Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa?
Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu waishi hivyo, nadhan hata wenyew kuna muda wanakaa chini wanajiuliza imekuwaje nimeoa pisi mbovu hivi
Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu waishi hivyo, nadhan hata wenyew kuna muda wanakaa chini wanajiuliza imekuwaje nimeoa pisi mbovu hivi