Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

Katika kipengele Cha wakwe,mumewangu ataenjoy sana kwetu hakuna ujinga ukizingua watu wanakuchana tu ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Hiiiiiiiiiiiiii, dada mkubwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aiseeeee
 
Mkuu naona uli regress na kupata significant predictors. Ungetuwekea tuone significance levels zake zilikua kwenye ngap, ikiwezekana na Confidence intervals.
 
Mimi nasemaga hapa kila siku
"Mnaoa pisi kali halafu mnaanza kuziogopa"

Anaoa dem mzuri kichizi mpaka jamaa anakosa kujuiamini, unyeyekevu unazidi mpaka dem anamuona huyu ni zoba sasa.
 
This is very true......Wanaume wengi wameishia kuwa Kondoo tu na kuugulia Maumivu.

Pesa ya mwanamke hainaga maana kwenye maisha ya Mwanaume zaidi ya kuleta migogoro tu.
Hapana mkuu kuna wanawake wana busara. Kuna jamaa yangu kaoa mwanamke mwenye kipato kuliko yeye, wamejenga ila 70% ya pesa ni ya mwanamke kila mmoja ana ka usafiri ila usafiri wa mwanamke na mwanaume 100% nibpesa ya mwanamke. Ila hakuna kelele kabisa ni amani tu jamaa anaenjoy maisha, jamaa kaolewa kama anaumia ndani ya nyumba atajua mwenyewe, sisi huku nje tunaona shwari tu
 
Yaani "kubwa, ndefu, nene"[emoji1]
 
Huu uzi naona watu wako serious sana, hakuna matusi, kejeli, vichambo, yaani ni points tu. Aisee mnanitisha wakuu, tuseme kweli hii issue ipo serious hivi!
 
tuna mtoto mmoja ana mwaka sasa. Hapa nawaza kibanda changu cha mbavu nikichukulie mkopo NMB harafu nitalala mbele nimwache na jeuri yake. ni mke wng wa ndoa kbs ya kiislam tumekaa sana vikao vya usuluhishi lkn mabadiliko hamna
Wachache sana tutakuelewa, ila mchizi nakushauri sali sana.
 
Dharau ndio inaongoza,inafuata michepuko hayo ya mama wakwe Sina uzoefu nayo
 
KAKA FRESHMAN, KWENYE NDOA KUNA MAMBO MENGI SANA.
SABABU YA PILI KUHUSU EXTENDED FAMILY INABIDI IWE YA KWANZA. MAMA WAKWE WENGI NI PASUA KICHWA TENA MAMA MKWE AWE SINGLE MAZA NI RISK ZAIDI!

SABABU NYINGINE AMBAYO HUENDA HUTOIONA KATIKA UCHUNGUZI WAKO NI UCHAWI/USHIRIKINA KUTOKA KWA EXTENDED FAMILY. KUNA FAMILIA ZINAWASHIKILIA WATOTO WAO BILA KUJALI LOLOTE, ESPECIALLY SINGLE MAZA AKIONA MTOTO WAKE WA KIKE KAOLEWA KIJICHO, HUSDA NA FARAKA HUTAWALA NDANI YA HIZO NDOA.

KILA LA HERI KATIKA UCHUNGUZI WAKO, UKILETA MREJESHO TAFADHALI NITAG ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Kipindi cha Babu zetu utajiri ulikuwa ktk ng'ombe na mashamba.
 
Mkuu avatar yako inafanana na Ronaldo Delima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