UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Hawa waalimu wawili uliowataja hapo juu!
Wamesilimisha wasiokuwa waislamu si chini ya million 6!! Duniani!
Na bado watu wanasilimu kila siku!
Na nadhani nyote mnayafahamu hayo!
Kwa hivyo wewe kusema hawana chochote ni kuonyesha roho inavyo kupasuka tu!
Na hauna namna ya kuzuia ukweli usionyeshwe!
Wale wagalatia kutoka makao makuu yenu wamefanya kila kampeni kuwanyamazisha lkn wapi!
Yule zakir naik alipewa offer ya kuingia ktk serikali kwa sharti la kunyamaza tu! Lkn kidume anaunguruma bado!
Sasa we ukitaka faida msikilize tu!
We unadhani wale wanaosilimu ni wajinga?

Kama hawa hapa chini!

Hebu wasikilize upate faida kidogo!

Watch "Roman Catholic priest : my journey to Islam ..." on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=w3jntHgqbHY&feature=youtube_gdata_player

Na huyu hapa!

Watch "Atheist Islam-Hater converts to Islam! Funny yet AMAZING story! (with subtitles)" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=9xhZ00xnHIA&feature=youtube_gdata_player

Wameona haki! Na wewe insha Allah nakuombea Mungu akuonyeshe HAKI kabla hujafa hali ya kuwa ni KAFIRI!

Haha.... waliosilimishwa ni laana ktk Ukristu na superstitious Hindus waliofuta uchawi ktk uislam....wengine ndio hao mnaowabaka huko pakistani na kuwalazimisha wawe waislam..huku wengine mkiwasingizia kukufuru Qurani ili wawaue.

Infact hujasoma data ni waislamw angapi wanauacha uislam, hujasoma wangapi wanarudi ktk Ukrirtu baada ya kukutana na wendawazimu wa kuchamba na mawe, kupandwa majinn, kulala na maiti, kunywa mikojo....kuchoma udi wa mashetani...upuuzi wa wanaume wa kiislam..kila mwanamke ktk nyumba zao humtaka kingono....kukumbatoa majinn....right now nina waislam 6 hapa wameshamalizana na allah..hana ch akuwadai.
 
Nyie waislam mtachomwa moto kwa uongo
Na pia nashangaa post yako ya ajabu kama hiyo ina like

Sio nyie mnaosema kuwa kila kitabu kina mtume wake?
Taurati-Musa
Zaburi-Daudi
Injil-Isa
Quran-Mohammad

Sasa hapa utaona namna mnaposema uongo!
Hata haya hamuoni

Nipe ushahidi wa madai yako haya!

Halafu ngoja nikupe raha hapa
Biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu,ndio maana nikakuambia kuwa unaposema hayo unaitofautishaje qurani na biblia?[Mungu aepushe mbali]

Leo niepata kali ya mwaka JF!
Eti Quran ni mjumuiko wa Torati,Zaburi na Injili khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
Eti Injili ni mjumuiko wa torati na zaburi khaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Haya ni matokeo ya kukosa majibu
Kwanini mnaamua kudanganya?

Matatizo yako ya kuelewa ni mengi mno!
Moja wapo ni lugha!

Huyo ndugu yangu alipukuelekeza kuhusu quraan na kukwambia kuwa ni mjumuiko wa vitabu vyote!

Maana yake ni kuwa !

QURAAN IMETAJA SHERIA NA MATUKIO YOTE YA TAURATI, ZABURI, NA INJILI.
LAKINI HIO QURAAN IMETAJA HIVI VITABU KAMA KUMBUKUMBU TU NA SIO SPECIFIC KWA WAISLAMU WA SASA!

kwa mfano quraan imesema kuhusu watu wa injili kama ifuatavyo!

QURAN 5:72-7372. Hakika-wamekufuru-walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!-

AU

73. Kwa hakika-wamekufuru-walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.-Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale-wanao kufuru.

SASA HAPA UTAONA WAISLAMU HAWASEMI HIZI HABARI ISPOKUWA NI WAGALATIA NA WAKRISTO.

