Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Upewe maua yako.
 
Sijasoma ila nime~like najua umeandika kile nachotaka kusoma.
 
Mpaka sasa ufanano sijaona
 
Sure
 
Hao hao baada ya muda muanze kuwaambia kuwa hawachangii chochote kiuchumi kwenye hizo ndoa zenu 😀😀😀

Wanadamu ni kama hamjui mnataka nini.
Si umeona eh yani hawajui wanataka nini, mwanamke akiwa mama wa nyumbani anaambiwa hachangii chochote kwenye familia hata kama anatimiza majukumu yake, na akiwa mfanyakazi au mfanyabiashara anaambiwa kajisahau hatimizi majukumu yake ya nyumbani hata kama anachangia kipato nyumbani
 
Inatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.

Kwani mwanaume kuwa na kazi na kuleta kipato kunamfanya asitengeneze mda Kwa ajili ya mkewe na watoto au shughuli fulani za nyumbani?
 
Tuishi humo my wangu! 😂😂😂
 
Inatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.

Kwani mwanaume kuwa na kazi na kuleta kipato kunamfanya asitengeneze mda Kwa ajili ya mkewe na watoto au shughuli fulani za nyumbani?
Hakuna mtu perfect akaweza kubalance mambo katika mzani sawa, Binafsi kuna kazi nimeshaziondoa on my to-do list… Na yeye kama kuna vitu vitakwama kwa upande wake tutaona namna ya kuchekecha. Tupunguze expectations tufurahie dunia.

Ndoa ni ya wawili, watatu shetani.
 
Inatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.

Kwani mwanaume kuwa na kazi na kuleta kipato kunamfanya asitengeneze mda Kwa ajili ya mkewe na watoto au shughuli fulani za nyumbani?
Na kwanini na ninyi wanaume msifanye vyote kama mnaona ni rahisi
 
Toka hapa......
Vitu mkiota kwenye ndoto na vidiscussion vyenu ya kwenye kahawa mnakuja kufungua nyuzi jamii forum eti research..... acheni blah blah, hao wazungu wanaishi kama wanyama mna kazi ya kusifia uongo uongo
Kwa kujibu hivi tuu kama wewe ni mwanamke, na una mume, mume wako anakaI kubwa saana. Jamaa yetu anatabu saana katika fungu alilochagua juu yako.
 
Bora umetusaidia maana daah huyo uliyo reply comment yake anapenda ligi.........
 
Iyo my dear ndo imenichanganya director
 
Mkuu, hivi kinacho ua ndoa nyingi nyakati hizi ni nini?.
Kwa maelezo yako hapo ni kwa sababu mwanamke anafanya kazi ndo maana anashindwa kufanya majukumu mengine.
 
Ndoa tamu wewe usiskie.
ukimaliza kula chakula unamla na mpishi
 
Kwa kujibu hivi tuu kama wewe ni mwanamke, na una mume, mume wako anakaI kubwa saana. Jamaa yetu anatabu saana katika fungu alilochagua juu yako.
A whole husband and multiple kids.....
And he is not inscure and stupid, he minds his business and do what real men do

Ndezi kama nyie ndo mnafifisha taasisi ya ndoa kipindi ambacho inabidi ipambaniwe watu wawe motivated kujenga familia bora

Jamii iliyostaaribika inaanzia kwa familia, na siku hizi watu hawataki hekaheka kama mwenza haeleweki ni talaka, mnaona maisha ya talaka rahisi rahisi ni sifa???????????
 
Umeandika ukweli mtupu

Ndoa nyingi zimeshakufa tayari watu wanaishi Kama maadui ,kutukanana ,ulevi, michipuko n.k
 
Ndezi ni wewe unayeshindwa kusoma kwa ufahamu unakurupuka na kushindwa kudiscuss maada unaleta kelele na makasiriko yasio na msingi wowote. Jifunze kusoma kwa ufahamu. Utajifunza kujibu kwa ufahamu.

Bado narudia jamaa anatabu huko aliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…