Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

[emoji124][emoji124][emoji124] eti mamsapu ila wewe babu kijana
443c5e8e78f24bb8617baf23c8a13cd8.jpg

Utamu wa LIKE haujawahi kuwa sana na utamu wa BAN. Hebu ambia mod mmoja anitwange ban fasta nitulie zangu na mamsap wangu
 
Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
 
Nimegundua kuwa watumiaji wengi wa JF ni watu wazima
wengi wameoa, kuolewa
Pia nimegundua mtumiaji yeyote wa JF hukaa sehem tulivu akiwa JF pia humu JF kuna watu wanapesa mnooo ...
 
Back
Top Bottom