Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

akili kumkichwa kaka hapa maisha yetu ya mviziano. Mnyenkanda huyu ni mbishi, dharau, kibri sijapata kuona
We subili kwanza utosheke. Maana utakuta unafokewa wewe, unafyonzwa wewe, unaulizwa kama una akili timamu! Daaadeki. Unajiuliza siku unamfata fata na kuomba namba na kumtoa out ulikuwa na akili kweli?! Ila, kuliko kesho ujikute unapata kesi ya mauaji!!? Bora ukaanze maisha upya mkoa mwingine. Kubali hasara.
 
tuna mtoto mmoja ana mwaka sasa. Hapa nawaza kibanda changu cha mbavu nikichukulie mkopo NMB harafu nitalala mbele nimwache na jeuri yake. ni mke wng wa ndoa kbs ya kiislam tumekaa sana vikao vya usuluhishi lkn mabadiliko hamna
 
Brazaaaa, babu na bibi zetu walivumiliana,kwa sababu hakukuwa na chochote. Siku hizi,kitanda kikubwa,nyuma yenye vigae,magari,bia na makolokolo kibao. Enzi hizo kulikuwa na nini!!!
Miaka hiyo,unamuoa binti bikra. Unavuruga mwenyewe. Leo hii,unadumbukia kwenye handaki la urusi. Wewe una nini? Kama umechokwa,kubali umechokwa. Usitueleze kila kitu humu,lakini we mwenyewe ukweli unaujua.
Swali langu kabla ya ushauli wa mwisho: mlikutana wapi!? Katika mazingira gani!
 
mazingira ya kazini kwangu
 
FRESHMAN , binafsi siwezi kukubali kwamba wanawake wanachangia kuvunja ndoa.

Ndoa zinavunjwa na wanaume wenyewe. Niongeze,wasiojielewa.
Sasa hivi,unajua mwanamke unaemtaka, ni chuma chakavu. Atakuheshimu kwa lipi? Kwa kipi asichokijua toka kwa wengine? Kwa kipi hajapewa! Unakuta aliwahi nunuliwa Toyota Fortuner, wewe unakuja na ki Vitz au IST! Kila aina ya pombe alikunywa, wewe unaleta sijui Redds na King Fisher.
Wanaume walishatambulishwa ukweni kama kumbikumbi,wewe una nini?! Kubwa anaijua,ndefu anaijua,nene anaijua,nyembamba anaijua, mimba alitoa kama zote,bado tu kizazi; Af sasa,wanataka wale akipita tu,watu wote wageuke kwamba fulani ana demu mkali.
My friendo!!! Wale wameumbiwa kutumiwa kwa starehe tuuuu. Si yo wa kuoa. Sasa,wa kuoa,wanaonekana washamba,hawajielewi,hawana hela,hawana mvuto. Unakuta lijitu lina mikucha kama ya kenge,unategemea msaada gani?! Wewe hapo hata ukiugua,litakuacha ndani umuite mama yako akusaidie.

Zamani,wanaume walikua wanaoa wanawake wanaostahili kuolewa. Siku hizi,zama zimebadilika, wanaokota tu. Mtu hata kwao hupajui, hujui ndugu yake hata mmoja,kisa ana makalio makubwa,eti unaoa! Acha yawakute.
Unakuta lijitu limesomeshwa kwa mikopo na wazazi,kuliko liwajengee hata chumba na sebule visafi,linanunua gari la kuhonga.

Mreta mada, acha waachwe tu. Wanataka wenyewe
Kuna wanawake wanaficha makucha kipindi cha uchumba wakishapata cheti cha ndoa tu mwanaume ndio utajua ujui
 
NILICHOJIFUNZA KUCHEPUKA HAKUVUNJI NDOA. KAMA HIZO SABABU TATU NILIZOZITAJA HAZIWASUMBUI HAO WANANDOA. MWANAMKE HAVUNJI NDOA KWA SABABU MUMEWE KACHEPUKA KAMA MAMBO YA PESA KWENYE FAMILIA YAMENYOOKA, MAMA MKWE WAKE NI MTU POA KWAKE, UZAZI UPO POA KAZAAA WATOTO. HAPO NDOA HAIVUNJIKI HATA MUME AKICHEPUKA MARA MOJA MOJA SANA SANA ATAPAMBANA NA MCHEPUKO.
Aisee..
Na kama mchepukaji ni mke je?
 
Mengi yatasemwa ila chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ni mambo makuu matatu.

1.Not choosing the right patner
2.Changamoto za kiuchumi
3.Kufifia kwa upendo baina ya wenza.

1.Right patner
Ni muhimu kuchagua mtu ambaye unaona itikadi zenu zinakwenda kwa asilimia nyingi zaidi hasa smartness. Kama wewe ni mchangamfu tafta mtu aliyechangamka ili muende sawa. Hobbies ziwe zinaendana kwa kiasi flani. Awe na tabia ambazo zinaendana na za kwenu kimalezi. Wengi tunachaguaga wanawake wenye shepu na sura tukijidanganya eti watatumia akili zetu ila unakuta adabu ni 0 shabash!!! Mbali na yote hakikisha mwanamke huyo anakupenda zaidi kuliko wewe unavyomhitaji.

