Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hapana mimi kama mzoefu wa kujadiliana na wanaume, kwenye mada za aina hii humu jf, nachelea kusema hizi ni tabia za wanaume karibu wote wa humuSasa hizo si ni personal weaknes za watu binafsi Jadda.
Yani akikuta comment yako imewakosoa wanaume utasikia kauli kama "wewe unaonekana umezalishwa kisha umeachwa", au "nampa pole mumeo kwa kuoa malaya kama wewe", ila wakikuta comment imewasifia utasikia kauli kama "hongera mkuu wewe unaonekana ni mke mwema", au "hongera mumeo ana bahati au kama hujaolewa basi naomba nikuoe mimi", na kauli nyingine za kufanana na hizo yani kwa kifupi huwa hawachezi mbali na hapo utafikiri wanaambizanaga yani
Lakini binafsi kauli kama hizo hasa hizo negative, huwa nazichukulia kama defensive mechanism baada ya kuona wameshindwa hoja, hivyo wanaamua kutafuta faraja kupitia njia hiyo ili ujione huna cha maana ulichoandika mimi nilishawashtukia