Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

Na baadaye ata evolve kutiwa yeye.

Swala si evolutionary ways?
 
Wanaume wenye akili kubwa wakati mwingine hawanaga wanawake kabisa. Mfano wanasayansi wakubwa na wagunduzi.

Kama akili kubwa inaambatana na uhaba wa sex basi na iwe hivyo tu, hakuna namna zaidi ya kuwa na akili ndogo. Binadamu hatuwezi kufanana.
 
Mwanaume mwenye akili kubwa anatafuta partner sahihi mwenye sifa anazozitaka na kutuliza nae. Mwanaume mwenye akili ndogo anaoa sura kisha anachepuka kufuata rangi, anachepukia tena msambwanda, cowbell, umaarufu, mafanikio n.k.

Kuchepuka ni inevitable mama, haijalishi akili gani anayo mwanaume...iwe ndogo au kubwa, lazima kuna siku tu atachepuka, uzuri ni kuwa anamkumbuka mamsap na kurudi nyumbani...hatuna tabia ya kutekeleza familia, that's the good thing about men!!
 
Tafiti wanafanyiwa wa ulaya, Marekani na Asia halafu mnataka zije kutumiwa na huku ngoja kwanza niisome hiyo inglish nikimaliza nitachangia
 
Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa

Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science.

Mwanasaikolojia huyo anasema kadri mwanaume anavyokuwa Smart(makini) na mwenye akili kubwa ndivyo uwezekano wa yeye kuchepuka unavyokuwa mdogo. Mwanaume mwenye akili kubwa huwa ni nadra kumsaliti mpenzi wake.

==========

London: Deceitful and despicable is one description that wronged wives could apply to their cheating husbands.
Plain stupid is another. For scientists have concluded that men who sleep around are likely to have lower IQs.

It is a finding likely to prove of interest to Cheryl Cole as she contemplates her errant partner Ashley's unfaithful ways.
Dr Satoshi Kanazawa, an evolutionary psychologist from the London School of Economics and Political Science, said the smarter a man is, the less likely he is to cheat on his partner.

His theory is based on the assertion that through evolutionary history, men have always been "mildly polygamous".
That has changed today, however, and Dr Kanazawa explained that entering a sexually exclusive relationship is an "evolutionarily novel" development for them.

According to his theory, intelligent people are more likely to adopt what in evolutionary terms are new practices — to become "more evolved". Therefore, in the case of fidelity, men who cannot adapt and end up succumbing to temptation and cheating are likely to be more stupid.

"The theory predicts that more intelligent men are more likely to value sexual exclusivity than less intelligent men," he explained.
According to his theory, the link between fidelity and intelligence does not apply to women because they have always been expected to be faithful to one mate — even in polygamous societies.

Dr Kanazawa's research, in the journal Social Psychology Quarterly, also claims that intelligent people are less likely to believe in God or hold conservative views.

Primitive
Analysing the American National Longitudinal Study of Adolescent Health, he found young adults who regarded themselves as "very liberal" had an average IQ of 106, while those who saw themselves as "very conservative" had an average IQ of 95.
Dr Kanazawa's theory holds that selfinterested-conservative attitudes are primitive in evolutionary terms, while selfless, liberal views are more advanced and linked with intelligence.

Similarly, those who identified themselves as "not at all religious" had an average IQ of 103, while those who saw themselves "very religious" had an average IQ of 97.

According to Dr Kanazawa, that is down to people who are smarter being more open to new ideas.
"Humans are evolutionarily designed to be paranoid...

"This innate bias towards paranoia served humans well when self-preservation and protection of their families and clans depended on extreme vigilance to all potential dangers. So, more intelligent children are likely to grow up to go against their natural evolutionary tendency to believe in God and they become atheists."

Eti wanaume hii ni kweli hii?
Suleimani mwana wa Daudi naye alikuwa na IQ ndogo au hii inatumiwa kwa karne ya 21 tu
 
Mwanaume mwenye akili kubwa anatafuta partner sahihi mwenye sifa anazozitaka na kutuliza nae. Mwanaume mwenye akili ndogo anaoa sura kisha anachepuka kufuata rangi, anachepukia tena msambwanda, cowbell, umaarufu, mafanikio n.k.
Eto cowbell hahahaha wee nae una misemo. Ila cowbell muhimu sana kwa mwanamke kuwa nayo🤣🤣🤣🤣
 
Kuchepuka ni inevitable mama, haijalishi akili gani anayo mwanaume...iwe ndogo au kubwa, lazima kuna siku tu atachepuka, uzuri ni kuwa anamkumbuka mamsap na kurudi nyumbani...hatuna tabia ya kutekeleza familia, that's the good thing about men!!

Ndivyo ilivyoandikwa hata kwenye Maandiko Matakatifu.

Mithali 6:32
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cowbell ni majaliwa jamani sio kila mtu ana hizo size
Msitufanye tukafanye surgery za kuongeza tufe buree🤣🤣😃
Uzuri duniani kila mtu na taste yake. Wakina mzabzab tunapenda cowbell tuminyininye kama juicy juicy mangoes wakati wengine wanapenda tuu mosquitoe bites🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mithali 6:32
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na mwanamke inakuwaje? Hamna andiko la mwanamke anayezini?
 
Mithali 6:32
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ibrahim baba wa imani hana akili kabisa, je mimi nisiye na imani nitakuwaje! Maisha mafupi haya jamani!!
 
Suleimani mwana wa Daudi naye alikuwa na IQ ndogo au hii inatumiwa kwa karne ya 21 tu

Ungekua unayajua ya baba yake Suleiman kwa uzuri, ukajua vita alizopigana, ukajua kwanini Suleiman alichaguliwa kwenye nafasi ile na nini alitakiwa kukamilisha wala usingehangaika kumlingani wala kumtumia kwenye hili bandiko

Ukweli ni ule ule kwamba "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." - Mithali 6:32
 
Mwanaume mwenye akili kubwa anatafuta partner sahihi mwenye sifa anazozitaka na kutuliza nae. Mwanaume mwenye akili ndogo anaoa sura kisha anachepuka kufuata rangi, anachepukia tena msambwanda, cowbell, umaarufu, mafanikio n.k.
Kwani Clinton (aliyekuwa rais wa Marekani) anasemaje kuhusu hili..🤔
 
Na mwanamke inakuwaje? Hamna andiko la mwanamke anayezini?

Muishi nao kwa akili ili wasizini😂😂😂

1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe

Waefeso 5: 25 - 29
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
 
Ungekua unayajua maandiko ukamjua baba yake Suleiman kwa uzuri, ukajua vita alizopigana, ukajua kwanini Suleiman alichaguliwa kwenye nafasi ile na nini alitakiwa kukamilisha wala usingehangaika kumlingani wala kumtumia kwenye hili bandiko

Ukweli ni ule ule kwamba "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." - Mithali 6:32
Tatizo lako wewe ni ubishi halafu huwezagi kujibu kwa hoja
 
Tatizo lako wewe ni ubishi halafu huwezagi kujibu kwa hoja

Sasa nimebisha wapi!?
Tunapolinganisha vitu huwa tunalinganisha vitu vinavyofanana. Ndio maana huijawahi tokea habari ya kumlinganisha mbio za simba na kobe
 
Muishi nao kwa akili ili wasizini😂😂😂

1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe

Waefeso 5: 25 - 29
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
Ah haya tunayajua. Mie nataka consequence ya mwanamke kuzini maana mwanaume inasemakana ni mjinga. Je mwanake akizini nae ni mjinga au ni zaidi ya mjinga?
 
Back
Top Bottom