Quraan pia inaongelea watu wa moses kwa kusema;-

وَإِذْ قَالَ مُوسَىٰ لِقَوْمِهِ يَا قَوْمِ إِنَّكُمْ ظَلَمْتُمْ أَنْفُسَكُمْ بِاتِّخَاذِكُمُ الْعِجْلَ فَتُوبُوا إِلَىٰ بَارِئِكُمْ فَاقْتُلُوا أَنْفُسَكُمْ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَكُمْ عِنْدَ بَارِئِكُمْ فَتَابَ عَلَيْكُمْ ۚ إِنَّهُ هُوَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ

And when Moses said unto his people: O my people! Ye have wronged yourselves by your choosing of the calf (for worship) so turn in penitence to your Creator, and kill (the guilty) yourselves. That will be best for you with your Creator and He will relent toward you. Lo! He is the Relenting, the Merciful.

Sasa hapa utaona kuwa sisi waislamu wa sasa hatuabudu sanamu ya dhahabu ya ndama kama walivyofanya watu wa MOSES!

Hizi ni kumbukumbu tu zimewekwa ambazo zilikuwa ktk vitabu vya manabii waliotangulia!

Sasa kama hujaelewa mpaka hapa!
Inabidi urudi hospitali wakakubadilishie dozi!
 
Teh teh teh te! Ubongo wa tembo 0.15. umebakia kuropoka tu bila ushahidi wa maandiko.

Umekasirika tayari na akili imehama na umepata upenyo wa kukimbia mjadala uliouanzisha unamuacha na ukiwa Yericko, hauna hamu tena hakutegemea kukutana na hivi vichwa mbokaleo, Kikwajuni one, kimbia kamanda nenda kwenye uzi za Chadema.

maandiko niliyoweka yanataosha kabisa km mngekuwa mna akili hata ya Nyumbu.....
 
Huu uzi hauwezi kufungwa kwasababu za kipuuzi,

Hapa mtakesha hata iwe mwaka, huu haufungwi!

Utafiti utasimama hivyo na sasa historia ya Tanzania imebadilika rasmi

Teh teh teh teh!

Historia ibadilishwe na mpiga ripu!
Hebu mkuu Ritz tuletee ile picha ya huyu Yericko Nyerere wakati anafanya huu utafiti!

Kwa hisani yako!
 
Last edited by a moderator:
Mbona ueleweki maneno mengi tu bila maandiko.

Tueleze maana yake nini.

Biblia kwani zipo ngapi? hii hapa chini nini?

Ndiyo hii biblia mnayoifuta?

Inawezekana ukawa umedandia treni kwa mbele
Lakini pia sitarajii mtu kama wewe kunielewa

Nilimuuliza huyo jamaa yako kama anaelewa maana ya neno Biblia!!!
 
cc MKUU MwanaDiwani

HEBU njoo huku uone Mtu anavoweweseka kukanusha na kukubali nasaba yake,haki ya mungu sijapata kuona mtu mnonge kama huyu,

HEBU lete lile bandiko lake alilosema ya kwamba JULIUS NYERERE NI BABA YAKE MZAZI,KILA MTU AJIONEE,MAANA HAPA ANAKANUSHA ILI HALI JF inatunza kumbu kumbu kibao kabisa,

cc Ritz..

Huyu JAMAA NI

Alishatoa hiyo doubt alipohitisha thread yake dhidi ya uongo na upotoshaji wa Mohamed Said..na wewe ulikuwa mchangiaji ktk wachagiaji wenye ghadhabu..mohamed saidi hakupata pa kujishikia..aliishia dai kuwa katukanwa, sijui ana uzoefu, mara kaweza ushairi.

Big show tunajua linapokuja sula la dini huwa akili inakutoka,likija la mtwara huwa unakuwa na akili timamu..kwanini usitene haki ya kuongea kweli hapa km utakavyohitajika pia hat akwenye dini hiyo akili pi auitumie.

Haujawa muungwana kabisa hapa kwani hata kule hii ndio ilikuwa kete yako..na alipojibu mkachekcheka sana nyie na yule jamaa mwenye ubongo mdogo kuliko wa nyumbu Ritz.
 
Nyie waislam mtachomwa moto kwa uongo
Na pia nashangaa post yako ya ajabu kama hiyo ina like

Sio nyie mnaosema kuwa kila kitabu kina mtume wake?
Taurati-Musa
Zaburi-Daudi
Injil-Isa
Quran-Mohammad

Sasa hapa utaona namna mnaposema uongo!
Hata haya hamuoni

Nipe ushahidi wa madai yako haya!

