhani, na wengine wangedai miezi yao.
 
Dini yetu haiendelezwi na predictions!

Dini yetu hairuhusu akili kuambiwa!

Dini yetu hakuna binaadamu anauwezo wa kumsamehe binaadamu mwenzake!

Dini yetu hairuhusu kuchonga sanamu na kuweka picha ya mzungu halafu ukaiabudu!
Wala dini yetu hawezi binaadamu akakwambia kwa hakika kuwa wewe ni 100% utakuwa ni mtu wa peponi!
Hii ni kazi ya MUNGU MMOJA TU!
Na mimi na wewe wote ni viumbe tusiokiwa na uwezo wowote ktk amri ya MUNGU!
Wewe kuamini kuwa huyo Mungu aliyekuumba wewe alipigwa mijeledi mpaka akafa ndio kunakusababisha usimuheshimu tena huyo mungu. Na hao viongozi wenu wakaamua kuchukua madaraka yake ya kusamehe madhambi.
Wakati wenyewe huku nyuma wananajisi watoto wadogo kila siku tunaona kwenye habari!
Sasa sijui wao watasamehewa na nani??

Labda yericho nyenyere!! Mdanganyifu asiyejua hesabu!!

haha..sasa unawezaje sema kuwa unategemea kufika ktk pepo (Danguro la mabikra 72,mito ya wine)...kwa kufanya unachofanya sasa..?au hujui kuwa hiyo ni prediction..ndio maana unakuwa uki adjust kwa kafuata maelekezo , na mashsrti hata km unatoka ktk mstari..
 
Haha..nilijua umechelewa sana UPDATE AKILI YAKO....Hilo swali niliwahi jibu wenzenu wa malaysia ktk forum fulani.....nilipowapa challenge waniambie ni vipi uislam utakwenda space, achilia mbali mwenzini...waislam waaangalie mwezi wakiwa mwezini, ni vipi watapiga swala 5 ktk siku yenye masaa8 ktk mwezi...watagawanya vipi mwaka wa mwezi kuzunguka dunia kwa siku 30, .....nadhani umesikia jisni waislam wanavyojitahidi kuingia ktk space programs huku wakitangaza, ila bado wanakopa sayansi kutoka duniani iwasaidi kumpa mtu taarifa saa ngapi aswali, ila haijamwambia afanyaje ili aweze tazama qibla, wakati space station inabadili mwelekeo mara nyingi kwa sekunde..na mara kibao atakuwa anapiga mgongo Qibla kichume na kanuni..

SIKILIZA KW AMAKINI:WAYAHAUDI WALIPOSEMA HAWAKUMUUA YESU NI KWELI NA BIBLIA HAIJASEMA KUWA WAYAHUDI WALIMUUA, ILA WAYAHUDI WALIMSHITAKI KWA UONGO NA WALIPOSHINDWA WALIOMBA HIYO KW AKUMBDILI NA BARABA...WAYAHUDI WALIKUWA WANAKALIWA NA WARUMI NA WARUMI NDIO WALIKUWANA HAKI YA KUHUMU KIFO NA KUTOA KUADHIBU KWA KUUA.SO HII HAIKUPIGA KIFO CHA YESU WALA QURAN AHAIJAKATAA HILO.
Quran haijakataa kuwa Yesu hakufa,ila imeuliza swali baada ya kusema wayahudi kusema si wao..

Suala la Yuda kuingia hatiani wakati alikuwa akiteimiliza mpango....hili jibu lake ni kwamba, Yuda ali commercialize na kulifanya dili, kitu ambacho kilimwingiza ktk uuzaji ghafla.Ni kama watu waliokwenda wauzia watu Net ambazo walitakiwa zitoa bure.
Hayo mambo ya kufanya ibada mwezini na kwenye space,lee uzi unao husiana na hayo.Jibu swali langu usikwepe,kwa nini aliyefanikisha kukamatwa kwa yesu,aitwe msaliti,wakati kitendo ni cha kuondolewa dhambi zenu.
 
