DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Jamaa alikua na michepuko 300[emoji1]Suleimani mwana wa Daudi naye alikuwa na IQ ndogo au hii inatumiwa kwa karne ya 21 tu
afu mungu bado akamjali hekima na MAARIFA (IQ)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikua na michepuko 300[emoji1]Suleimani mwana wa Daudi naye alikuwa na IQ ndogo au hii inatumiwa kwa karne ya 21 tu
Ha ha ....Uzuri duniani kila mtu na taste yake. Wakina mzabzab tunapenda cowbell tuminyininye kama juicy juicy mangoes wakati wengine wanapenda tuu mosquitoe bites[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu bado mama D muongo muongo anatuletea hapa tafiti za kubumba na za michongoJamaa alikua na michepuko 300[emoji1]
afu mungu bado akamjali hekima na MAARIFA (IQ)
Watajitetea mwanamke haesabiwi kwenye biblia[emoji1]Na mwanamke inakuwaje? Hamna andiko la mwanamke anayezini?
Kuna watu wanapingana na baba wa imani, ibrahimuIbrahim baba wa imani hana akili kabisa, je mimi nisiye na imani nitakuwaje! Maisha mafupi haya jamani!!
Tafiti za mchongo hizi[emoji1]Halafu bado mama D muongo muongo anatuletea hapa tafiti za kubumba na za michongo
Ah haya tunayajua. Mie nataka consequence ya mwanamke kuzini maana mwanaume inasemakana ni mjinga. Je mwanake akizini nae ni mjinga au ni zaidi ya mjinga?
Ibrahim baba wa imani hana akili kabisa, je mimi nisiye na imani nitakuwaje! Maisha mafupi haya jamani!!
Kuna watu wanapingana na baba wa imani, ibrahimu
Wewe kama wewe utakubali mumeo achepuke au akuletee mke mwenzaMbona hamsemi maumivu aliyoyapata Ibrahimu alipozini? Hamsemi mabaya ya ile zinaa ila mnashangilia zinaa
Imagine Ibrahimu amechepuka sababu hukuwa na mtoto na huko kwenye uchepukaji wake ulipopata mtoto tuu, Mungu nae akampa mke wako mtoto na akaja na amri kwamba huyo mtoto wa mchepuko hatorithi chochote pamoja na mtoto wa mke wake.
Mwanzo 21: 10 "Kwa hiyo Mungu akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka."
Sembuse sisi tunachepuka kujifurahisha miili yetu tutapona kweli[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tuombe tuu rehema za Mungu kwenye hili na ndio maana tuliambiwa "Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu." Marko 14:38
Siwezi kukubali maana makubaliano yetu Toka awali yalilikataa hilo.Wewe kama wewe utakubali mumeo achepuke au akuletee mke mwenza
Njoo tushirikiane tufungue kanisa basi kwenye sadaka ww utakula 55% mimi nitakula 45% eneo ninaloSiwezi kukubali maana makubaliano yetu Toka awali yalilikataa hilo.
Hata Sara alilikataa hilo mke mwenza na Mungu akamwambia Ibrahim mke wake Yuko sahihi
MLANGO 21:5-12
Naye Ibrahimu alikuwa mtu wa miaka mia, alipozaliwa mwana wake Isaka.
Sara akasema, Mungu amenifanyia kicheko; kila asikiaye atacheka pamoja nami.
Akasema, N'nani angemwambia Ibrahimu, Sara atanyonyesha wana? Maana nimemzalia mwana katika uzee wake.
Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya; Ibrahimu akafanya karamu kuu siku ile Isaka alipoachishwa kunyonya.
Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.
Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe.
Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa
Njoo tushirikiane tufungue kanisa basi kwenye sadaka ww utakula 55% mimi nitakula 45% eneo ninalo