UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Yaani nyie sijui ni lini mwamedi atawarudishia akili zenu
Unaquote kitu kingine unajibu kitu kingine!!!!!!!
hahaha,

''WEWE NDIYE PETERO NA JUU YA MWAMBA HUU,NTALIJENGA KANISA LANGU''.
Kanisa limejengwa juu ya petero.
Yesu alimfokea petero,''ONDOKA MBELE YANGU SHETANI MKUBWA.Mathew 16:23.
Ndo kusema kanisa limejengwa juu ya shetani?
 
By mjasiria

Mkuu kuna kipindi mimi pia nilidhani Eiyer ni mtu ambaye anaweza kuangalia mambo objectively, kumbe wapi mule mule tu. Sasa mtu anapewa link hata kabla ya kusoma anatoa lugha za ajabu. Well hata kama link ni za hovyo jibu hoja basi waaaaapi povu tu.

Mtu makini hadhani anatumia akili yake kujua
Wewe kwenye hili umeonesha namna unavyofanya mambo kwa kubahatisha

Ndio maana hata haya majibu yako nayo ni ya kudhani tu
Nimemuambia huyo kilaza mwenzako kuwa kabla hajanipa hiyo link nilishawahi kuipitia na nimejua hayo baada ya kuifungua

Nilimuambia kuwa hiyo link inahusiana na mambo yua NWO
Au hujui Nwo ni kitu gani?
 

Hopo sasa!
 
hiyo link iko well researched,justbecause imetaja mambo ya new world order haifanyi wewe usiifatile,kwani mfumo kristo lengo lake nini kama sio kuzicontrol serikali dunia nzima,ndo maana ikaiitwa ALL ROADS LEADS TO ROME.

Kwa maana kuwa kila ukifuata chanzo cha haya mambo yanakurudisha rome,na rome ndo palipo na holy see,vatican church.
 
hahaha,

''WEWE NDIYE PETERO NA JUU YA MWAMBA HUU,NTALIJENGA KANISA LANGU''.
Kanisa limejengwa juu ya petero.
Yesu alimfokea petero,''ONDOKA MBELE YANGU SHETANI MKUBWA.Mathew 16:23.
Ndo kusema kanisa limejengwa juu ya shetani?

Hebu tuambie na kilichomfanya Yesu afoke?
 
hahaha,

''WEWE NDIYE PETERO NA JUU YA MWAMBA HUU,NTALIJENGA KANISA LANGU''.
Kanisa limejengwa juu ya petero.
Yesu alimfokea petero,''ONDOKA MBELE YANGU SHETANI MKUBWA.Mathew 16:23.
Ndo kusema kanisa limejengwa juu ya shetani?

Yaani nyie hamjui hata mnataka kujua nini
Kabla jambo moja halijaisha mnaleta lingine

Hapa tena umeibuka na jambo lingine
Hapa tunajaza tu sever za JF bila sababu yoyote ile
Nyie watu ni wa ajabu sana!!
 
hiyo link iko well researched,justbecause imetaja mambo ya new world order haifanyi wewe usiifatile,

Sijakuambia sijaifuatilia!

kwani mfumo kristo lengo lake nini kama sio kuzicontrol serikali dunia nzima,

Hebu niambie mfumo kristo ni kitu gani kwa ufahamu wako!

ndo maana ikaiitwa ALL ROADS LEADS TO ROME.

Nani amekuambia kuwa Rome ndio inawakilisha Wakristo wote?
Hivi unajua kama Wasabato wanaamini kuwa taasisi ya Upapa ndio mpinga Kristo?
Sasa kwa mtazamo huo wa ki-Sabato mpinga Kristo atawakilishaje Ukristo?
Ndio maana nakuambia wewe na wenzako hamjui mnaandika nini!


Kwa maana kuwa kila ukifuata chanzo cha haya mambo yanakurudisha rome,na rome ndo palipo na holy see,vatican church.

Hoja ya hovyo kabisa hii!
 
Hebu tuambie na kilichomfanya Yesu afoke?

Hao watu watakuchosha tu

Wao hawajui kwanza ni kitu gani kilichomfanya Yesu aseme hayo na hawajui alikua anamwambia nani
Wenyewe wanaangalia mwili tu
Ndio maana wameahidiwa wanawake 70 mabikra wenye macho kama vikombe vya chai
Halafu mtu unajiita una akili timamu kuifuata dini ya namna hii!!
 
Luke5:8,peter admitted that he was a sinfull man.
Mathew14:31,peter was rebuked by jesus for doubting and having so little faith.
Mathew16:22,peter rebuked jesus accussing jesus of lying.
Mathew16:23.peter was called satan by jesus.
Does this gualify peter for sainthood.
Mathew26:70-75,peter had said he would never desert jesus.he then denied jesus 3 times.
Peter alleged that Lot was RIGHTEOUS 2peter2:7-8.although Lot offered his 2 virgin daughter to a mob.genesis19:8.
Then lot himself had sex with both his virgin daughter.
Genesis 19:30-38,and even made them pregnent with his very sperm...this setup is good and righteous and proper to peter.
Then this peter become ''THE ROCK'' THE 1st pope,the cornerstone of the holy catholic church.
 
Irrelevant comments... no correlation with topic. Mkuu yericko hii thread imeingia virusi tofauti na ile ya uchochezi na ngano za mzee mudi side.
Hivyo ni kheri ukawaomba mods wafunge tu.

