Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

Siku zote wazee huwa wanaona maisha ni mazuri mi huwa siwaelewi au ndio walishakata tamaa au walisharidhika?
 
Huu ni utafiti na maoni muhimu sana.

Serikali makini natarajia kulichukua jambo hili kwa uzito mkubwa.

Utafiti umekuwa very comprehensive na kugusa nyanja muhimu za maisha.
 
Yaani watu wanakaa miaka miwili kukusanya data halafu wanaleta Ugolo mbele za watu,tatizo letu sisi waafrika ni Uongo ndio maana hatuendelei,Leo hii hata ukienda barabarani unaweza kuja na data za kueleweka na sio Ugolo huu wa twaweza, Twaweza wasifanye kazi ya kudanganya watawala, tukiendelea na data za kijinga za namna hii mwisho wa siku watu hawataamini Research tena, tujue namna ya kutenganisha ukweli na Uongo ili mwisho wa siku tusiangukie pabaya.
 
Naona gharama za maisha kupanda zimekuwa changamoto kubwa sana hasa kwa wananchi wenye kipato cha chini na kisichoeleweka. Serikali ina cha kujifunza kupitia takwimu hizi. Uvumilivu una mwisho.
Serikali haiwezi kujifunza ndio maana imewaleta hawa wajinga ili wawe wanapika data.
 
Watu 30,000 kwenye taifa lilo na idadi mkisio wa watu millioni 60 hu utafiti kwangu bado ni batiri hauna majibu sahihi kwa matatizo ya wananchi
... ulitaka coverage iwe 60 million people? Hiyo sio sampling bali ni census.
 
Bei ya petroli ni 3410 leo. Matatizo mengi yalianzia hapa kwenye kupanda kwa mafuta
 
Watu wanataka tozo ila tuu zipunguzwe,Chadomo wameumbuliwa na utafiti..

Kiufupi hakuna ajenda Chadomo huwa wanafaulu 😆😆
 
Wewe umeshawahi kukutana nao au Kuja nyumbani kwako kukuhoji hao Twaweza?
 
Je, ingekuwaje kama utafiti wenu ungeonyesha kuwa 90% wanwatanzania hawapendi tozo kwenye miamala:

Je, matokeo ya utafiti wenu mngeyatoa hadharani? msingekamatwa?

je, ni kweli watanzania hawana manung'uniko na tozo kwenye miamala?
 
Twawaweza company Ltd
 
Twaweza bila shaka waliharibiwa na yaliyowakuta awamu Ile?Sasa mko salama kazi iendeleee pasi zenu wote ziko salama🏃🏃🏃🤸
 
Je, ingekuwaje kama utafiti wenu ungeonyesha kuwa 90% wanwatanzania hawapendi tozo kwenye miamala:

Je, matokeo ya utafiti wenu mngeyatoa hadharani? msingekamatwa?

je, ni kweli watanzania hawana manung'uniko na tozo kwenye miamala?
Mjamaa alishanyang'anyagwa passport na kuambiwa sio raia na utawala wa jiwe, ndio maana sasa ameamua kuja na gia ya kujikomba. PUMBAVU ZAKE
 
Back
Top Bottom