Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe


Sheria haitambui uchawi.. hakimu hawezi weka kwenye hukumu imani za uchawi ama ushirikina
 
Huyohuyo mwanamke ambaye hawezi kutoa walau laki moja ada ya watoto wake wa kuzaa ikipungua yuko radhi akope mamilioni ampatie kaka yake chapombe mtaji wa biashara,au baba yake mlevi mwenye ndoa za mitaala ,ila nyumbani kwake hata kiberiti anakupigia simu,SUCH A WASTE.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Herufi 4 tu NDOA, ila muziki wake tangu Eden hadi leo hii Dunia imekua ikiomba Poo...
 
mimi niponea chupuchupu nilikuwa naoa mwaka huu, kumbe mtu wife material kabisa ila malaya sana binafsi, njaa kalii, anataka kunitumia kubadilisha maisha ya kwao. yani aninyonye kila kitu. sir God akanionyesha kila kitu nika amsha ningeoa. Kwa stress zile zingeniua aisee. hii ni break up. divorce sijui ingekuwa je. nyie ndoa ina nitisha. nakuwa Muslim na slim soon. bora huko
 
Kipindi cha Babu zetu utajiri ulikuwa ktk ng'ombe na mashamba.
Mi nahisi labda huu utandawizi. Mashamba yapo,mifugo ipo,hii tu mtoto akitoka kwao kwenda shule anayokaa hulo,basi, biashara imeishia hapo. Akisogea Dar ndo kwa heli. Ikidokea karudi kusalimia, anawaacha wenzie kijijini wote amewaharibu kwa vistori vya mambo ya kihuni huni. Matokeo yake ndo haya.
Akirudi kijijini,wanaume huko ni hamjiwezi,hamna hela, bodaboda hapana,mwenye gari hata kama babu yake,hapo amemwini. Kazi kweli kweli
 
This is very true......Wanaume wengi wameishia kuwa Kondoo tu na kuugulia Maumivu.

Pesa ya mwanamke hainaga maana kwenye maisha ya Mwanaume zaidi ya kuleta migogoro tu.
Tena usikae kuitegemea au kuiwazia

Kama nlivyowahi kusema hawa watu wanajijua wenyewe
Muhimu kufanya mambo yako kikamilifu
 
Balaa ndugu yangu
 
Alafu ukienda kusoma kesi zao za kutaka kugawana mali ndoa ikishavunjika huwa wanapendelewa sana kwenye mahakama za mwanzo ila ukiwa kichwa ngumu uka kata rufaa wengi huenda kuambulia patupu au mgao kiduchu sana.
 
Ukiona Mwanamke anayechukua hela yake akamlipia mtoto ada au akanunua mahitaji ya ndani ujue huyo ni Single Maza
 
Then kwenye sababu ya kwanza na ya tatu wanawake wafupi wanenen wanaongoza kuvinja ndoa hahahahahaha. Kiwe kinajua Sheria aisee kinajiona kifaru kumbe ni simtank hahahahahah
Halafu kiwe kina vaa moka soli ndefu kuongeza kimo. Wana mdomo sana
 
Ndio maana watu wanatumia magunia matatu ya mkaa..mji mzito sana huu halafu daresalamu inaongoza
 
Fact
 
Mkuu umenichana live
 
Maisha yamekuwa magumu wanawake wamekuwa jeuri na wana mikelele hivi vitu vinachangia kuvunja ndoa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…