Wenyeji wa Dar ni wazaramo na wandengereko,Arusha ni Wameru,Waarusha na Wamasai kama wewe wakuja katika mikoa hiyo angalia kwenye list mkoa wako unakotoka upo au haupo.Acha kujishikiza kwenye mikoa ya wenzako.Ila kumbuka dsm n tanzania,kwahyo mikoa yote iko hapo,mi naona ungeitoa kwenye list........aisee arusha noma watoto wazuri mpaka bar sasa hao wa geti kali sijui wakoje,lazima nioe demu wa bar toka arusha.....lakin arusha nayo n kama dsm inawatoto kutoka kilimanjaro na manyara
Kasoro miguu tu...Uchagani eee
Mi n mchanganyiko wa kigoma na burundiWenyeji wa Dar ni wazaramo na wandengereko,Arusha ni Wameru,Waarusha na Wamasai kama wewe wakuja katika mikoa hiyo angalia kwenye list mkoa wako unakotoka upo au haupo.Acha kujishikiza kwenye mikoa ya wenzako.
Hata Kigoma aipombona chato haipo?
sawa mkuuMi n mchanganyiko wa kigoma na burundi
Mara Musoma kaioneaMleta uzi mbaguzi mikoa yenye watoto warembo weusi umeiminya.
Vijana wekezeni katika Urembo, mpira, mziki na uchezaji wa ngoma ili tufikie katika nchi ya viwandaDa naona nchi ya viwanda inakuja sasa
Mkuu acha uongo, Wanawake wa Mara si wazuri.Mimi mwenyewe nimekaa Mara miaka mitatu yaani hao madada zenu wanafanana na wanaume.
Mtafutien miwani mleta uzi labla ana tatizo la short sightedness! Zile defence zote mbeya hazioni? Simuongelei masogange ila mbeya wazuri bwana na miili kama magodoro la banco!Mbeya hamna?
Nimekwambia nimeishi miaka mitatu kama mtumishi wa umma na nimezaa na dada zako wa huko Mara.Ukweli huko kijijini/mkoani kwako Mara unaposhi madada zenu uzuri wao unatafuta kwa tochi.By the way sijazaliwa huko vijijini unapotaja.Watu wa hovyo ni hao watu wa Mara mimi kama Mdar es salam siwezi nikaiga tabia za watu wa kijijini(mwenyewe unaziona nzuri) hata kama ningekaa maisha ningebaki na tabia zangu.Acha uwongo Mkuu ungekaa Mkoa wa Mara usingekuwa wa ' hovyo hovyo ' kama hivi ulivyo. Watu mliozaliwa Kyaka Nkunde, Mbwinde na Ikupilipa Nkoba Villages ' mnajulikana ' tu.
Sasa ili umpate mwanamke lazima umjaribu kwa ku throw stones mkuu sasa si unajua raia wa chato hawajaribiwi naona ndio maana haipo mkuumbona chato haipo?
Nimekwambia nimeishi miaka mitatu kama mtumishi wa umma na nimezaa na dada zako wa huko Mara.Ukweli huko kijijini/mkoani kwako Mara unaposhi madada zenu uzuri wao unatafuta kwa tochi.By the way sijazaliwa huko vijijini unapotaja.Watu wa hovyo ni hao watu wa Mara mimi kama Mdar es salam siwezi nikaiga tabia za watu wa kijijini(mwenyewe unaziona nzuri) hata kama ningekaa maisha ningebaki na tabia zangu.
Definetly mimi mwanaume wa Dar.NImezaliwa,nimekulia na bado naishi Dar mkuu.Ila nilipoenda huko kwenu Mara nikazalisha. So anyway mie agwazi/mkwirima wako.Lazima uwe na heshimaAkhsante kwa kututhibitishia kuwa kumbe Wewe ni Mwanaume wa Dar Mkuu. Na bila shaka umezaliwa, umekulia na mpaka sasa unaishi hapo hapo kwa Wanaume wa Dar Magomeni Mapipa kwa Macheni. Mimi ni Mwanaume wa Kijijini bhana na siyo wa Dar.
Definetly mimi mwanaume wa Dar.NImezaliwa,nimekulia na bado naishi Dar mkuu.Ila nilipoenda huko kwenu Mara nikazalisha. So anyway mie agwazi/mkwirima wako.Lazima uwe na heshima
Kwamba machalii wanaongoza......utanii!!!!!.mi nadhani unamaanisha mkoa unaoongoza kwa wasichana kuwa Na homoni za kiumeHapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Na labda tuongezee tu kuwa nje ya kuwa na hizo Sura zao nzuri wa Arusha na Kilimanjaro ni ' Wezi ' wazuri tu, huku wa Manyara na Singida ni ' vichenchede ' tupu, wa Tanga, Pemba na Unguja ni ' Walozi / Vigagula ' wazuri tu, wakati wa Tabora na Dodoma ni ' walafi ' kupindukia na wa Dar ambao ni Wazaramo ni ' wachafu ' mno.
Binafsi nimetembea Mikoa mingi sana nchini Tanzania ila sijawahi kupata kuona Mkoa wenye Wanawake ' wazuri ' na ' warembo ' kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana hata siku hizi Wanaume wengi wanakimbilia sana kwenda kuoa Wanawake wa huko ( Mara ).