Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

Smooth Criminal

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
437
Reaction score
867
Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa?

Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu waishi hivyo, nadhan hata wenyew kuna muda wanakaa chini wanajiuliza imekuwaje nimeoa pisi mbovu hivi
 
Sitatia neno nasubiri baraza lipitie kwanza hii research nione na lenyewe linasemaje!
FB_IMG_1724242566969.jpg
 
emergency marriage
huwa kuna sababu nyingi sana mfano uumpe unexpected mimba sababu zipo nyingi ila ulichosema sio fact
 
Kwa upande wangu naona baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wabovu ili kuepusha na kuogopa kupata mume mwenza.

Kumbuka: "kizuri huliwa na wengi" (namaanisha ukipata mwanamke mzuri kwa physical appearance wakati kichwani hajitambui hapo lazima upigiwe)

pia wanawake wabovu ni wapambanaji sana kwenye mambo ya maendeleo ya familia. Yaani hawachagui kazi.
 
Asante nimepata point hapo
 
emergency marriage
huwa kuna sababu nyingi sana mfano uumpe unexpected mimba sababu zipo nyingi ila ulichosema sio fact
Ni Fact mkuu, tunaangalia percentage kubwa katika jamii ipoje. Fanya uchunguzi wako pia kidogo tu utagundua hilo. Although sababu ni nyingi pia kama hiyo unexpected mimba, uharaka wa maisha kuona umri unaenda, n.k lakini nadhani hizo sababu zinawasukuma watu tu automatically wanajikuta wameangukia huko
 
Hivi hujajiumba halafu unapata wapi guys za kumuita binadamu mwenzio mbovu?
Wewe usiyeijua hata kesho yako?
Tatizo watu mnapenda kuambiwa uongo tu kila wakati, sijamkejeli mtu. Kwahyo hoja yako ni kuwa hakuna mzuri na mbaya duniani wote ni wazuri kitu ambacho si kweli. Kuna watu ni wazuri na wabaya pia kwa sura hata matendo, lakini kutumia uzuri au ubaya huo kumkandamiza ndio kosa lakini kuuzungumzia uzuri na ubaya sioni kosa lolote ni tafsiri yako tu madam

NB: we ni mzurii 🤗😍
 
Back
Top Bottom