Hata uepuke kiasi gani au umfuatilie kiasi gani Peo Janabi katika kula UTAKUFA tu. Utaogopa kufa kwa hizo Non Communicable Disease lakini utakufa kwa maradhi yatikanayo na lishe duni!!
Kwani kwa akili yako unavyomuona Prof Janabi unadhani ni mzima? Muangalie alivyonyauka, kakondeana mgonjwa wa utopia mlo, uso mweusi kama ngozi ya goti. Huyu Janabi akienda coco Beach hawezi kuachwa na ule upepo wa bahari.
Haya maisha mafupi, unatafuta hela bado huwezi kula vizuri kisa unaogopa kupata hypertension au diabetes, kwani unataka kuishi miaka mingapi? Maana nayo kuishi miaka mingi kama akina Musuguri au Charles Njonjo (RIP) nayo ni changamoto kubwa.