Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaMkuu, umesema kweli.
Pia nimegundua, people can easily fall in love with 'avatar' , hahahah
hahaaa hahaaaa alikupiga kibuti baada ya kumwambia kuwa wewe ni mkulima ""?? ..daaah Jf kuna visa wallahMKUU NILITENDWA NA MSICHANA NILIYEMPENDA(KWA UFUPI)
Utamu wa LIKE haujawahi kuwa sana na utamu wa BAN. Hebu ambia mod mmoja anitwange ban fasta nitulie zangu na mamsap wanguNimegundua likes tamu
hakikaNimegundua humu unaweza kujibizana hata na mkuu wa nchi bila kujua[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamu wa LIKE haujawahi kuwa sana na utamu wa BAN. Hebu ambia mod mmoja anitwange ban fasta nitulie zangu na mamsap wangu
Haaahaaahaaa uwiii....kujikuta kama kaona alien huko mtaani!Kweli kabisa ndo maana wakionana huko mtaani mbio kuanzisha uzi JF kama kaona maaajabu ya 7 ya dunia
Haaahaaa....numbi unaniacha hoi[emoji23] ....utafikiri nao wazuri sasa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wale wa picha za kuchora,wazuriiii hawana hata kovu la ndui
Haaahaaa....numbi unaniacha hoi[emoji23] ....utafikiri nao wazuri sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa...kwani mods hawana dyudyu?Nimegundua mahusiano ya mods mmoja na memba mmoja humu ndani
a e i o u
Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
Kama wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimegundua memba wa JF wote wana magari, nyumba, simu za Iphone, madem wakali, kila mtu ana degree na kila sifa nzuri.
Jf kibokoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi sipo haya
Hahaha
Hao watu ni nuksiMwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu