Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Mkuu,

Picha ya tatu hii umepost na zote Kuna kipengere unakiruka.

Ukisha "attach photo" Kuna neno kule juu kushoto limeandikwa " insert". Ukigusa hapo inakuonyesha maneno mawili, 1. Thumbnail 2. Full image. Gusa full image kisha umemaliza kazi. Picha zitaonekana full kama Uzi wa "warembo worldwide".

Tuendelee na mjadala.
Asante mkuu, sikujuwa hilo, kwenye nilikuwa nikiupload picha najuwa kitu na box kumbe huku kuna mlolongo.

Asante ndio nimejuwa Leo, na tayari nimeshafanyia kazi.
 
Hii mindset ya wanawake nayo kwa kiasi kikubwa inachangia tatizo, wengi wao hupigania kuolewa wakiamini kwenda kwa mume ni sawa na kwenda kwa "baba zao wadogo", kwenda kutafuta malezi mengine nje ya nyumbani kwao walipozaliwa.

Hapa ndio chanzo cha wale jamaa wa kataa ndoa wanapopata nafasi ya kujidai, wanawake wanakuwa wagumu sana (baadhi) kutoa sehemu ya kipato chao kurekebisha mambo nyumbani pale hali inapoyumba, na hata wakitoa, basi ujue utasemwa mpaka ujute.

Mwanaume akiamua kuishi na mwanamke kwenye hizi ndoa zetu, simply hatakiwi kuwa na kisirani, hatakiwi kujiuliza maswali, akae akijua anatakiwa kutoa pesa non stop kila zitakapohitajika, na kama ikitokea akakosa bahati mbaya, ajiandae kwa lawama..
Sasa tatizo liko hapa, dunia imebadirika, gharama za maisha zimepanda na wanawake wanashiriki njia kuu za uchumi.

Sasa hapa tusidanganyane Kwa familia inayotaka kuishi maisha standard basi mambo yote ya familia aachiwe mwanaume siyo kweli.

Binafsi kipindi nasoma tulisoma shule za umma wote mpaka na watoto wa matajili.

Bi mkubwa alikuwa mfanyakazi na mshuwa mfanyakazi lakini Kwa jicho la kawaida Tu niliona commitment za Bi mkubwa financially kwenye malezi yetu.

Kimebadirika nini Kwa kizazi hiki? Ingawa wapo wachache Sana wanaojitambuwa.
 
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.

Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.

Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri yake.

Ndoa za Watanzania wengi ni Sawa na Jehenamu kunyimana unyumba na tafrani zote.

Siku nilikuwa mediator ingawa sipendi kabisa kusuruhisha matatizo ya ndoa, findings zangu na ushauri wangu ni huu.

1. Kuoa au kuolewa siyo Jambo la lazima zingatia hili, Mimi nina ndoa lakini sikushauri kuingia kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini.

2. Kuna swala la ulevi Kwa ujumla, hili nimeona linaleta shida Sana kwenye ndoa, wote mmekutana kwenye pombe baadaye unamkataza mwenza wako asinywe pombe, jitafakari Sana hapo.

3. Hili ni tatizo, linawahusu wanawake wote, kumekuwa na tabia ya wanawake kutaka kuwarusha stage za ujuwaji waume zao, kumbe binadamu NI lazima apite hizo stage ili ajuwe mema na mabaya.

Kijana wa miaka 28 mpaka 40 unataka Aishi kama mtu wa miaka 50 kisa amekuwa wewe dada Hilo haiwezekani na likiwezekana elewa umetolewa na zezeta

Solution: Kwenye kupata wenzake , kila mtu ajitahidi kupata choice na quality zake, ukitaka mcha Mungu tegesha makanisani huko nako si kwamba Wana ucha Mungu wowote.

Point hapa vile umemkuta mwenzao wako bila kuangalia tako au uhandsome wake au pesa zake, elewa hivyo ndivyo alivyo usitalajie kwamba wewe utambadirisha, shida kubwa ya ndoa nyingi kuwa ICU ukichunguza Kwa makini utagunduwa tu kuna mwanandia mmoja anaamini yeye ndio mwenye akili mwenzake Hana akili.

Tutaendelea kwenye comment session.View attachment 2973331
Sema Ndoa yako ndiyo iliyo kushinda, Ndoa nyingi kivipi wewe umefanya tafiti wapi, leta data hapa zinazo onyesha juu ya unacho kisema. Wewe sema ndoa yako imekushinda tujue cha kukusaidia au kukushauri.

Changamoto za hapa na pale hazikosekani shida ni kuendekeza mfumo dume, mwanaume una taka kuwa juu kwa msemo wa Mwanaume akosei na Mwanamke hataki kujishusha kumsikiliza mume nini anasema maana amesha ambiwa Mwanamke bila hata mwanaume anaweza, sasa hapa ndoa itawezekana vipi.

Mzee kama una endekeza mfumo dume kwenye ndoa yako karne hii ya 21 utakula za Uso kwenye kila ndoa unayo ingia we Kilaza.

Na kama utajitetea hupo kwenye ndoa jibu kwanini haupo kwenye ndoa, watu tupo kwenye ndoa na maisha yanaenda japo kabla ya kuingia kwenye ndoa nilisha kutana na watu wengi kama wewe wanaosema ndoa mbaya mara ndoa ndoano.

Watu wapo busy kuogopesha watu kuingia kwenye ndoa ila wao wapo kwenye ndoa na kutoka hawataki.

Kama mliokotana barabarani mkuu pambana sana.

Ndoa ni tamu zaidi ya sanaaa kama hamku okotana.

Hope ume nielewa mzee.
 
