Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

My research wadada wa kazi ndio watakuja kutowa kizazi bora cha wife material maana wao ndio wanaohudumia waume za watu sasa hivi.
 
My research wadada wa kazi ndio watakuja kutowa kizazi bora cha wife material maana wao ndio wanaohudumia waume za watu sasa hivi.
wawekezaji hao...

ukiwekeza familia yako hususani wanao walelewe na muwekezaji wa hovyo kuna madhara yake pia kwa watoto wako....

Mwenyezi Mungu akujalie upate muwekezaji wa ndani ya nyumaba yako mwenye hofu ya Mungu, watoto wako watakua ktk malezi mema na salama. hata hivyo wawekezaji wema na wazuri namna hii ndio pia chanzo cha kutokuelewana na kuvunjika kwa wabia wa maisha yaan baba na mama
 
Yako imekufa unataka na sisi zetu zife?
Pambana na hali yako
 
Vipi mbona povu Sana? hii ni mijadala ya kila siku hapa JF.

Kama umepewa kazi ya kumuogesha Junior Fanya hivyo usiniletee povu lako Mimi.
Toka hapa......
Vitu mkiota kwenye ndoto na vidiscussion vyenu ya kwenye kahawa mnakuja kufungua nyuzi jamii forum eti research..... acheni blah blah, hao wazungu wanaishi kama wanyama mna kazi ya kusifia uongo uongo
 
Lakini mi naona, treatment mke anayompa mume pindi mume akiwa hana pesa, itategemea na treatment mume aliyokuwa anampa mke pindi mume akiwa na pesa

Kama mume alikuwa msaliti na mnyanyasaji pindi akiwa na pesa, basi asitegemee siku akifilisika mke atakuwa mwema na mkarimu kwake, lazima tu atalipa kisasi wanawake nao ni binadamu siyo malaika jamani

Kuna mtu alianzishaga mada humu akasema ukiona unamfanyia makosa mkeo, ambayo unajua kabisa lazima yanamkwaza na ukaona anaendelea kukuvumilia, basi kaa ukijua ipo siku atatafuta tu njia ya kulipa kisasi hata kama itakuwa ni uzeeni
 
Toka hapa......
Vitu mkiota kwenye ndoto na vidiscussion vyenu ya kwenye kahawa mnakuja kufungua nyuzi jamii forum eti research..... acheni blah blah, hao wazungu wanaishi kama wanyama mna kazi ya kusifia uongo uongo
Vipi umeshamuogesha Junior au unapoteza muda JF?

Wakati unachezea makofi Sisi hatutakuwepo, shauri yako
 
Kuna wanawake kwenye hela ni kama majini, wao wanaamini mwanaume kuna mti huwa anachuma pesa.. ukiangalia yeye amekaa tu.. ukimuuliza anasema sasa nipate wapi hela, nikaombe wanaume wengine.. anakutisha..
Unamwambia tu, kama umeona hiyo ndio namna pekee uliyo nayo nenda ... 🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…