Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kuna watu wanataka atimize hivyo vyote kisa yeye anatoa kiasi kikubwa cha pesa.Mwanamke atoke kazini saa 12 aingie jikoni kupika bado muda wa kulala akate viuno hii ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanataka atimize hivyo vyote kisa yeye anatoa kiasi kikubwa cha pesa.Mwanamke atoke kazini saa 12 aingie jikoni kupika bado muda wa kulala akate viuno hii ni ngumu
Upewe maua yako.Kwa upande wangu, ndoa inahitaji mwanamke mnyenyekevu na mwanaume mwenye akili, hiyo ndoa itaenda, pili lazima ujue stages za ndoa, wengine wanafikiri ndoa ni tendo la ndoa pale tendo linapokosekana shida inaanzia hapo, wengine wanaishi kwenye ndoa kwa kuangalia ndoa za wengine hilo pia ni tatizo, kubwa kuliko ni yale matarajio anayojiwekea mtu kwa mwenzi wake tofauti na uhalisia, mwanamke atajifanya anayajua mapenzi anakata viono kama Aisha Madinda akiingia kwenye ndoa anachoka hilo tatizo ni hayo tu
Sijasoma ila nime~like najua umeandika kile nachotaka kusoma.Ndoa ni muhimu lakini sio lazima.Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka 20plus nimejifunza mengi sana.Mojawapo ni kuwa furaha yako hupati kwa mwenzako kama nilivyokuwa nafikiria ,pia tunaingia kwenye ndoa na matarajio makubwa kutoka kwa kila mmoja wetu.Sasa kikubwa kwenye ndoa ni kupata mtu unae endana nae angalao kwa asilimia 40% kitabia na pia kila mmoja aweze kuchukua mapungufu ya mwenzake kama yakwake na kuyafanyia kazi na kuyakubali na sio kumbadilisha.Mfano ,mimi nilimkuta mume wangu ni mywaji (sisemi mlevi) ila mimi sinywi so nilichofanya ni kuakikisha nampa muda wake wa kunywa kama ndio kitu kinampa furaha uwezi amini after 15yrs ameacha mwenyewe na hataki hata kusikia kwa kuwa ameona haimpi faida wala kwa umri wake sio kitu kinampa furaha nay more.Shida ni pale sasa unataka kumbadilisha fika uliolewa unajua kabisa ulimkuta anakunywa ,unafoka,unanuna why !unless aanze mkiwa ndani ya ndoa that is something else huu ni mfano mmoja tu.Kikingine lazima muweke issue za finances /kifedha wazi ,haijalishi nani anapata zaidi au hapati,try to communicate kwa habari ya budget,spending nk including investment au namna ya kuongeza kipato.Ukiona mwenzako anatumia kipato let say anamchepuko huwa nawaambia ladies be calm ,deal na furaha yako my dear you can not compete with man chini ya jua.Jipende,jidhamini ,glow my dear ,kama ulikuwa unaenda maili moja kutafuta fedha move to next miles jifanye hata ujui kinachoendelea (yaani ignore).Kingine ile mwanzo tu hamjaoana ,muwe na moment together tafuta karatasi kila mtu aandike anachokipenda kwa mwenzake ,anachokichukia na nini anataka afanyie,review after one year and hii iwe sehemu ya maisha yenu kila mwaka mshirikishe Mungu (sio mchungaji ,shehe.mashoga au nabii) wewe na Mungu wako.Trust me ,ndoa ni PARADISO nina enjoy
Mpaka sasa ufanano sijaonaNitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri yake.
Ndoa za Watanzania wengi ni Sawa na Jehenamu kunyimana unyumba na tafrani zote.
Siku nilikuwa mediator ingawa sipendi kabisa kusuruhisha matatizo ya ndoa, findings zangu na ushauri wangu ni huu.
1. Kuoa au kuolewa siyo Jambo la lazima zingatia hili, Mimi nina ndoa lakini sikushauri kuingia kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini.
2. Kuna swala la ulevi Kwa ujumla, hili nimeona linaleta shida Sana kwenye ndoa, wote mmekutana kwenye pombe baadaye unamkataza mwenza wako asinywe pombe, jitafakari Sana hapo.
3. Hili ni tatizo, linawahusu wanawake wote, kumekuwa na tabia ya wanawake kutaka kuwarusha stage za ujuwaji waume zao, kumbe binadamu NI lazima apite hizo stage ili ajuwe mema na mabaya.
Kijana wa miaka 28 mpaka 40 unataka Aishi kama mtu wa miaka 50 kisa amekuwa wewe dada Hilo haiwezekani na likiwezekana elewa umetolewa na zezeta
Solution: Kwenye kupata wenzake , kila mtu ajitahidi kupata choice na quality zake, ukitaka mcha Mungu tegesha makanisani huko nako si kwamba Wana ucha Mungu wowote.
