Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Ila kumbuka dsm n tanzania,kwahyo mikoa yote iko hapo,mi naona ungeitoa kwenye list........aisee arusha noma watoto wazuri mpaka bar sasa hao wa geti kali sijui wakoje,lazima nioe demu wa bar toka arusha.....lakin arusha nayo n kama dsm inawatoto kutoka kilimanjaro na manyara
Wenyeji wa Dar ni wazaramo na wandengereko,Arusha ni Wameru,Waarusha na Wamasai kama wewe wakuja katika mikoa hiyo angalia kwenye list mkoa wako unakotoka upo au haupo.Acha kujishikiza kwenye mikoa ya wenzako.
 
Mi n mchanganyiko wa kigoma na burundi
 
Umesahau Kigoma plus wahaya is equal to nyarwanda
 
Wapare Wamarangu Wairaque Warangi Wahaya Wamanyema Waha Wasukuma Wazigua Wabondei
 
Mkuu acha uongo, Wanawake wa Mara si wazuri.Mimi mwenyewe nimekaa Mara miaka mitatu yaani hao madada zenu wanafanana na wanaume.

Acha uwongo Mkuu ungekaa Mkoa wa Mara usingekuwa wa ' hovyo hovyo ' kama hivi ulivyo. Watu mliozaliwa Kyaka Nkunde, Mbwinde na Ikupilipa Nkoba Villages ' mnajulikana ' tu.
 
Acha uwongo Mkuu ungekaa Mkoa wa Mara usingekuwa wa ' hovyo hovyo ' kama hivi ulivyo. Watu mliozaliwa Kyaka Nkunde, Mbwinde na Ikupilipa Nkoba Villages ' mnajulikana ' tu.
Nimekwambia nimeishi miaka mitatu kama mtumishi wa umma na nimezaa na dada zako wa huko Mara.Ukweli huko kijijini/mkoani kwako Mara unaposhi madada zenu uzuri wao unatafuta kwa tochi.By the way sijazaliwa huko vijijini unapotaja.Watu wa hovyo ni hao watu wa Mara mimi kama Mdar es salam siwezi nikaiga tabia za watu wa kijijini(mwenyewe unaziona nzuri) hata kama ningekaa maisha ningebaki na tabia zangu.
 
Akhsante kwa kututhibitishia kuwa kumbe Wewe ni Mwanaume wa Dar Mkuu. Na bila shaka umezaliwa, umekulia na mpaka sasa unaishi hapo hapo kwa Wanaume wa Dar Magomeni Mapipa kwa Macheni. Mimi ni Mwanaume wa Kijijini bhana na siyo wa Dar.
 
Definetly mimi mwanaume wa Dar.NImezaliwa,nimekulia na bado naishi Dar mkuu.Ila nilipoenda huko kwenu Mara nikazalisha. So anyway mie agwazi/mkwirima wako.Lazima uwe na heshima
 
Definetly mimi mwanaume wa Dar.NImezaliwa,nimekulia na bado naishi Dar mkuu.Ila nilipoenda huko kwenu Mara nikazalisha. So anyway mie agwazi/mkwirima wako.Lazima uwe na heshima

Kwahiyo umezaa na Mwanamke mbaya? Ndege wafananao mabawa huruka pamoja!
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Kwamba machalii wanaongoza......utanii!!!!!.mi nadhani unamaanisha mkoa unaoongoza kwa wasichana kuwa Na homoni za kiume
 
Na labda tuongezee tu kuwa nje ya kuwa na hizo Sura zao nzuri wa Arusha na Kilimanjaro ni ' Wezi ' wazuri tu, huku wa Manyara na Singida ni ' vichenchede ' tupu, wa Tanga, Pemba na Unguja ni ' Walozi / Vigagula ' wazuri tu, wakati wa Tabora na Dodoma ni ' walafi ' kupindukia na wa Dar ambao ni Wazaramo ni ' wachafu ' mno.

Binafsi nimetembea Mikoa mingi sana nchini Tanzania ila sijawahi kupata kuona Mkoa wenye Wanawake ' wazuri ' na ' warembo ' kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana hata siku hizi Wanaume wengi wanakimbilia sana kwenda kuoa Wanawake wa huko ( Mara ).

Sio ukweli mimi naishi nao huku kwa uzuri wa sura big no wanawake wa Mara kwa shape na miguu wamebarikiwa. Ila sura hapana sio wazuri na hawajui kujiremba na kingine tabia ya umalaya wako so cheap..
 
Back
Top Bottom