Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Hapa sasa itakuwa ni kumpa mwanamke mzigo wa majukumu, mwisho wa siku yeye ndio atajikuta anafanya majukumu mengi zaidi kuliko kiongozi ilihali yeye ni msaidizi tu, yani mtu afanye kazi za nyumbani, azae, alee

Na bado akusaidie wewe kuhudumia familia ambalo ndilo jukumu lako pekee na bado aendelee kukutii na kukuheshimu sasa yeye majukumu yake anasaidiwa na nani, hao hao wazungu uliowatolea mfano ukae ukijua hawana tena mfumo dume wala mgawanyo wa majukumu, ukitoa yale majukumu ya kimaumbile ya mwanamke mengine yote wanasaidiana 50 50 tena kila siku

Na hakuna cha mke kumtii mume wala mume kumtawala mke kila mmoja anajitawala mwenyewe, na kila mmoja anatakiwa kumsikiliza na kumheshimu mwenzake ila wanaume wa kiafrika haya huwa hamyaongelei, mnaongelea pesa tu sasa ninyi mnafikiri ni upi msingi wa mwanaume kuhudumia mwanamke
My research wadada wa kazi ndio watakuja kutowa kizazi bora cha wife material maana wao ndio wanaohudumia waume za watu sasa hivi.
 
My research wadada wa kazi ndio watakuja kutowa kizazi bora cha wife material maana wao ndio wanaohudumia waume za watu sasa hivi.
wawekezaji hao...

ukiwekeza familia yako hususani wanao walelewe na muwekezaji wa hovyo kuna madhara yake pia kwa watoto wako....

Mwenyezi Mungu akujalie upate muwekezaji wa ndani ya nyumaba yako mwenye hofu ya Mungu, watoto wako watakua ktk malezi mema na salama. hata hivyo wawekezaji wema na wazuri namna hii ndio pia chanzo cha kutokuelewana na kuvunjika kwa wabia wa maisha yaan baba na mama:BASED:
 
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.

Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.

Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri yake.

Ndoa za Watanzania wengi ni Sawa na Jehenamu kunyimana unyumba na tafrani zote.

Siku nilikuwa mediator ingawa sipendi kabisa kusuruhisha matatizo ya ndoa, findings zangu na ushauri wangu ni huu.

1. Kuoa au kuolewa siyo Jambo la lazima zingatia hili, Mimi nina ndoa lakini sikushauri kuingia kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini.

2. Kuna swala la ulevi Kwa ujumla, hili nimeona linaleta shida Sana kwenye ndoa, wote mmekutana kwenye pombe baadaye unamkataza mwenza wako asinywe pombe, jitafakari Sana hapo.

3. Hili ni tatizo, linawahusu wanawake wote, kumekuwa na tabia ya wanawake kutaka kuwarusha stage za ujuwaji waume zao, kumbe binadamu NI lazima apite hizo stage ili ajuwe mema na mabaya.

Kijana wa miaka 28 mpaka 40 unataka Aishi kama mtu wa miaka 50 kisa amekuwa wewe dada Hilo haiwezekani na likiwezekana elewa umetolewa na zezeta

Solution: Kwenye kupata wenzake , kila mtu ajitahidi kupata choice na quality zake, ukitaka mcha Mungu tegesha makanisani huko nako si kwamba Wana ucha Mungu wowote.

Point hapa vile umemkuta mwenzao wako bila kuangalia tako au uhandsome wake au pesa zake, elewa hivyo ndivyo alivyo usitalajie kwamba wewe utambadirisha, shida kubwa ya ndoa nyingi kuwa ICU ukichunguza Kwa makini utagunduwa tu kuna mwanandia mmoja anaamini yeye ndio mwenye akili mwenzake Hana akili.

Tutaendelea kwenye comment session.View attachment 2973331
Yako imekufa unataka na sisi zetu zife?
Pambana na hali yako
 
Vipi mbona povu Sana? hii ni mijadala ya kila siku hapa JF.