Hakuna sababu ya kubishana na mtu mwenye akili ndogo kama wewe.

Inawezekana katika ndoa chache zenye mafanikio na wewe umo humo, Yani mke wako ametoka Kwa bwana.

Wacha tukupe muda ndio mwalimu bora kabisa.
 
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.

Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.

Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri yake.

Ndoa za Watanzania wengi ni Sawa na Jehenamu kunyimana unyumba na tafrani zote.

Siku nilikuwa mediator ingawa sipendi kabisa kusuruhisha matatizo ya ndoa, findings zangu na ushauri wangu ni huu.

1. Kuoa au kuolewa siyo Jambo la lazima zingatia hili, Mimi nina ndoa lakini sikushauri kuingia kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini.

2. Kuna swala la ulevi Kwa ujumla, hili nimeona linaleta shida Sana kwenye ndoa, wote mmekutana kwenye pombe baadaye unamkataza mwenza wako asinywe pombe, jitafakari Sana hapo.

3. Hili ni tatizo, linawahusu wanawake wote, kumekuwa na tabia ya wanawake kutaka kuwarusha stage za ujuwaji waume zao, kumbe binadamu NI lazima apite hizo stage ili ajuwe mema na mabaya.

Kijana wa miaka 28 mpaka 40 unataka Aishi kama mtu wa miaka 50 kisa amekuwa wewe dada Hilo haiwezekani na likiwezekana elewa umetolewa na zezeta

Solution: Kwenye kupata wenzake , kila mtu ajitahidi kupata choice na quality zake, ukitaka mcha Mungu tegesha makanisani huko nako si kwamba Wana ucha Mungu wowote.

Point hapa vile umemkuta mwenzao wako bila kuangalia tako au uhandsome wake au pesa zake, elewa hivyo ndivyo alivyo usitalajie kwamba wewe utambadirisha, shida kubwa ya ndoa nyingi kuwa ICU ukichunguza Kwa makini utagunduwa tu kuna mwanandia mmoja anaamini yeye ndio mwenye akili mwenzake Hana akili.

Tutaendelea kwenye comment session.View attachment 2973331
actually,
ni dhamana za watoto na mali tu ndio zimeshikilia ndoa nyingi humu nchini 🐒

upendo uliisha kitambo sana, sijui ni athari za 50 kwa 50 hizi 🐒
 
Ndoa ilimfanya ndugu yangu ahame dhehebu. Mtu ukiwa kwenye ndoa unawaambia wengine ndoa chungu ila kutoka hutoki.[emoji23][emoji23][emoji23]
Utoke unakimbilia wapi? Kwani huko unapokimbilia ndiyo kuna unafuu[emoji23][emoji23][emoji23] ni mfumo ndoa inapibgwa sana na shetani maana ndipo kwenye mfanikio hasa ukimpata mtu sahihi bibilia inasmea ukimpata mwenza umepata kibali machoni pa bwana,

Sasa watu hawatoki kwa sababu ya matunzo ya watoto inafika mahali mnaacha kuangalia matakwa yenu maanza kuangalia ustawi wa watoto mliwaleta duniani, msiwape tabu malaika wachanga, muwakuze vyema
 
Hakuna sababu ya kubishana na mtu mwenye akili ndogo kama wewe.

Inawezekana katika ndoa chache zenye mafanikio na wewe umo humo, Yani mke wako ametoka Kwa bwana.

Wacha tukupe muda ndio mwalimu bora kabisa.
Wewe leta data hapa juu ya huo utafiti wako, pia leta data hapa kama nina akili ndogo.

Mambo ya kutishana na tafiti ulizo ota ndotoni, au ndoto ulizo letewa na mizimu ya babu zako wewe hizo kaa nazo ndani kwako.

Leta DATA, NO RESEARCH NO DATA, NO RIGHT TO TALK.

ACHA KUOGOPESHA WENGINE KUHUSU NDOA, KAMA ULIOKOTA MKE NJIANI UKA OA, WE PAMBANA NAYE KIMYA KIMYA SIYO KULETA STRESS NA DEPRESSION ZAKO HAPA.
 
Sema Ndoa yako ndiyo iliyo kushinda, Ndoa nyingi kivipi wewe umefanya tafiti wapi, leta data hapa zinazo onyesha juu ya unacho kisema. Wewe sema ndoa yako imekushinda tujue cha kukusaidia au kukushauri.
Huyu mtafiti anayo hoja, labda ni figures tu amekosa, ila ukweli ni huo ndoa nyingi ni mfu, mfano mtaani ninapoishi kuna kaya kama 380, kuanzia 2012 hadi sasa kuna ndoa zaidi ya 100 ninazozifahamu zimesambaratika na nyingi ni za viapo vya kifo kitutenganishe
 
Wewe leta data hapa juu ya huo utafiti wako, pia leta data hapa kama nina akili ndogo.

Mambo ya kutishana na tafiti ulizo ota ndotoni, au ndoto ulizo letewa na mizimu ya babu zako wewe hizo kaa nazo ndani kwako.

Leta DATA, NO RESEARCH NO DATA, NO RIGHT TO TALK.

ACHA KUOGOPESHA WENGINE KUHUSU NDOA, KAMA ULIOKOTA MKE NJIANI UKA OA, WE PAMBANA NAYE KIMYA KIMYA SIYO KULETA STRESS NA DEPRESSION ZAKO HAPA.
Nikishaona mtu anaandika Kwa kuchanganya Caps, huwa najuwa ameshachanganyiwa anaelekea kuwa kichaa.

Huna tofauti na hawa.
FB_IMG_1714003205731.jpg
 
Back
Top Bottom