Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

Huyu ni janabi mwenyewe kaja kuchamba JF kwani serikali pesa ya matibabu ya wananchi inatoa mfukoni si kodi za wananchi wenyewe...kinakuuma nini?
Hata kama ni Janabi unapaswa kumsikiliza kwa manufaa ya afya yako. Kwanini hutaki kusikiliza ushauri wa wataalamu?
 
Kinachotakiwa sio kuacha kula bali ni kula kistaarabu. Kama unashindwa kula kistaarabu, unachokitafuta utakipata. Subiri serikali ianzishe tozo kwa wanene, huo uzito uliopindukia utaupunguza mwenyewe bila shuruti.
Maisha ni kupanga na kuchagua.Huwezi mlazimisha tembo afanane na Swala.
 
Wewe endelea kupuuza. Unachokitafuta utakipata. Na tozo kwa wanene inakuja. Mtapigwa tozo hadi akili ziwakae sawa.
Tozo zipelekwe kwenye nyumba za ibada.Tuachwe tuyaishi tuliyoyachagua.
 
Kweli watu wanahitaji elimu sana kwenye lishe bora, siku hizi vyakula vingi tunavyotumia sio balanced diet.

Mijini imekuwa fashion siku hizi kuku wa kukaanga na mishikazi ya kukaanga na chips mafuta yanayotumika pamoja na kuwa low quality yanakuwa overused mpaka yanakuwa meusi sana.

Haina ya chakula hii na zege kwa afya ya moyo na mishipa ya damu ni vibaya sana na wengi wanatumia kila siku.

Tunatengeneza taifa la vijana ambao wanapata magonjwa yasiyoambukiza na ghali sana kuyatibu.

Bado tuna vyakula vya asili vingi tu lakini elimu ya chakula bora wengi hawana kabisa.

Wadau husika inabidi wastage intervention mapema kabla hali haijawa mbaya sana.
 
Tumia chart hii inayoonyesha uhusiano kati ya uzito (y-axis) na urefu (x-axis) kujua BMI yako inakoangukia ili kujifanyia tathmnini binafsi:
1704282594733.png
 
Maisha ni kupanga na kuchagua.Huwezi mlazimisha tembo afanane na Swala.
Mkuu mfano wako hausadifu mada husika. Hapa tunaongelea species moja tu ya binadamu. Mfano wako ungefaa kama ungehusisha tembo kwa tembo au swala kwa swala.
 
Ujinga ni kumsikiliza huyo Janabi.Kila mtu aishi maisha yake,siku ikifika utaondoka hakuna namna.Kinachopatikana katika mazingira Yako na unakimudu kuleni tu.Mambo mengine ni ya kupuuza.
Tatizo ni kununua maradhi kwa pesa zako mwenyewe !!
 
Mkuu mfano wako hausadifu mada husika. Hapa tunaongelea species moja tu ya binadamu. Mfano wako ungefaa kama ungehusisha tembo kwa tembo au swala kwa swala.
Mkuu nireply namna ulivyowapiga Mabonge nyundo.
 
watu wapeni alternative Mimi napenda kula ,ndio maana napiga mazoezi ; baada ya kutoka gym kutoka saa 11-1 Asb masaa mawili ya CARDIO, nimepiga supu kuku chapati 2,juic ya Beatrude &Apple ,Na maji Lita Moja na nusu. Nikitoka kazini napitiliza gym ,nikitoka tu napiga kapilau mbuzi na yorghat strawberry flavour na maji lita Moja,niliweka oda mchana , maana mchana nakula matunda tu. Wale tunaopenda kula tufanye mazoezi .
Nakushukuru kwa kuweka hizi inputs mkuu. Walafi watakusikia na kufuata ushauri wako.
 
Hizo tozo kwa watu wanene zitaibua tatizo jingine tena.

Kwani mafisadi yatazipiga na kuendelea kunenepeana kama viboko.
 
watu wapeni alternative Mimi napenda kula ,ndio maana napiga mazoezi ; baada ya kutoka gym kutoka saa 11-1 Asb masaa mawili ya CARDIO, nimepiga supu kuku chapati 2,juic ya Beatrude &Apple ,Na maji Lita Moja na nusu. Nikitoka kazini napitiliza gym ,nikitoka tu napiga kapilau mbuzi na yorghat strawberry flavour na maji lita Moja,niliweka oda mchana , maana mchana nakula matunda tu. Wale tunaopenda kula tufanye mazoezi .
Kila mtu anapenda kula ila tatizo sio kula bali KULA Sana mtu ambaye hafanyi kazi ngumu !
Na pia hafanyi mazoezi ya nguvu !!
 
Naamini 95% hawatakuelewa kwa ujinga wao na watajifanya wanaelewa sana na wataleta hoja za kijinga mradi wakupinge na kujifanya wao wanajuwa kumbe hawajuwi.

Niliwahi kuandika hivi kuhusu Watanzania:

Faiza wewe uko na flat tummy??
 
Bibi mbona kwenye imagination zangu wewe ni kibonge unamashavu dodo mguu wa bia imekuaje Tena???[emoji848]

Usinambie na wewe ni modo kimbaumbau [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli haya majimama manene yenye vitambi ni shughuli pevu kupakua mizinga yao. Style zote zinagoma, unaweza kuairisha mechi kutokana na kutokukunjika kunako majamboz. Bora wanawake wasio wanene unakunja utakavyo na mechi inachezwa vizuri
 
Back
Top Bottom