Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
TISS muichambue hii ripoti. Sio kuvizia watu ili muwateke tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali haiwezi kujifunza ndio maana imewaleta hawa wajinga ili wawe wanapika data.Naona gharama za maisha kupanda zimekuwa changamoto kubwa sana hasa kwa wananchi wenye kipato cha chini na kisichoeleweka. Serikali ina cha kujifunza kupitia takwimu hizi. Uvumilivu una mwisho.
... ulitaka coverage iwe 60 million people? Hiyo sio sampling bali ni census.Watu 30,000 kwenye taifa lilo na idadi mkisio wa watu millioni 60 hu utafiti kwangu bado ni batiri hauna majibu sahihi kwa matatizo ya wananchi
Wenye IQ ndogo kama yako ndio huwa wanatukana.Watu wanataka tozo ila tuu zipunguzwe,Chadomo wameumbuliwa na utafiti..
Kiufupi hakuna ajenda Chadomo huwa wanafaulu 😆😆
Ni REDET siyo REPOA ya kina Professor WangweRepoa ya Mkandalla
Twawaweza company LtdJe, ingekuwaje kama utafiti wenu ungeonyesha kuwa 90% wanwatanzania hawapendi tozo kwenye miamala:
Je, matokeo ya utafiti wenu mngeyatoa hadharani? msingekamatwa?
je, ni kweli watanzania hawana manung'uniko na tozo kwenye miamala?
Twaweza bila shaka waliharibiwa na yaliyowakuta awamu Ile?Sasa mko salama kazi iendeleee pasi zenu wote ziko salama🏃🏃🏃🤸Je, ingekuwaje kama utafiti wenu ungeonyesha kuwa 90% wanwatanzania hawapendi tozo kwenye miamala:
Je, matokeo ya utafiti wenu mngeyatoa hadharani? msingekamatwa?
je, ni kweli watanzania hawana manung'uniko na tozo kwenye miamala?
Mjamaa alishanyang'anyagwa passport na kuambiwa sio raia na utawala wa jiwe, ndio maana sasa ameamua kuja na gia ya kujikomba. PUMBAVU ZAKEJe, ingekuwaje kama utafiti wenu ungeonyesha kuwa 90% wanwatanzania hawapendi tozo kwenye miamala:
Je, matokeo ya utafiti wenu mngeyatoa hadharani? msingekamatwa?
je, ni kweli watanzania hawana manung'uniko na tozo kwenye miamala?