2.Uchumi
Huu una play part kwenye sehemu kubwa kimaisha. Kabla hujaoa hakikisha una income streams za ku sustain maisha basic yale. Kula iwe kwa wepesi, kuvaa na kulipa kodi in case hujajenga. Hapa pakiwa hamna shida mwanamke anakuwa hasumbui. Tunachofeli sikuhizi wengi tunawaachia wanawake nao watoe fungu lao kusongesha gurudumu ila sio wote ni smart kichwani. Wale smart wanatambua kuwa sterling anaweza kuzidiwa sometimes ila wapuuzi wataanza kejeli na dharau just to demolish your manhood. Kama hukuoa right patner lazma akukaange hapo.

3. Upendo
Kitu hiki ni kama kamba inayoshikilia ndoa yenu. Regardless ya magumu mtakayopitia hii kamba ndio itawaunganisha na kujipa moyo kesho mtakuwa pazuri zaidi. Kufifia kwa upendo ni kama kuoza kwa kamba anytime inaweza kukatika na ikikatika maana hamko tena pamoja kila mtu anfanya analojua yeye. Upendo ndio huleta hali ya kuvumiliana na kuvumilia changamoto na hitilafu zote ndoani. Kama hujaoa mtu anayekupenda na kukuhitaji zaidi eti kisa ulimlaghai na pesa zako nikusihi tu kijana mwenzangu pambana sana changamoto zisikukute huko ndoani. Usifukuzwe kazi wala usiishiwe nguvu za kiume maana utateseka mno.😂 Huwezi kupat upendo kama ulichagua matako na shepu kisa una hela za wizi ofisini.
 
Kuhusu fedha,

Marriage as an institution, needs Financial Management Skills applicable in any other institution. When it comes to finances, it's all about budgeting and brutal austerity, No debate!

Maana haiwezekani mmoja atafute hela kwa nguvu halafu mwingine aamini kwamba anaweza kuzitumia hovyo kana kwamba zinachumwa kwenye miti.
Nunua Fanta kubwa nakuja kulipa
 
tuna mtoto mmoja ana mwaka sasa. Hapa nawaza kibanda changu cha mbavu nikichukulie mkopo NMB harafu nitalala mbele nimwache na jeuri yake. ni mke wng wa ndoa kbs ya kiislam tumekaa sana vikao vya usuluhishi lkn mabadiliko hamna
Hahaha..
Kumbuka kama una mke wa ndoa huwezi kuchukua mkopo kwa siri kwa dhamana ya nyumba mnayoishi. Mke atatakiwa kutoa ridhaa yake, ata sign. Akikataa hupewi
 
Ni sahihi!

Nlicheka sana siku nliona jamaa kaanzisha uzi humu eti “nipate mwanamke wa kusaidiana nae maisha”
Nkacheeka nkasema ihiiiiiih(in Magufuli voice)

Seriously?
Mwanaume tafuta pesa
Kazi ya mkeo ni kutunza na kuviangalia vile unavyovimiliki
Na sio kukaa kizembe kumtegemea yeye
Nothing kitu mwanamke akafanya kikawa na matokeo mazuri kisilete mgogolo au namna yoyote ya dhihaka kwenye maisha yako(unless awe kakulia maisha ya kitajili
Ila hawa wa kajamba nani ni wabinafsi sana!

2 now kila kitu jamii imekigeuza kua normal
Mambo tuliona ajabu zamani now ni kawaida tu
Kuvunja ndoa sio kitu chakustaajabu tena
Matatizo ya leo sio hayatofautiani na yazamani
Ila kwanin hazikuvunjika kama leo? Ni kwakua uvumilivu hakuna
Watu wanaishi kwenda na wakati

Kuna mambo ya 50/50 nayo humohumo
Yaan kifupi a inaishia na z
Afu z inaishia na a

Usipoelewa soma tena
#nahapanmechokakuandika
Kitu kimoja watu hawaelewi kwenye ndoa hamuwezi kufanana. Ambaye hana pesa ndio anatakiwa kuwa mnyonge. Anayechagua mtu wa kuingia naye kwenye ndoa ni mwenye pesa. Kama hauna pesa hautakiwi kuchagua. Inabidi uchukue ambaye hakupi stress. Suala la mama mkwe linatokana na kuwa anayelalamikw wxa hana hela. Maana angekuwa na hela asingechagua kuingia kwenye ndoa na mtu mwenye mama mkorofi.Huku ulaya wanawake wanataka mwanaume anayejua kupika na mwenye gym body. Kwa sababu nguvu ya kuchagua (pesa) wanayo. Namalizia kwa kusema sio kila mwenye pesa anajua kuzitumia. Kuna mfanyabiashara mmoja alifuatilia paspoti pale kurasini miezi sita kisa alikuwa hataki kutoa kitu kidogo.
 
Kifupi usasa umetuharibu sana. Hii taasisi haitaji ulimbokeni sana, na pia tuna shindwa kujua haki na wajibu wa kila mtu kwenye taasisi hii.
Kama alivyo sema mjumbe mmoja hapo juu hii ni taasisi kama taasisi nyingine, sema changamoto ya hii taasisi tumeacha maadili na miongozo yake iliyowekwa na makabila yetu kwa maana mila na desturi lkn pia ile ya dini kwa imani ya kila mtu.
Yote kwa yote ndoa ni mhimu sana kwa ustawi wa jamii iliyo starabika.
Kuzaa pasipo ndoa ndio kuna ongeza janga la migogoro ya ndoa kwa kuwa hao watoto wanakosa malezi thabiti na hivyo kupelekea migogoro kwenye ndoa za baadae.
 
Back
Top Bottom