Ulichobakisha kwa siku ya pili mfululizo ni kusema majini tu!
Mi na wsws kuwa wale popo bawa walipita hapo kwako!!
Huwezi kuwa unawaongelea namna hii!!
Na nyie wachaga mnavyoogopa popobawa!!
Msee wangu ee! Chunga sana ilee nanihii kweli!
Teh teh teh teh!

Haha...kwa sababu bado ni validi issue kwa waislam...kuwatambua majinn na kuwaamini ni sheria kwa muislam...sasa unataka jibaraguza nini?

Kwa vile nimewaambai mtuambie mnapata wapi damu za kuwapa majinn ili tusolve hili suala la vurugu zenu km vampires.
 
Haha..nilijua umechelewa sana UPDATE AKILI YAKO....Hilo swali niliwahi jibu wenzenu wa malaysia ktk forum fulani.....nilipowapa challenge waniambie ni vipi uislam utakwenda space, achilia mbali mwenzini...waislam waaangalie mwezi wakiwa mwezini, ni vipi watapiga swala 5 ktk siku yenye masaa8 ktk mwezi...watagawanya vipi mwaka wa mwezi kuzunguka dunia kwa siku 30, .....nadhani umesikia jisni waislam wanavyojitahidi kuingia ktk space programs huku wakitangaza, ila bado wanakopa sayansi kutoka duniani iwasaidi kumpa mtu taarifa saa ngapi aswali, ila haijamwambia afanyaje ili aweze tazama qibla, wakati space station inabadili mwelekeo mara nyingi kwa sekunde..na mara kibao atakuwa anapiga mgongo Qibla kichume na kanuni..

SIKILIZA KW AMAKINI:WAYAHAUDI WALIPOSEMA HAWAKUMUUA YESU NI KWELI NA BIBLIA HAIJASEMA KUWA WAYAHUDI WALIMUUA, ILA WAYAHUDI WALIMSHITAKI KWA UONGO NA WALIPOSHINDWA WALIOMBA HIYO KW AKUMBDILI NA BARABA...WAYAHUDI WALIKUWA WANAKALIWA NA WARUMI NA WARUMI NDIO WALIKUWANA HAKI YA KUHUMU KIFO NA KUTOA KUADHIBU KWA KUUA.SO HII HAIKUPIGA KIFO CHA YESU WALA QURAN AHAIJAKATAA HILO.
Quran haijakataa kuwa Yesu hakufa,ila imeuliza swali baada ya kusema wayahudi kusema si wao..

Suala la Yuda kuingia hatiani wakati alikuwa akiteimiliza mpango....hili jibu lake ni kwamba, Yuda ali commercialize na kulifanya dili, kitu ambacho kilimwingiza ktk uuzaji ghafla.Ni kama watu waliokwenda wauzia watu Net ambazo walitakiwa zitoa bure.

Wewe biblia huijui! Quraan utaijua wapi wewe!
Unasema quraan haijakataa kuhusu kifo cha yesu!
Hebu skiliza quraan inasema nini hapa!!

Qurani Suratul An-Nisaa (Wanawake) 4:157-158

“Na kwa (ajili ya )kusema kwao sisi tumemuua masihi Isa mwana wa Maryamu, mtume wa Mungu. Hali hawakumuua wala hawakumsulubu bali walibabaishiwa (mtu mwingine wakamdhani nabii Isa.) Na kwa hakika wale waliokhitalifiana katika (hakika)hiyo (ya kumuua nabii Isa) wamo katika shaka nalo (jambo hilo kusema kauwawa].
Wao (kabisa) hawana yakini juu ya (jambo)hili (la kuwa kweli wamemuua nabii isa) isipokuwa wanafuata dhana tu.Na kwa yakini hawakumuua. Bali mwenyenzi Mungu alimnyanyua kwake. Na mwenyenzi Mungu ni mwenye nguvu (na)mwenye hikima.-

Muongo mkubwa wewe!
Usijua andiko wala usijua vibaya!
Kwani ukisema sijui utaaibika?
Sasa hebu tazama andiko linakufundisha nini hapa!