Kama umepewa kazi ya kumuogesha Junior Fanya hivyo usiniletee povu lako Mimi.
Toka hapa......
Vitu mkiota kwenye ndoto na vidiscussion vyenu ya kwenye kahawa mnakuja kufungua nyuzi jamii forum eti research..... acheni blah blah, hao wazungu wanaishi kama wanyama mna kazi ya kusifia uongo uongo
 
Mimi naamini ni kutoelewa uhalisia tu, wanaume wanapata stroke wanapambana na Mengi.

Unavyoona tu ada zimelipwa usidhani ni issue ya kitoto watu wanakopa mpaka mikopo ya Riba za kikatili.

Sasa mtu kaitwa pub na washkaji zake apunguze stress na bia tatu karudi home Unaanza kubwatuka pesa unaimaliza kwenye pombe, no way, haiko hivyo.

Wanaume Wana Siri zao, mtu anaweza kukaa muda mrefu mambo yake hayaendi lakini kuna mtu Yuko nyuma yake anacover, nyinyi mnakula tu nyumbani hamjuwi hata pesa inatoka wapi.

Ni wakati sasa wa kubadili mindset zetu ili tuokowe hizi familia maana hali ni mbaya Sana.

Kuna mwanangu mwingine baada ajira kufika tamati mke wake akaanza kuzinguwa Yule Mwamba ameuza nyumba moja kimyakimya amesepa zake ughaibuni, sasa faida iko wapi hapo?
Lakini mi naona, treatment mke anayompa mume pindi mume akiwa hana pesa, itategemea na treatment mume aliyokuwa anampa mke pindi mume akiwa na pesa

Kama mume alikuwa msaliti na mnyanyasaji pindi akiwa na pesa, basi asitegemee siku akifilisika mke atakuwa mwema na mkarimu kwake, lazima tu atalipa kisasi wanawake nao ni binadamu siyo malaika jamani

Kuna mtu alianzishaga mada humu akasema ukiona unamfanyia makosa mkeo, ambayo unajua kabisa lazima yanamkwaza na ukaona anaendelea kukuvumilia, basi kaa ukijua ipo siku atatafuta tu njia ya kulipa kisasi hata kama itakuwa ni uzeeni
 
Toka hapa......
Vitu mkiota kwenye ndoto na vidiscussion vyenu ya kwenye kahawa mnakuja kufungua nyuzi jamii forum eti research..... acheni blah blah, hao wazungu wanaishi kama wanyama mna kazi ya kusifia uongo uongo
Vipi umeshamuogesha Junior au unapoteza muda JF?

Wakati unachezea makofi Sisi hatutakuwepo, shauri yako
 
Siyo ndoa za mikataba tu, Bali Kile kiapo kiandikwe upya.

Kiapo cha ndoa kinasema utamvumilia katika shida na Raha na maradhi, lakini jinsia ya Ke wengi wao kiapo hiki wamekariri kipengele cha wakati wa raha tu.

Kuna Jamaa yangu mmoja ilibidi Mimi niingilie Kati nimwambie mke wake ukweli Jamaa Hana pesa, kuna pesa anaidai kwangu ziko kwenye process ya kulipwa.

Imagine kuna mwanamke hataki kusikia lugha ya kumwambia wiki hii mipango yangu kipesa haiko Sawa kama Una akiba okowa jahazi nyumbani, sasa kuna haja gani ya kuwa na ndoa hapo? Ndoa ya upande mmoja?
Kuna wanawake kwenye hela ni kama majini, wao wanaamini mwanaume kuna mti huwa anachuma pesa.. ukiangalia yeye amekaa tu.. ukimuuliza anasema sasa nipate wapi hela, nikaombe wanaume wengine.. anakutisha..
Unamwambia tu, kama umeona hiyo ndio namna pekee uliyo nayo nenda ... 🙁
 
Back
Top Bottom