Tuwaache waseme mpaka nyongo ziwatoke mwisho watakosa chakuongea na watarejea kwenye mada husika,

Mada ipo inasubiri challenge zao
 

Sasa naona mmeishiwa na hoja hamnatena cha kuokota.
Mmeaza vya kutunga.
 
mfumo kristo umeelezwa vizuri kwenye hiyo link.

Usinambie kuhusu wasabato nawajua vyema nimesomea BUSECO,kama uko usukumani unajua kuwa ni shule ya wasabato.
Punguza pressure utapata stroke bure.
 
Huyu hapa kazi ni kibarua wa kupiga zege naye anajiita mtafiti, teh teh teh...



Yericko Nyerere,




Hapa yupo mzigoni baada ya kufanya utafiti wake feki!!
 
Kama sina lolote ni kitu gani kimekufanya ukaniquote?



Mpiasho ni kitu gani?
Ni quote gani nimekata?





Huwa unanisaidia kufikiri?
Na umetumia kipimo gani kujua hayo?


Povu la nini yakhe?
Nimefuata maono ya nani?
Huna jaza page bure na hizo QUOTE zako.
Kama sina lolote ni kitu gani kimekufanya ukaniquote?
Ubongo wako kama wa tembo 0.15g.
Mpiasho ni kitu gani?
Ni quote gani nimekata?
Hii hapa chini...
He!
Hawa watu kweli ni wagonjwa wa akili
Hivi kusema kweli yamekua matusi siku hizi?
Mbona hujasema hayo matusi ni yapi?
Hayo ndio maisha ya mtume wako
Na ndivyo alivyojipatia utajiri
Nakufahmisha tu tumechoka na hizo QUOTE zako za kitoto sawa kijana nakuachia mpini huu chini cheza nao.
[h=2]Roman Catholic chapel in Poland with 24.000 skulls and skeletons[/h] Hundreds of skulls have been put up around this alter with a crucifix. This place is a Vatican approved chapel.

This Roman Catholic chapel is full of bones and skulls.

The present Pope only adore one skeleton at the time. This picture was taken during the Pontiffs visit to the Church which has kept the bones of St. Augustine for “veneration”.
The Pope pray in front of a box full of a dead mans bones.

But in the Skull Chapel in Czermana in Poland, the Pontiff get a chance to adore 3.000 “Holy skulls” inside this Church property.
Hundreds of them has been put up for display around the alter, where a Roman Catholic Crucifix also has been put up for veneration.
The Papist priests in this city were surely solid bone collectors. Since the visual walls of the chapel could not contain all the skulls and bones they had collected, remains of another 21.000 people have been hidden in the cellar of the chapel. That is the almost mind blowing number of 24.000 headless people stored up in one “holy place”.
This Catholic chapel in Poland holds a cruel and evil secret of thousands of skulls and bones.

Who are all these people, hanging around this crucifix.
The Catholic Church claim they died of cholera, epidemics and hunger.
The diseased bodies are remains from the Thirty Years war from 1618 to 1648. But the chapel was built in 1776 by the local parish priest Wacław Tomaszek. The official explanation behind this chapel, is more than bizarre: A Roman Catholic priest that used most of his life to collect bones from mass graves.
For a dozen years, the priest collected them, disinfected and stored. In 1804, the skull of the priest was also placed in the altar.
If you think this is a joke, please read from the website of the Government of Poland.
For people who have read European history, it might be striking that the grave yards that were opened in Poland, held the remains of people who died during the wars of the Reformation. In hundreds of thousands Christians who refused to call the Pope “Holy Father” were slaughtered by Papal sent butchers.
Skulls of 21.000 Christian protestant martyrs slaughtered by Rome might be hidden in this cellar.

This is a more likely explanation behind this extraordinary collection of skull and bones:
The blood of these Christians martyrs in Poland are gone, and their souls are with Father God and His Son in Heaven.
They lost their life when Papal butchers chopped their head off. These cruel men even denied these followers of Jesus a grave.
Why else, would anyone collect so many skulls and skeleton, put them up for display next to the Roman Catholic copy of the Messiah?
What is this crucifix all about. but a piece of stone or wood that can neither speak, nor will survive the flames that shall burn all falsehood on the Face of the Earth.
Unfortunately, for a billion Catholics or more, they have shared in the sins of this lawless and evil Church.
The final judgment for the city of Rome is mentioned in the book of revelation:

Revelation 18:17-22

In one hour such great wealth has been brought to ruin!’
“Every sea captain, and all who travel by ship, the sailors, and all who earn their living from the sea, will stand far off. When they see the smoke of her burning, they will exclaim, ‘
Was there ever a city like this great city?’ They will throw dust on their heads, and with weeping and mourning cry out: ”
‘Woe! Woe, O great city, 
 where all who had ships on the sea 
 became rich through her wealth! 
 In one hour she has been brought to ruin! 
Rejoice over her, O heaven!
Rejoice, saints and apostles and prophets! 
 God has judged her for the way she treated you.’

Wadau Link hii............

[h=3]skeleton church.com[/h]
 
Always christian radical cleric


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa naona mmeishiwa na hoja hamnatena cha kuokota.
Mmeaza vya kutunga.
Burudika na huu mpini...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…