Halafu ngoja nikupe raha hapa
Biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu,ndio maana nikakuambia kuwa unaposema hayo unaitofautishaje qurani na biblia?[Mungu aepushe mbali]

Leo niepata kali ya mwaka JF!
Eti Quran ni mjumuiko wa Torati,Zaburi na Injili khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
Eti Injili ni mjumuiko wa torati na zaburi khaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Haya ni matokeo ya kukosa majibu
Kwanini mnaamua kudanganya?

Ushahidi huu hapa:

'Hakika Mwenyezi Mungu alimteua Adam na Nuhu (Noah wa Safina) na Ukoo wa Ibrahim (Ismael na Is'haq) na Ukoo wa Imran (Babu yake Yesu, aliyemzaa Bikira Maryam) juu ya walimwengu wote.

Ni wazao wao kwa wao: na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
Qur'an: 3:33-43.

Kwa 'aya' hiyo (hapo bold) ametajwa kila nabii unaemjua na aliyemo kwenye Vitabu vyote Vinne.(Zaburi, Tourat, Injil na Qur'an)

Malizia na Ushahidi huu:

'Hakika Sisi tumekuletea wahyi (ufunuo) wewe (Muhammad) kama tulivyo wapelekea wahyi (ufunuo) Nuhu (Noah) na Manabii waliokuwa kabla yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismael na Is'haq (Isaack au Isaya) na Yakuub (Yakobo) na wajukuu zake, na Isah (Yesu) na Ayub na Yunus (Yona) na Harun na Suleiman (King Solomon) na Daud tulimpa Zaburi.

Na Mitume tuliokwisha kukuhadithia kabla yake, na Mitum,e wengine hatukukuhadithia (anawajua Yeye mwenyewe Mwenyezi Mungu). Na Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno.

Qur'an: 4:163-164.
 
Uislam raha amani, nitangazo tu,
ndani yenu hamna raha wala amani mnatoa raha wapi wakati mmefiwa.

si tuu wamefiwa..ila dini nzima ni ya Mnungu wa Kifo..ndio maana hakuna waislam waislma ktk sektor za kuokoa watu, zaidi ya za kuua watu...sanasana wawe mortuary, na ktk kuchinja......
 
Haha.... waliosilimishwa ni laana ktk Ukristu na superstitious Hindus waliofuta uchawi ktk uislam....wengine ndio hao mnaowabaka huko pakistani na kuwalazimisha wawe waislam..huku wengine mkiwasingizia kukufuru Qurani ili wawaue.

Infact hujasoma data ni waislamw angapi wanauacha uislam, hujasoma wangapi wanarudi ktk Ukrirtu baada ya kukutana na wendawazimu wa kuchamba na mawe, kupandwa majinn, kulala na maiti, kunywa mikojo....kuchoma udi wa mashetani...upuuzi wa wanaume wa kiislam..kila mwanamke ktk nyumba zao humtaka kingono....kukumbatoa majinn....right now nina waislam 6 hapa wameshamalizana na allah..hana ch akuwadai.
Ahhhhhhhhh kamanda ndio umeamka hivi wewe kilaza mbona unapenda sana habari za majin
mara kulala na maiti,kunywa mkojo ushahidi huna kazi :kev: lete ushahidi kamanda hatutaki ujanja ujanja
wa church hapa
 
Haha.... waliosilimishwa ni laana ktk Ukristu na superstitious Hindus waliofuta uchawi ktk uislam....wengine ndio hao mnaowabaka huko pakistani na kuwalazimisha wawe waislam..huku wengine mkiwasingizia kukufuru Qurani ili wawaue.

Infact hujasoma data ni waislamw angapi wanauacha uislam, hujasoma wangapi wanarudi ktk Ukrirtu baada ya kukutana na wendawazimu wa kuchamba na mawe, kupandwa majinn, kulala na maiti, kunywa mikojo....kuchoma udi wa mashetani...upuuzi wa wanaume wa kiislam..kila mwanamke ktk nyumba zao humtaka kingono....kukumbatoa majinn....right now nina waislam 6 hapa wameshamalizana na allah..hana ch akuwadai.

Mi nakupa ushahidi!
Wewe umebaki bla..bla..bla..!
Teh teh teh teh!

Andiko limeshasema!

Proverbs 31:6

As-a dog returns to its vomit, so a fo.ol repeats his folly.!
 
Matatizo yako ya kuelewa ni mengi mno!
Moja wapo ni lugha!

Huyo ndugu yangu alipukuelekeza kuhusu quraan na kukwambia kuwa ni mjumuiko wa vitabu vyote!

Maana yake ni kuwa !

QURAAN IMETAJA SHERIA NA MATUKIO YOTE YA TAURATI, ZABURI, NA INJILI.
LAKINI HIO QURAAN IMETAJA HIVI VITABU KAMA KUMBUKUMBU TU NA SIO SPECIFIC KWA WAISLAMU WA SASA!

Hivi wewe unajua wenzako walichosema?
Hebu angalia haya maelezo hapa chini

.......katika Qur'an kuna surat Maryam, inamzungumzia Yesu na Mama yake, pia kuna surat Banii Israeli.......inazungumzia Wayahudi (hiyo ni Injil)

Kuna kisa cha Musa na nduguye Haruun (tokea wanapewa Unabii) hiyo ni Tourat !

Kuna Daudi na Jalut (goliath) hiyo ni Zaburi !

Sasa mwenzako anasema HIYO NI INJILI wewe unasema ni kumbukumbu
Mwenza ko anasema HII NI TAURATI wewe unasema ni kumbukumbu

Uongo unapotolewa kutetea uongo mnajizamisha shimoni!!!!!!!!!

Halafu unajua maana ya mjumuiko wewe au unataka kujifanya hamnazo?
 
16)(a) MIMBA YA ISA ILIKUWA NI YA SIKU MOJA Qur’an Suratul Maryam,19:21-22 “ (Malaika) akasema: “ Nikama hivyo (unavyosema; lakini) Mola wako amesema ‘Haya ni sahali Kwangu, na ili Tumfanye muujiza kwa wanaasamu na rehema itokayo Kwetu (ndiyo Tumefanya hivi);’ Na hili ni jambo lililokwisha kuhukumiwa.” Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali” b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA. Luka 2:6-7 “ ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni” NB: Mwezi wa sita uliotajwa katika Luka 1:26 ni mwezi wenye kuelezea umri wa mimba ya Yohana ndani ya tumbo la Elizabethi. Luka 1: 36 “ Tena tazama jamaa yako Elizabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa” NB: Hori iliyotajwa hapa,ina maana ya chombo cha kulishia wanyama kinachokuwa ndani ya zizi. Kwa Kiyunani (Kigiriki) ambayo ndiyo lugha iliyotumika kuandikia Agano Jipya ,chombo hicho kinaitwa “Fatne” kwa Kiingereza kinaitwa “a manger” 17)ISA (A.S) ATAKAPORUDI ATAKUJA KUVUNJA MISALABA NA KUUA NGURUWE Mkweli Mwaminifu, Juzuu 3-4, uk.20, Hadithi na. 753 “ Haisimami saa ya (kiyama) mpaka akuteremkieni nabii Isa (a.s) mwana wa Maryamu atahukumu (kwa sheria ya Kiislamu) (na) muadilifu, basi atavunja misalaba (ya Wakristo Makanisani) na ataua nguruwe, na ataondosha fedheha au (aibu), na mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali (ataikataa) mtu (kwa kuogopa kiyama)” .Soma pia katika Sahihi Bukhar, vol. 3, Hadithi na 425,. Al-Lu’lu’war-Marjan, juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur’an uk.757 b)YESU KRISTO ATAKAPORUDI ATAWATUMA MALAIKA ZAKE KUWAKUSANYA WATAKATIFU Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi, naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.” ONYO LA YESU KRISTO WA NAZARETH Math 24:24 “ kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini hata walio wateule.” (Angalia pia Marko 13:22) Yoh 8:24 “ Kwa hiyo naliwambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye mtakufa katika dhambi zenu.” WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)

Chamtemamoto,nitakuwa mchoyo kama sijakupongeza na kukushukuru kwa mtiririko wako wa ufafanuzi ulioutoa hapo juu kuhusu Yesu Kristo na issa,umenifungua sana akili nashangaa kuna tofauti kubwa sana kuhusu kusudio la Yesu Kristo duniani na huyo anayeitwa issa....watu tofauti hizo hawazioni hadi kulazimisha watu wafuate imani yao!!?ajabu sana kuelewa haya mambo..BTY..Ubarikiwe sana Mkuu
 
Ndugu yangu THE BIG SHOW,

Huyu jamaa ni mtu wa ajabu sana mpaka leo huwa najiuliza kwa nini alikuwa anamkana baba yake mzazi aliyemzaa na kulazimisha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kuwa ndiye mzazi wake, soma upuuuuzi wake hapa chini.

Huyu mtu ni mzima kweli?

Teh teh teh teh!
Hicho kinaitwa kipigo cha mbwa aliyeingia msikitini halafu akatapikia ndani!

Waswahili wanasema "ukitaka kuwa muongo basi usisahau neno"

Bahati mbaya huyu mpiga ripu Yericko Nyerere ana kale ka ugonjwa ka AMNESIA!
Anasahau kila baada ya dakika 2!
 
Last edited by a moderator:
Katika wajinga nimeamini wewe ndio mjinga mnene injili ni mjumuko wa wa Torati na Zaburi,
na Quran ni mjumuiko wa Torati,Zaburi na Injil sasa unaposema tunataka Quran iitwe biblia
una maana gani kweli wehu hawaishi!

Haha..ni udogo tuu wa akili unaowafanya vile vimisrati vilivyopotoshwa ktk Quran vinaweza Meza Biblia...?Huji kwanini mnaambiwa hakuna muislam kamili km hatosoma Injil ,tourat, zaburi........ingawa bado kuna vitabu vingine ktk Biblia (Agano Jipya) mohamed hakuweza vijua kwani wakristu walimkwepa sana..hadi ikashuka aya ikiwalaumu kwa kuficha maandiko...na majivuno..Wayahudi akawalaumu kwa kupidisha Torati..

Hadi muhamad anakufa laikuwa akiisikia Biblia ktk story za kijiweni tuu...alikuwa busy zaidi yenu akilazimisha wtau wakubali kuwa alikuwa mtume za allah......hata wake zake hawakuwa na hiyo nae.Mkewe mtumwa wa Coptic Christian naye alimu influence kumuongezea mustari..aisha alishangaa pia kwanini allaha nakimbilia sana kumpa muhamad mistari yenye kufuta tamaa za muhamad(ngono ,chakula, vita etc).

labda tuu niwaachie kitu..Hivi mnafahamu kwanini wanawake wanavalishwa manguo km mnvayofanya sasa?Hizo ayat zilikuja baada ya mama kijana kabisa wa waumini kuliwa overnight, na wake wengine wa muhamad nao walikchapwa sana......allaha kashusha aya..siku zote allaha hupata maono kwa muhamad kushuhudia kitu..Hadith zina vipande vya kutosha kuelezea hii skendo..

Kwa ujumla uislam ni frustrations-msiba -giza....poor and miserable muslims.
 
Tafiti ni Taaluma ndio maana watu wanaandika thesis na kutunukiwa vyeti ! ....hata Tafiti ya kuhusu matatizo ya Makahaba au Mashoga (social issues) au mambo ya Talaka au Ukimwi, inaongozwa na vigezo vya Kitaalum.
Sasa umefanya Tafiti baada ya kulewa viroba then unatundika humu watu wenye akili zao wasome !

We hovyo sana !:heh:

haha...kwa bahati mbaya sana ..waliotoa primary data ni hao wasomi unaowataka.Yericko kachukua data ktk hizo primary source....pengine ungajadili ..conclusion aliyofikia au uweke yako.
 
Huu uzi hauwezi kufungwa kwasababu za kipuuzi,

Hapa mtakesha hata iwe mwaka, huu haufungwi!

Utafiti utasimama hivyo na sasa historia ya Tanzania imebadilika rasmi
Yani mambo ya dini kwako ni upuuzi mmhhhhhh mpuuzi ni wewe binadamu uliyeumbwa kwa tone dhaifu la manii
hala umefumbua macho unaona dunia ni mahali bora pa kuishi kajipange usitafutie watu Ban bwana mdogo.
 
Huu uzi hauwezi kufungwa kwasababu za kipuuzi,

Hapa mtakesha hata iwe mwaka, huu haufungwi!

Utafiti utasimama hivyo na sasa historia ya Tanzania imebadilika rasmi

Kuna siku Redio Clouds walimkaribisha Mtaalam wa Mambo ya Freemason Studio kutoa somo !..........kumbe yule jamaa chizi .........wacha awapagawishe. Mwisho wakamzimia Microphone.

Sasa nina wasi wasi JF imekaribisha Chizi humu !
 
Mimi nimespecilise kwenye bible contradiction.here come the mother of all contradiction we find in bible.
Samweli24:1>and again the anger of the LORD was kindled agaisnt israel and he moved David agaisnt them to say,GO NUMBER ISRAEL AND JUDAH.

1chronicles21....and SATAN stoodupagaisnt israel and provoke david to NUMBER ISRAEL.

Look like bible god is a SATAN.
 
Hivi wewe unajua wenzako walichosema?
Hebu angalia haya maelezo hapa chini

Sasa mwenzako anasema HIYO NI INJILI wewe unasema ni kumbukumbu
Mwenza ko anasema HII NI TAURATI wewe unasema ni kumbukumbu

Uongo unapotolewa kutetea uongo mnajizamisha shimoni!!!!!!!!!

Halafu unajua maana ya mjumuiko wewe au unataka kujifanya hamnazo?

pitia post yangu No. 1488 kwa ufafanuzi zaidi !
 
16)(a) MIMBA YA ISA ILIKUWA NI YA SIKU MOJA Qur’an Suratul Maryam,19:21-22 “ (Malaika) akasema: “ Nikama hivyo (unavyosema; lakini) Mola wako amesema ‘Haya ni sahali Kwangu, na ili Tumfanye muujiza kwa wanaasamu na rehema itokayo Kwetu (ndiyo Tumefanya hivi);’ Na hili ni jambo lililokwisha kuhukumiwa.” Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali” b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA. Luka 2:6-7 “ ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni” NB: Mwezi wa sita uliotajwa katika Luka 1:26 ni mwezi wenye kuelezea umri wa mimba ya Yohana ndani ya tumbo la Elizabethi. Luka 1: 36 “ Tena tazama jamaa yako Elizabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa” NB: Hori iliyotajwa hapa,ina maana ya chombo cha kulishia wanyama kinachokuwa ndani ya zizi. Kwa Kiyunani (Kigiriki) ambayo ndiyo lugha iliyotumika kuandikia Agano Jipya ,chombo hicho kinaitwa “Fatne” kwa Kiingereza kinaitwa “a manger” 17)ISA (A.S) ATAKAPORUDI ATAKUJA KUVUNJA MISALABA NA KUUA NGURUWE Mkweli Mwaminifu, Juzuu 3-4, uk.20, Hadithi na. 753 “ Haisimami saa ya (kiyama) mpaka akuteremkieni nabii Isa (a.s) mwana wa Maryamu atahukumu (kwa sheria ya Kiislamu) (na) muadilifu, basi atavunja misalaba (ya Wakristo Makanisani) na ataua nguruwe, na ataondosha fedheha au (aibu), na mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali (ataikataa) mtu (kwa kuogopa kiyama)” .Soma pia katika Sahihi Bukhar, vol. 3, Hadithi na 425,. Al-Lu’lu’war-Marjan, juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur’an uk.757 b)YESU KRISTO ATAKAPORUDI ATAWATUMA MALAIKA ZAKE KUWAKUSANYA WATAKATIFU Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi, naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.” ONYO LA YESU KRISTO WA NAZARETH Math 24:24 “ kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini hata walio wateule.” (Angalia pia Marko 13:22) Yoh 8:24 “ Kwa hiyo naliwambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye mtakufa katika dhambi zenu.” WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)

Wacha longalonga yoooote hii!
We tuchukulie maneno yako yoooote ni kweli!
Nakuuliza kidogo tu hapa!
Umetoa ushahidi mwenyewe ktk biblia ya kuwa YESU NI MWANA WA ADAMU!;-

Tizama hapo juu ume quote-:

Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni;

SASA UNAKUBALI KABISA WEWE MWENYEWE KUWA KWA MUJIBU WA ANDIKO YESU NI MWANA WA ADAMU! (mwanaadamu)!

SASA VIPI MWANAADAMU MNAMUITA MUNGU?? AU MWANA WA MUNGU??

Au hayo maandishi pia utayakataa kuwa sio wewe uliyo yanukuu!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom