Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hili halihusiani na hii madaUmeolewa?
Dooh ndoa zenyewe ndio hizi ambazo watu wasipokuwa nazo mnawasema, sasa hiyo nayo ni ndoa au drama, bro hata mimi mwenyewe pamoja na misimamo yangu ila siwezi kuwa kama mkeo..pole sana!!Mimi nilishaachanaga na hiz habar zenu. Nilishaachaga kuongea ongea so ni yeye tu, akijisikia kupika sawa, asipojisikia sawa. Akijisikia kufua sawa asipojisikia okay, akijisikia kuamka saa 5 asbh weekend sawa au akiishia kulala siku nzuma ni yeye tu, akijisikua kutoka out ni yeye, yan nilishaachaga kuzozana vitu vya kijinga wakat naweza kuji take care mwenyewe binafsi, so yf mimi yupo tu kama mpangaji mwenzangu home. She is free to wharever she wants, tunaweza kaa the whole weekend kimya tuuu bila kuzungumza kila mtu na biznez zake. Nitasafir kwenda mkoa kikaz (napenda kusafir usiku) ,nitafika nakokwenda na kurudi home no contact no nothing.
Kitu cha msingi sana kwa mwanaume, saana, just make u have money most of time if not always ili uweze kwenda popote na kufanya chochote muda wowote. Vinginevyo, mwanamje anaweza akakuua kwa msongo wa mawazo.
Lakini cha ajabu kuna wanawake wana misimamo mikali kuliko hii yangu ila wameolewa, ndipo mnaponifurahishaga hapo ninyi wanaume wa kiafrika mikwara miiingi, oo hatuoi wanawake wa hivi tunaoa wa vile tu ila kila siku ndoa zinafungwa na wanaolewa mpaka makahaba wastaafuHawez olewa mtu kama huyu
Dooh nilikuwaga nakuona angalau zimo kumbe nawe ndio wale wale tu, hizi kauli zenu za kujifariji tumeshazizoea humu, yani kila mwanamke anayewakosoa basi amezalishwa ameachwa..pathetic!!Mwandiko wake Unaonesha hajaolewa Ila Ana mtoto/watoto
Ameumizwa ,ameachwa na aliyemtegemea so she hate gunuine love but she love sex to satisfied her body
Nyie endeleeni kujifariji tu ila spana ziko pale pale, kuna watu wananifahamu vizuri nje ya jf na wakisoma hizi kauli zenu za kujifariji wataishia kushangaa au kucheka, ukweli tutawaambia tu hata kama hamtaki kuusikiaSikupingi mkuu
Yani unajibu kwa kujiamini kabisa kama unanijua vile, hii ndio jf asee, anyway hii huwa ni ishara ya kushindwa hoja tuKabisa mkuu umelenga mulemule