1 Tim 2:5 “ Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;”

We aliyekupa ruhusa ya kumuita mungu ni nani??
 
Ndio mjue hao watu walikuwa Waislam,mpaka pale vitabu sahihi vya Mungu vilipochakachuliwa,na kuanzisha dini ambazo si za Mungu,dini za kupangwa na wanadamu.Maana historia,inaonyesha ukristo ulianza Antokyo,baada ya kuondoka Yesu duniani.Je kabla ya kuondoka Yesu na wakati wa Yesu,palikuwa na dini gani?,ikiwa ukristo ulikuwa bado?.Lakini tukiangalia uislamu ulikuwapo,toka Adam mpaka Muhammad,anapewa utume,aliutangaza uislam,anaondoka dunini,uislamu umeshaenea.Haukuanza uislam,baada ya kuondoka yeye.Ulikuwapo kipindi chake cha utume.

Huwezi kuwa muislam bila kutimiza nguzo za uislam wewe kilaza:

--Yesu hakusema ..hakuna mungu ila allaha, na muhamad mtume wake..
--Yesu hakuangalia qibla akisali ,ila Juu mbinguni, wakati mitume wengine walibadili, kutokana na enzi, Musa aliangalia Milina ya Sinai, Wengine walingalia Hekalu la Jerusalem....

---Mitume wengie wa kiyahudi walifunga siku 40, au pungufu na si ramadhani.Hwakufanya kwa pamoja na kufuturu kila usiku ,kwa kula k ilafi hadi kuvimbiwa na kujamba hovyo...mfano..Yohana Mbatizaji alaifunga siku 40 jangwan akila asali na nzige kwa kiasi ch akumsaidia kupata nguvu kidogo aliyohitaji..Yesu naye alifunga ..kivyake..

----Hawakupigana jihad..
-- Na walito matoleo yao si kwa stili ya waislam ya Zakati...
 
haha..sasa unawezaje sema kuwa unategemea kufika ktk pepo (Danguro la mabikra 72,mito ya wine)...kwa kufanya unachofanya sasa..?au hujui kuwa hiyo ni prediction..ndio maana unakuwa uki adjust kwa kafuata maelekezo , na mashsrti hata km unatoka ktk mstari..

Dini zoote za uongo zinawapa wafuasi wake guarantee ya kwenda peponi!
Uislami peke yake kazi hio wamemuachia MUNGU mwenyewe!
Kwa sababu HAKUNA BINAADAMU ANAWEZA KUJUA UCHAMUNGU WA MWANADAMU NDANI YA ROHO YAKE!
Na ni MUNGU PEKE YAKE MWENYE KUWEZA KUJUA HILO!
lkn cha ajabu watu wazima kama nyie mnaenda kupewa guarantee na mchungaji kuwa mtaingia mbinguni!
Eti tu mkienda kanisani mkapiga goti na kunywa divai na mkate!
Halafu unakuta huyo mchungaji mbeleni ana kesi ya ubakaji!!

Hakuna kitu kinaitwa predictions ktk ufalme wa MUNGU!
Au labda hujui maana ya prediction!
Hebu tafuta dictionary halafu uregebishe kauli zako!
 
Tendo la kusulubiwa kw Yesu ndio lililofanya mkasamehewa dhambi zenu.Kwa nini aliyefanya mpango huu wa kusulubiwa Yesu,aitwe msaliti na wakati alifanya tendo zuri?Huyu Yuda ndio amewaokoa wakristo wote na dhambi kwa kufanikisha tendo hili,lakini ndio ameonekana ni msaliti.Mbona mnajichanganya?

haha...alichofanya Yuda ni kugeuza jambo kuwa dili na kuliuza kabla wahusika hawajakinywa kikombe chao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom