UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
16)(a) MIMBA YA ISA ILIKUWA NI YA SIKU MOJA Qur’an Suratul Maryam,19:21-22 “ (Malaika) akasema: “ Nikama hivyo (unavyosema; lakini) Mola wako amesema ‘Haya ni sahali Kwangu, na ili Tumfanye muujiza kwa wanaasamu na rehema itokayo Kwetu (ndiyo Tumefanya hivi);’ Na hili ni jambo lililokwisha kuhukumiwa.” Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali” b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA. Luka 2:6-7 “ ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni” NB: Mwezi wa sita uliotajwa katika Luka 1:26 ni mwezi wenye kuelezea umri wa mimba ya Yohana ndani ya tumbo la Elizabethi. Luka 1: 36 “ Tena tazama jamaa yako Elizabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa” NB: Hori iliyotajwa hapa,ina maana ya chombo cha kulishia wanyama kinachokuwa ndani ya zizi. Kwa Kiyunani (Kigiriki) ambayo ndiyo lugha iliyotumika kuandikia Agano Jipya ,chombo hicho kinaitwa “Fatne” kwa Kiingereza kinaitwa “a manger” 17)ISA (A.S) ATAKAPORUDI ATAKUJA KUVUNJA MISALABA NA KUUA NGURUWE Mkweli Mwaminifu, Juzuu 3-4, uk.20, Hadithi na. 753 “ Haisimami saa ya (kiyama) mpaka akuteremkieni nabii Isa (a.s) mwana wa Maryamu atahukumu (kwa sheria ya Kiislamu) (na) muadilifu, basi atavunja misalaba (ya Wakristo Makanisani) na ataua nguruwe, na ataondosha fedheha au (aibu), na mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali (ataikataa) mtu (kwa kuogopa kiyama)” .Soma pia katika Sahihi Bukhar, vol. 3, Hadithi na 425,. Al-Lu’lu’war-Marjan, juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur’an uk.757 b)YESU KRISTO ATAKAPORUDI ATAWATUMA MALAIKA ZAKE KUWAKUSANYA WATAKATIFU Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi, naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.” ONYO LA YESU KRISTO WA NAZARETH Math 24:24 “ kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini hata walio wateule.” (Angalia pia Marko 13:22) Yoh 8:24 “ Kwa hiyo naliwambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye mtakufa katika dhambi zenu.” WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)
 
.......katika Qur'an kuna surat Maryam, inamzungumzia Yesu na Mama yake, pia kuna surat Banii Israeli.......inazungumzia Wayahudi (hiyo ni Injil)

Kuna kisa cha Musa na nduguye Haruun (tokea wanapewa Unabii) hiyo ni Tourat !

Kuna Daudi na Jalut (goliath) hiyo ni Zaburi !
Mkuu Ally Kombo,

Nakusoma na miwani ya 3D jinsi unavyotoa darsa humu ukumbini.

Cc; THE BIG SHOW, crabat, Sideeq,
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndivyo ulivyofundishwa madirasa!
Kama yule mliyemfundisha uongo kuwa quran ikikojolewa aliyekojolea atageuka mjusi. Watoto wakafanyia mazoezi mafundisho, uongo ukazihirika mwisho kwa kufunika aibu ya uwongo wenu mkachoma majengo ya kanisa, kisha mkajilaani na kusema ni wauni, kumbe quran iliyokojolewa ni ya wauni. KWELI HII DINI YENYE ILE QURAN ILIYOKOJOLEWA NI NIDI YA UONGO, NA YA WAUNI, NA NI GIZA LA ULIMWENGU, NIJANGAAAAAAAAAAAAaaaaaaaaa kwa wafuasi wake.
wewe unafikiri kila dini wana style ya.

Fungua matayo mbili tatu.
Soma.funika bible,tusari. Etc.
Huitaji kufundishwa jitahidi ujifunze wewe mwenyewe bila kutegemea wachungaji.yesu hajajitoa kafara pale msalabani kwa mujibu wa maandiko yenu.
 
Chamtemamoto kabla kujadili hicho ulicho copy and paste hebu nieleze sifa za uungu halafu tuendelee
na huu mjadala
 
Prophet Jesus spoke Aramaic so what is his name in Aramaic?
It' "Eesho M'sheekha" meaning "Jesus the Messiah".Thus,Jesus would have called himself "Eesho" or more specifically "Eesa",the pronuanciation of the Northern Palestianian Jews.
This proves that Quran's historical accuracy when it says Jesus' name is "Eesaa"....His name will be al-MaseeHu Eesaa the son og mary ...(Qur'aan 3:45)
 
.......waliomchafua ni wale waliomuwamba msalabani bila nguo huku wakimkejeli na kumtemea mate !

Sisi Waislaam, tunamtetea Yesu kuwa aibu ile haikumfika !

:nono:

YESU HUWA HACHAFUKI KWA ZIHAKA KAMA ZAKO:
NAJUWA KINACHO KUUMA KUHUSU YESU KUFA NA KUFUFUKA

ALLAH NA MTUME WAKO WALISHIDWA KUCOPY
KUFA NA KUFUFUKA,
ALLAH YEYE ANAUWEZO WAKUUWA MWILI TU LAKINI HANA UWEZO WA KUUWA roho,
WALA HANA HUWEZO WA KUFUFUWA,
NA NDIO MANA ANAPINGA VIKALI ISHU YA KUFA NA KUFUFIKA

YESU MWENYEWE ALITABIRI KUFA NA KUFUFUKA KWAKE
NA WALIOKUWA WAKIPINGA KUFA NA KUFUFUKA KWAKE ALIWAITA NI SHETANI NA KWAMBA MAWAZO WALIYONAYO SI YA MUNGU BALI NI YA WANADAM KAMA WEWE NA MTUME WAKO.
MAWAZO MLIYONAYO WAISLAMU SI YA MUNGU ALIYEUMBA ULIMWENGU NA VITU VYOTE VILIVYOMO
BALI NI YA SHETANI KWA MUJIBU WA BWANA YESU.
Kungekuwa na injili kwenye quran haya msingeyapinga maana yapo wazi ndani ya injili,
 
Chamtemamoto kabla kujadili hicho ulicho copy and paste hebu nieleze sifa za uungu halafu tuendelee
na huu mjadala

Huwa sina tabia yakutoka nje ya mada.
Na wala sina tabia ya kukimbia mjadala kwa kuleta mwingine.
Hiyo tabia nawaachia nyie.
 
wewe unafikiri kila dini wana style ya.

Fungua matayo mbili tatu.
Soma.funika bible,tusari. Etc.
Huitaji kufundishwa jitahidi ujifunze wewe mwenyewe bila kutegemea wachungaji.yesu hajajitoa kafara pale msalabani kwa mujibu wa maandiko yenu.

Umeelewa ndio maana umeleta mada nyingine.
 
Na huyo mmoja alipokufa kwa siku tatu!
Huo utatu bado ulikuwepo??

Ulikufa mwili aliokuwa ameuvaa na sio YEYE!
Wewe hapo hautakufa sembuse Mungu?

Ninaposema WEWE simaanishi huo mwili uliouazima ili uutumie hapa duniani!
 
Boys hakuna slave ambaye ana furaha..muslim wote ni abdallah....slaves of allah...tofauti na CHristians watoto wa Mungu wapo happy....muhamad aliwalaumu wakristu kuwa lifist na wenye maringo..aliwalaumu kwa kuwa wachoyo wa Injil .....
Hat hapa vijana wapo too boring with their fiddled minds..I think sihitaji hata kujadili nao kitu....ni aibu kuendelea poteza muda na hawa true slaves...sasa km wana surfer rejection ya ishmaeli, halafu dini yao pia inawatoment tena kw akuwaita slaves, halafu pia kuwafanya miserable..aisha aliwahi muuliza muhamadi kwani waumini wapo so miserable...ni wazi hawaja jamaa hawawezi badili mawimbi wala muelekeo wa jua.

Muhamad alikuwa na unique ways ya ku dela na vitu alivyovitamani kakosa, au kutaka wengine wasipate....Toys ni reserved kwa Aisha..baadaye ndio basi, muhamad wake zake hawakuatakiwa olewa mohamed akifa, mohamed ka introduce kunyw amikojo kwa mfano wake wa kijinga..kuwa watu wenye njaa walikuja wakapewa jukumu la kunywa maziwa na mkojo ,muna si mrefu wakanenepa sana....waislam kwa ujinga wakadhani kuwa walinenepa kwa mkojo na si maziwa. mkojo ulikuwa ni tabiaya waarabu ya uchoyo na roho mbaya ili wale vibarua walioomba chakula wakaishia tumikishwa na kupewa uchafu..ila kwa vile maziwa yalizidi nguvu bado wale watu afya yao haikuharibika..ila kinachonyesha kuwa walikuwa mistreated sana.Waliwaua ngamia wote na kukimbia ingawa baadae waliuwawa.Waislam wakatafsiri wrong sasa wanakunywa mikonjo wakiita dawa..ucahfu wa mkojo kuurudisha ktk ini, na figo kwa mkupuo unaweza haribu kabisa.....muhamad alidhani anaweza duplicate mfano wa mtoto wa mwenye shamba aliyeuwawa na wafanyakazi ili asiridhi shamba..na baadae mwenye shamba kuja kwa shari..kumbe kaishia semam ubaya wa waaarabu..

Ritz, mbokaleo,crabat...na wengine.... aliyejichagulia avator kubwa km ya muethiopia laiyegundua kahawa km kinywaji..baadae waislam wakajumlisha ktk uislam ili kuupaka rangi.......i think sasa mnaleta uvundo tuu..sina haja tena ya kujibizana na ..BSV..

Duh!!!!!!!!!!kweli Imani nyengine ni zaidi ya upofu,kunywa mkojo!!?alooo...mkuu hujanukuu vibaya kweli?
 
Nani kakudanganya kuwa mimi ni mtoto wa Mwalimu?

cc MKUU MwanaDiwani

HEBU njoo huku uone Mtu anavoweweseka kukanusha na kukubali nasaba yake,haki ya mungu sijapata kuona mtu mnonge kama huyu,

HEBU lete lile bandiko lake alilosema ya kwamba JULIUS NYERERE NI BABA YAKE MZAZI,KILA MTU AJIONEE,MAANA HAPA ANAKANUSHA ILI HALI JF inatunza kumbu kumbu kibao kabisa,

cc Ritz..

Huyu JAMAA NI
 
Last edited by a moderator:
God did choose Adm and Noah,the family of Abraham,and the family of Amram above all people
-Qur'an,sura 3(The house of imran)ayah 33

Hiki ndicho ulichokisema?

Lakini pia hapa umeleta tena tatizo lingine
Hapa quran inasema "god didi choose Adam and Noah,the family of Abraham"
Sasa Adam alichaguliwa kutoka kwa akina nani?
 
.....waliomtukana na kumkejeli Yesu ni wale waliodai kumsulubu msalabani akiwa uchi, hali ya kuwa Biblia kupitia kumbukumbu la Tourati inasema, amelaaniwa yeyote aliyewambwa Msalabani !
Ndio maana Paulo kupitia Wagalatia akawauliza kuwa nyinyi mmerogwa..? ...ya kwamba mnashuhudia Yesu alisulubiwa!!?

Umeishawahi kujiuliza kwanini mtume anamcompliment Yesu sana wakati Yesu hana habari naye wala hajawahi kumpa big up zozote.

Angalia Qur'an inamtukuza Yesu:

'Na kwa kusema kwao (Wakiristu):Sisi tumemuua Masihi Isah, mwana wa Maryam, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitilafiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana nayo ujuzi wowote, ila ni kufuata dhana tu (wanafuata mkumbo tu). (hakika) Wala hwakumuuwa kwa yakini.

'Bali Mwenyezi Mungu alimtukuza kwake (alimtwaa), hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye Nguvu, Mwenye Hekima.

Quran:4:157-158.

Mtume alijua fika kwa kipindi alichokuja mafundisho ya Yesu yalishasambaa na ISINGEINGIA akilini kukataa uwepo wake hasa ukizingatia kaizari wote kuanzia Constantine walikua wakristo. alichofanya mtume ni kugeuza mafundisho ya Yesu. Kwa miaka yote niliyoisoma bible iko vey clear. Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu na kuna maandiko lukuki kusupport hilo. Haiwezekani aje mtu miaka 400 mbele abadilishe alichokisema yesu mwenyewe na kimeshuhudiwa na wanafunzi wake na dunia yote ikaamini. Kama unamwanini mtume msubiri yeye kama ndiye alama ya kihama. Kama unataka kupona na kihama msikilize Yesu.

Umeishawahi jiuliza kwanini mtume anampa compliments Yesu mara zote. Wakati Yesu hana habari naye wala hajampa big up zozote.
 
Hakuna anaetukana humu zaidi ya hao wenzako Nicholas na Eiyer !

Nimewauliza swali dogo tu!
Sisi waislamu tumeambiwa katika QURAAN kuwa tuwe WAISLAMU!
Na ushahidi wa andiko huu hapa chini!

Quraan Al maida 5:3

ِ ۚ الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا ۚ
This day have I perfected your religion for you and completed My favour unto you, and have chosen for you as religion al-ISLAM.

SASA NAOMBA UNIPE ANDIKO KUTOKA KATIKA BIBLIA LINALOSEMA,

KUWENI WAKRISTO, AU JIITENI WAKRISTO! AU DINI YENU NI UKRISTO!
AU IMANI YENU MTAKAYO IFUATA INAITWA UKRISTO.

acheni matusi na kashfa!
Mi naomba andiko tu! Kama nilivyo kuonyesha ushahidi wa andiko kwa upande wangu!
Ahsante ndugu muhubiri!

Unajua maana ya neno DINI?
 
Hakuna anaetukana humu zaidi ya hao wenzako Nicholas na Eiyer !

Nimewauliza swali dogo tu!
Sisi waislamu tumeambiwa katika QURAAN kuwa tuwe WAISLAMU!
Na ushahidi wa andiko huu hapa chini!

Quraan Al maida 5:3

ِ ۚ الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا ۚ
This day have I perfected your religion for you and completed My favour unto you, and have chosen for you as religion al-ISLAM.

SASA NAOMBA UNIPE ANDIKO KUTOKA KATIKA BIBLIA LINALOSEMA,

KUWENI WAKRISTO, AU JIITENI WAKRISTO! AU DINI YENU NI UKRISTO!
AU IMANI YENU MTAKAYO IFUATA INAITWA UKRISTO.

acheni matusi na kashfa!
Mi naomba andiko tu! Kama nilivyo kuonyesha ushahidi wa andiko kwa upande wangu!
Ahsante ndugu muhubiri!
---------
Its obvious Jesus did not come to start a religion but to found his church.
---------
— Matthew-16:18, KJV

And I say also unto thee, that thou art Peter [Greek, Petros, rock],[5] and upon this rock [Greek, petra, rock][6] I will build my church; and the gates of hell shall not prevail against it.

------------------------------------------

Thats why its perfectly legal to have denominations in christianity so long as they confess christ : wakorintho, warumi, waefeso n.k haikujalisha wanaitwaje. Leo wakristo, waroma, walokole, waluthery nk. Thats because Jesus was wise enough to know the difference and he knew better than to start a denomination.
-------
Umeiquote
-------
Quraan Al maida 5:3

ِ ۚ الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا ۚ
This day have I perfected your religion for you and completed My favour unto you, and have chosen for you as religion al-ISLAM.
Sasa hapo unapoelekezwa dini ya kuifuata mbona leo kuna wa-shia, wa-Ahmadiah, wa-suni n.k
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom