Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Hawa waalimu wawili uliowataja hapo juu!
Wamesilimisha wasiokuwa waislamu si chini ya million 6!! Duniani!
Na bado watu wanasilimu kila siku!
Na nadhani nyote mnayafahamu hayo!
Kwa hivyo wewe kusema hawana chochote ni kuonyesha roho inavyo kupasuka tu!
Na hauna namna ya kuzuia ukweli usionyeshwe!
Wale wagalatia kutoka makao makuu yenu wamefanya kila kampeni kuwanyamazisha lkn wapi!
Yule zakir naik alipewa offer ya kuingia ktk serikali kwa sharti la kunyamaza tu! Lkn kidume anaunguruma bado!
Sasa we ukitaka faida msikilize tu!
We unadhani wale wanaosilimu ni wajinga?
Kama hawa hapa chini!
Hebu wasikilize upate faida kidogo!
Watch "Roman Catholic priest : my journey to Islam ..." on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=w3jntHgqbHY&feature=youtube_gdata_player
Na huyu hapa!
Watch "Atheist Islam-Hater converts to Islam! Funny yet AMAZING story! (with subtitles)" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=9xhZ00xnHIA&feature=youtube_gdata_player
Wameona haki! Na wewe insha Allah nakuombea Mungu akuonyeshe HAKI kabla hujafa hali ya kuwa ni KAFIRI!
Haha.... waliosilimishwa ni laana ktk Ukristu na superstitious Hindus waliofuta uchawi ktk uislam....wengine ndio hao mnaowabaka huko pakistani na kuwalazimisha wawe waislam..huku wengine mkiwasingizia kukufuru Qurani ili wawaue.
Infact hujasoma data ni waislamw angapi wanauacha uislam, hujasoma wangapi wanarudi ktk Ukrirtu baada ya kukutana na wendawazimu wa kuchamba na mawe, kupandwa majinn, kulala na maiti, kunywa mikojo....kuchoma udi wa mashetani...upuuzi wa wanaume wa kiislam..kila mwanamke ktk nyumba zao humtaka kingono....kukumbatoa majinn....right now nina waislam 6 hapa wameshamalizana na allah..hana ch akuwadai.