Na labda tuongezee tu kuwa nje ya kuwa na hizo Sura zao nzuri wa Arusha na Kilimanjaro ni ' Wezi ' wazuri tu, huku wa Manyara na Singida ni ' vichenchede ' tupu, wa Tanga, Pemba na Unguja ni ' Walozi / Vigagula ' wazuri tu, wakati wa Tabora na Dodoma ni ' walafi ' kupindukia na wa Dar ambao ni Wazaramo ni ' wachafu ' mno.
Binafsi nimetembea Mikoa mingi sana nchini Tanzania ila sijawahi kupata kuona Mkoa wenye Wanawake ' wazuri ' na ' warembo ' kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana hata siku hizi Wanaume wengi wanakimbilia sana kwenda kuoa Wanawake wa huko ( Mara ).