We subili kwanza utosheke. Maana utakuta unafokewa wewe, unafyonzwa wewe, unaulizwa kama una akili timamu! Daaadeki. Unajiuliza siku unamfata fata na kuomba namba na kumtoa out ulikuwa na akili kweli?! Ila, kuliko kesho ujikute unapata kesi ya mauaji!!? Bora ukaanze maisha upya mkoa mwingine. Kubali hasara.akili kumkichwa kaka hapa maisha yetu ya mviziano. Mnyenkanda huyu ni mbishi, dharau, kibri sijapata kuona
tuna mtoto mmoja ana mwaka sasa. Hapa nawaza kibanda changu cha mbavu nikichukulie mkopo NMB harafu nitalala mbele nimwache na jeuri yake. ni mke wng wa ndoa kbs ya kiislam tumekaa sana vikao vya usuluhishi lkn mabadiliko hamnaWe subili kwanza utosheke. Maana utakuta unafokewa wewe, unafyonzwa wewe, unaulizwa kama una akili timamu! Daaadeki. Unajiuliza siku unamfata fata na kuomba namba na kumtoa out ulikuwa na akili kweli?! Ila, kuliko kesho ujikute unapata kesi ya mauaji!!? Bora ukaanze maisha upya mkoa mwingine. Kubali hasara.
NAKAZIANdugu zangu si mnaona........kataa ndoa tu uepuke matatizo mbali mbali🐒
Brazaaaa, babu na bibi zetu walivumiliana,kwa sababu hakukuwa na chochote. Siku hizi,kitanda kikubwa,nyuma yenye vigae,magari,bia na makolokolo kibao. Enzi hizo kulikuwa na nini!!!tuna mtoto mmoja ana mwaka sasa. Hapa nawaza kibanda changu cha mbavu nikichukulie mkopo NMB harafu nitalala mbele nimwache na jeuri yake. ni mke wng wa ndoa kbs ya kiislam tumekaa sana vikao vya usuluhishi lkn mabadiliko hamna
mazingira ya kazini kwanguBrazaaaa, babu na bibi zetu walivumiliana,kwa sababu hakukuwa na chochote. Siku hizi,kitanda kikubwa,nyuma yenye vigae,magari,bia na makolokolo kibao. Enzi hizo kulikuwa na nini!!!
Miaka hiyo,unamuoa binti bikra. Unavuruga mwenyewe. Leo hii,unadumbukia kwenye handaki la urusi. Wewe una nini? Kama umechokwa,kubali umechokwa. Usitueleze kila kitu humu,lakini we mwenyewe ukweli unaujua.
Swali langu kabla ya ushauli wa mwisho: mlikutana wapi!? Katika mazingira gani!
Ukitaka kumsema Joannah mtag moja kwa moja, masuala ya kusemana kwa mafumbo hatutaki humu.Then kwenye sababu ya kwanza na ya tatu wanawake wafupi wanenen wanaongoza kuvinja ndoa hahahahahaha. Kiwe kinajua Sheria aisee kinajiona kifaru kumbe ni simtank hahahahahah
Kuna wanawake wanaficha makucha kipindi cha uchumba wakishapata cheti cha ndoa tu mwanaume ndio utajua ujuiFRESHMAN , binafsi siwezi kukubali kwamba wanawake wanachangia kuvunja ndoa.
Ndoa zinavunjwa na wanaume wenyewe. Niongeze,wasiojielewa.
Sasa hivi,unajua mwanamke unaemtaka, ni chuma chakavu. Atakuheshimu kwa lipi? Kwa kipi asichokijua toka kwa wengine? Kwa kipi hajapewa! Unakuta aliwahi nunuliwa Toyota Fortuner, wewe unakuja na ki Vitz au IST! Kila aina ya pombe alikunywa, wewe unaleta sijui Redds na King Fisher.
Wanaume walishatambulishwa ukweni kama kumbikumbi,wewe una nini?! Kubwa anaijua,ndefu anaijua,nene anaijua,nyembamba anaijua, mimba alitoa kama zote,bado tu kizazi; Af sasa,wanataka wale akipita tu,watu wote wageuke kwamba fulani ana demu mkali.
My friendo!!! Wale wameumbiwa kutumiwa kwa starehe tuuuu. Si yo wa kuoa. Sasa,wa kuoa,wanaonekana washamba,hawajielewi,hawana hela,hawana mvuto. Unakuta lijitu lina mikucha kama ya kenge,unategemea msaada gani?! Wewe hapo hata ukiugua,litakuacha ndani umuite mama yako akusaidie.
Zamani,wanaume walikua wanaoa wanawake wanaostahili kuolewa. Siku hizi,zama zimebadilika, wanaokota tu. Mtu hata kwao hupajui, hujui ndugu yake hata mmoja,kisa ana makalio makubwa,eti unaoa! Acha yawakute.
Unakuta lijitu limesomeshwa kwa mikopo na wazazi,kuliko liwajengee hata chumba na sebule visafi,linanunua gari la kuhonga.
Mreta mada, acha waachwe tu. Wanataka wenyewe
Aisee..NILICHOJIFUNZA KUCHEPUKA HAKUVUNJI NDOA. KAMA HIZO SABABU TATU NILIZOZITAJA HAZIWASUMBUI HAO WANANDOA. MWANAMKE HAVUNJI NDOA KWA SABABU MUMEWE KACHEPUKA KAMA MAMBO YA PESA KWENYE FAMILIA YAMENYOOKA, MAMA MKWE WAKE NI MTU POA KWAKE, UZAZI UPO POA KAZAAA WATOTO. HAPO NDOA HAIVUNJIKI HATA MUME AKICHEPUKA MARA MOJA MOJA SANA SANA ATAPAMBANA NA MCHEPUKO.
Nunua Fanta kubwa nakuja kulipaKuhusu fedha,
Marriage as an institution, needs Financial Management Skills applicable in any other institution. When it comes to finances, it's all about budgeting and brutal austerity, No debate!
Maana haiwezekani mmoja atafute hela kwa nguvu halafu mwingine aamini kwamba anaweza kuzitumia hovyo kana kwamba zinachumwa kwenye miti.
Cha ajabu tulio wengi kipaombele Namba 1 ni matako hata asipokua na shape Ila tako liwepoHuwezi kupat upendo kama ulichagua matako na shepu kisa una hela za wizi ofisini.
Hahaha..tuna mtoto mmoja ana mwaka sasa. Hapa nawaza kibanda changu cha mbavu nikichukulie mkopo NMB harafu nitalala mbele nimwache na jeuri yake. ni mke wng wa ndoa kbs ya kiislam tumekaa sana vikao vya usuluhishi lkn mabadiliko hamna
Kitu kimoja watu hawaelewi kwenye ndoa hamuwezi kufanana. Ambaye hana pesa ndio anatakiwa kuwa mnyonge. Anayechagua mtu wa kuingia naye kwenye ndoa ni mwenye pesa. Kama hauna pesa hautakiwi kuchagua. Inabidi uchukue ambaye hakupi stress. Suala la mama mkwe linatokana na kuwa anayelalamikw wxa hana hela. Maana angekuwa na hela asingechagua kuingia kwenye ndoa na mtu mwenye mama mkorofi.Huku ulaya wanawake wanataka mwanaume anayejua kupika na mwenye gym body. Kwa sababu nguvu ya kuchagua (pesa) wanayo. Namalizia kwa kusema sio kila mwenye pesa anajua kuzitumia. Kuna mfanyabiashara mmoja alifuatilia paspoti pale kurasini miezi sita kisa alikuwa hataki kutoa kitu kidogo.Ni sahihi!
Nlicheka sana siku nliona jamaa kaanzisha uzi humu eti “nipate mwanamke wa kusaidiana nae maisha”
Nkacheeka nkasema ihiiiiiih(in Magufuli voice)
Seriously?
Mwanaume tafuta pesa
Kazi ya mkeo ni kutunza na kuviangalia vile unavyovimiliki
Na sio kukaa kizembe kumtegemea yeye
Nothing kitu mwanamke akafanya kikawa na matokeo mazuri kisilete mgogolo au namna yoyote ya dhihaka kwenye maisha yako(unless awe kakulia maisha ya kitajili
Ila hawa wa kajamba nani ni wabinafsi sana!
2 now kila kitu jamii imekigeuza kua normal
Mambo tuliona ajabu zamani now ni kawaida tu
Kuvunja ndoa sio kitu chakustaajabu tena
Matatizo ya leo sio hayatofautiani na yazamani
Ila kwanin hazikuvunjika kama leo? Ni kwakua uvumilivu hakuna
Watu wanaishi kwenda na wakati
Kuna mambo ya 50/50 nayo humohumo
Yaan kifupi a inaishia na z
Afu z inaishia na a
Usipoelewa soma tena
#nahapanmechokakuandika
"Mikopo itokanayo na harusi"
Ndugu zangu huu ndo ujinga uliopitiliza!.
Akiri zetu wa Tz naona huwa zinaenda na mvua ikinyesha. Hatujui ni vitu gani vya mhimu kwenye maisha yetuYaani acha tu..watu wanataka harusi za ku trend instagram ?
Wanakopa hela kabisa kwa ajili ya harusi nzuri