UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

Tanzania hamna pisi 😹njoo Kenya Nairobi dadek
Tanzania ipi kiongozi?
Nairobi kwa Dsm wanaachwa mbali sana, manzi wa Kenya labda kuongea kiingereza na ujuaji, madem wa Kenya hadi akiona subaru inapita anakuambia hio wheel number ni 18 inch..
Manzi anajua hadi oil ya gari 5W30..

Rwanda ndio hamna, nchi nzima wanawake wanafanana utasema ugali, wote komwe, shingo ndefu, sura nyembamba utasema wamezaliwa na mama mmoja...

Tz ukipita kanda ya ziwa kuna wanawake design flani, ukifika kaskazini huko Arusha n.k wapo tofauti, ukienda huko Singidani, Dodoma, Tabora kila eneo noi tofauti...

Tz kuna kila aina ya wanawake, wenye makalio, wenye rangi, wenye sura, wenye hips halafu jamii tofauti...
 
Ngoja tuone
 
Leta picha ya manzi wako nihakikishe
 
UONGO labda kama ulimuomba kazi
 
ktk sehemu niliyoishi sana DAR, basi ni sinza. nimekaa sana
$INZA MADUKANI
kwa miaka 12 mfululizo. nilichokiona pale ni balaa bluu, sitasahau. japo kino jambo ni lile lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…