and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Tanzania ipi kiongozi?Tanzania hamna pisi 😹njoo Kenya Nairobi dadek
Nairobi kwa Dsm wanaachwa mbali sana, manzi wa Kenya labda kuongea kiingereza na ujuaji, madem wa Kenya hadi akiona subaru inapita anakuambia hio wheel number ni 18 inch..
Manzi anajua hadi oil ya gari 5W30..
Rwanda ndio hamna, nchi nzima wanawake wanafanana utasema ugali, wote komwe, shingo ndefu, sura nyembamba utasema wamezaliwa na mama mmoja...
Tz ukipita kanda ya ziwa kuna wanawake design flani, ukifika kaskazini huko Arusha n.k wapo tofauti, ukienda huko Singidani, Dodoma, Tabora kila eneo noi tofauti...
Tz kuna kila aina ya wanawake, wenye makalio, wenye rangi, wenye sura, wenye hips halafu jamii tofauti...