Point hapa vile umemkuta mwenzao wako bila kuangalia tako au uhandsome wake au pesa zake, elewa hivyo ndivyo alivyo usitalajie kwamba wewe utambadirisha, shida kubwa ya ndoa nyingi kuwa ICU ukichunguza Kwa makini utagunduwa tu kuna mwanandia mmoja anaamini yeye ndio mwenye akili mwenzake Hana akili.
Tutaendelea kwenye comment session.View attachment 2973331
SureNitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.

Si umeona eh yani hawajui wanataka nini, mwanamke akiwa mama wa nyumbani anaambiwa hachangii chochote kwenye familia hata kama anatimiza majukumu yake, na akiwa mfanyakazi au mfanyabiashara anaambiwa kajisahau hatimizi majukumu yake ya nyumbani hata kama anachangia kipato nyumbaniHao hao baada ya muda muanze kuwaambia kuwa hawachangii chochote kiuchumi kwenye hizo ndoa zenu 😀😀😀
Wanadamu ni kama hamjui mnataka nini.
Inatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.Si umeona eh yani hawajui wanataka nini, mwanamke akiwa mama wa nyumbani anaambiwa hachangii chochote kwenye familia hata kama anatimiza majukumu yake, na akiwa mfanyakazi au mfanyabiashara anaambiwa kajisahau hatimizi majukumu yake ya nyumbani hata kama anachangia kipato nyumbani
Tuishi humo my wangu! 😂😂😂Si umeona eh yani hawajui wanataka nini, mwanamke akiwa mama wa nyumbani anaambiwa hachangii chochote kwenye familia hata kama anatimiza majukumu yake, na akiwa mfanyakazi au mfanyabiashara anaambiwa kajisahau hatimizi majukumu yake ya nyumbani hata kama anachangia kipato nyumbani
Hakuna mtu perfect akaweza kubalance mambo katika mzani sawa, Binafsi kuna kazi nimeshaziondoa on my to-do list… Na yeye kama kuna vitu vitakwama kwa upande wake tutaona namna ya kuchekecha. Tupunguze expectations tufurahie dunia.Inatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.
Kwani mwanaume kuwa na kazi na kuleta kipato kunamfanya asitengeneze mda Kwa ajili ya mkewe na watoto au shughuli fulani za nyumbani?
Na kwanini na ninyi wanaume msifanye vyote kama mnaona ni rahisiInatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.
Kwani mwanaume kuwa na kazi na kuleta kipato kunamfanya asitengeneze mda Kwa ajili ya mkewe na watoto au shughuli fulani za nyumbani?
Kwa kujibu hivi tuu kama wewe ni mwanamke, na una mume, mume wako anakaI kubwa saana. Jamaa yetu anatabu saana katika fungu alilochagua juu yako.Toka hapa......
Vitu mkiota kwenye ndoto na vidiscussion vyenu ya kwenye kahawa mnakuja kufungua nyuzi jamii forum eti research..... acheni blah blah, hao wazungu wanaishi kama wanyama mna kazi ya kusifia uongo uongo
Bora umetusaidia maana daah huyo uliyo reply comment yake anapenda ligi.........MKwa uzoefu wangu,mwanamke wa ndoa kufanya kazi za nyumbani ni kujipanga.My experience nilikuwa na dada wa kazi wakati watoto wangu ni wadogo .Walivyoenda form 1 boarding wote ,niliondoa dada na principle yangu kuanzia wakiwa primary wakiwa holiday dada anaenda likizo na wenyewe wanajipanga na kila siku tunapanga majukumu ya nyumbani pamoja(from Baba yao mpaka watoto) .Mimi nafanya kazi ,tena niko busy sana na ni bosi mkubwa tu kwa level ya director na bado naweza kupika naosha vyombo nafanya usafi(utakuta mwanamke analipa kwenda "gym" akiamua kazi za nyumbani akafanya ndio gym yake) .Watoto wako university na sina dada wa kazi for almost 5 yrs now nina kijana anakuja twice a week kwa ajili ya huko nje tu.Niko Likizo ndio maana nina muda hata wa kuelimisha wamama wenzangu (sisemi kila kitu kita work kwa kila mtu) ila malezi na exposure ni muhimu sana.Kwa kuwa ungekuwa ulaya una luxury ya kuwa na mdada wa kazi unajipanga my dear.
Iyo my dear ndo imenichanganya directorMKwa uzoefu wangu,mwanamke wa ndoa kufanya kazi za nyumbani ni kujipanga.My experience nilikuwa na dada wa kazi wakati watoto wangu ni wadogo .Walivyoenda form 1 boarding wote ,niliondoa dada na principle yangu kuanzia wakiwa primary wakiwa holiday dada anaenda likizo na wenyewe wanajipanga na kila siku tunapanga majukumu ya nyumbani pamoja(from Baba yao mpaka watoto) .Mimi nafanya kazi ,tena niko busy sana na ni bosi mkubwa tu kwa level ya director na bado naweza kupika naosha vyombo nafanya usafi(utakuta mwanamke analipa kwenda "gym" akiamua kazi za nyumbani akafanya ndio gym yake) .Watoto wako university na sina dada wa kazi for almost 5 yrs now nina kijana anakuja twice a week kwa ajili ya huko nje tu.Niko Likizo ndio maana nina muda hata wa kuelimisha wamama wenzangu (sisemi kila kitu kita work kwa kila mtu) ila malezi na exposure ni muhimu sana.Kwa kuwa ungekuwa ulaya una luxury ya kuwa na mdada wa kazi unajipanga my dear.
Mkuu, hivi kinacho ua ndoa nyingi nyakati hizi ni nini?.Mkuu kumbuka hao wadada wa kazi watakuwa ni wamama wa nyumbani tu, hawawasaidii kutafuta pesa wala kuhudumia familia, watakuwa wanawategemea waume zao kiuchumi
Mimi nazungumzia wale wanawake ambao, mnataka wawasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia, na bado mnataka wafanye majukumu ya nyumbani kama wadada wa kazi hilo ni gumu sana
Hoja yangu ni kwamba lazima mchague kimoja mpoteze kimoja hamuwezi kupata vyote, ni either uoe mama wa nyumbani ambaye atafanya majukumu ya nyumbani ila atakuwa tegemezi kwako kiuchumi, au uoe mfanyakazi au mfanyabiashara ambaye hatafanya majukumu ya nyumbani lakini atakusaidia kuhudumia familia na hatakuwa tegemezi kwako kiuchumi
Ndoa tamu wewe usiskie.Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri yake.
Ndoa za Watanzania wengi ni Sawa na Jehenamu kunyimana unyumba na tafrani zote.
Siku nilikuwa mediator ingawa sipendi kabisa kusuruhisha matatizo ya ndoa, findings zangu na ushauri wangu ni huu.
1. Kuoa au kuolewa siyo Jambo la lazima zingatia hili, Mimi nina ndoa lakini sikushauri kuingia kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini.
2. Kuna swala la ulevi Kwa ujumla, hili nimeona linaleta shida Sana kwenye ndoa, wote mmekutana kwenye pombe baadaye unamkataza mwenza wako asinywe pombe, jitafakari Sana hapo.
3. Hili ni tatizo, linawahusu wanawake wote, kumekuwa na tabia ya wanawake kutaka kuwarusha stage za ujuwaji waume zao, kumbe binadamu NI lazima apite hizo stage ili ajuwe mema na mabaya.
Kijana wa miaka 28 mpaka 40 unataka Aishi kama mtu wa miaka 50 kisa amekuwa wewe dada Hilo haiwezekani na likiwezekana elewa umetolewa na zezeta
Solution: Kwenye kupata wenzake , kila mtu ajitahidi kupata choice na quality zake, ukitaka mcha Mungu tegesha makanisani huko nako si kwamba Wana ucha Mungu wowote.
Point hapa vile umemkuta mwenzao wako bila kuangalia tako au uhandsome wake au pesa zake, elewa hivyo ndivyo alivyo usitalajie kwamba wewe utambadirisha, shida kubwa ya ndoa nyingi kuwa ICU ukichunguza Kwa makini utagunduwa tu kuna mwanandia mmoja anaamini yeye ndio mwenye akili mwenzake Hana akili.
Tutaendelea kwenye comment session.View attachment 2973331
A whole husband and multiple kids.....Kwa kujibu hivi tuu kama wewe ni mwanamke, na una mume, mume wako anakaI kubwa saana. Jamaa yetu anatabu saana katika fungu alilochagua juu yako.
A whole husband and multiple kids.....
And he is not inscure and stupid, he minds his business and do what real men do
Ndezi kama nyie ndo mnafifisha taasisi ya ndoa kipindi ambacho inabidi ipambaniwe watu wawe motivated kujenga familia bora
Jamii iliyostaaribika inaanzia kwa familia, na siku hizi watu hawataki hekaheka kama mwenza haeleweki ni talaka, mnaona maisha ya talaka rahisi rahisi ni sifa??????????
Ndezi ni wewe unayeshindwa kusoma kwa ufahamu unakurupuka na kushindwa kudiscuss maada unaleta kelele na makasiriko yasio na msingi wowote. Jifunze kusoma kwa ufahamu. Utajifunza kujibu kwa ufahamu.A whole husband and multiple kids.....
And he is not inscure and stupid, he minds his business and do what real men do
Ndezi kama nyie ndo mnafifisha taasisi ya ndoa kipindi ambacho inabidi ipambaniwe watu wawe motivated kujenga familia bora
Jamii iliyostaaribika inaanzia kwa familia, na siku hizi watu hawataki hekaheka kama mwenza haeleweki ni talaka, mnaona maisha ya talaka rahisi rahisi ni sifa???????????