Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
ila mara nyingi alichokisema nimeona kikitokea mtaani.emergency marriage
huwa kuna sababu nyingi sana mfano uumpe unexpected mimba sababu zipo nyingi ila ulichosema sio fact
yah ni kweli mara nyingi sanaila mara nyingi alichokisema nimeona kikitokea mtaani.
Kama umeelewa kuwa nimemaanisha uzuri upi wa waliokuwa wanatembea nao kabla ya ndoa, hakika na ubovu utakuwa umeelewa piaUbovu upi unaosema wewe wa kiakili.au muonekano?UTOTO RAHA SANA
Yeah ni sahihi piaVice versa is true pia kiongozi
Asante nimepata point hapoKwa upande wangu naona baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wabovu ili kuepusha na kuogopa kupata mume mwenza.
Kumbuka: "kizuri huliwa na wengi" (namaanisha ukipata mwanamke mzuri kwa physical appearance wakati kichwani hajitambui hapo lazima upigiwe)
pia wanawake wabovu ni wapambanaji sana kwenye mambo ya maendeleo ya familia. Yaani hawachagui kazi.
Ni Fact mkuu, tunaangalia percentage kubwa katika jamii ipoje. Fanya uchunguzi wako pia kidogo tu utagundua hilo. Although sababu ni nyingi pia kama hiyo unexpected mimba, uharaka wa maisha kuona umri unaenda, n.k lakini nadhani hizo sababu zinawasukuma watu tu automatically wanajikuta wameangukia hukoemergency marriage
huwa kuna sababu nyingi sana mfano uumpe unexpected mimba sababu zipo nyingi ila ulichosema sio fact
Mimi ni mmoja kati ya wajumbe wa hilo baraza, nimewaibia siri tuSitatia neno nasubiri baraza lipitie kwanza hii research nione na lenyewe linasemaje!View attachment 3079280
Tatizo watu mnapenda kuambiwa uongo tu kila wakati, sijamkejeli mtu. Kwahyo hoja yako ni kuwa hakuna mzuri na mbaya duniani wote ni wazuri kitu ambacho si kweli. Kuna watu ni wazuri na wabaya pia kwa sura hata matendo, lakini kutumia uzuri au ubaya huo kumkandamiza ndio kosa lakini kuuzungumzia uzuri na ubaya sioni kosa lolote ni tafsiri yako tu madamHivi hujajiumba halafu unapata wapi guys za kumuita binadamu mwenzio mbovu?
Wewe usiyeijua hata kesho yako?
Wewe usiyeijua hata kesho yako?