Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
Leo mkuu umeyabananga.
Sikuwahi kukupinga ila leo HAPANA HAPANA HAPANA.
 
Kenge wewe.
 
Darasa la saba unawezaje kufanya utafiti.?.
 
Maafisa data wanakuangalia wanachekea chooni, naona hamna aliyejisumbua kukuuliza maswali ya msingi, kwa hii GIGO yako uliyoifanya.

Ukiona mada yako huulizwi maswali ya msingi, haupingwi kwa hoja jua watu wamekuignore, hawaoni sababu ya kutumia nguvu kubwa kwenye jambo lisilo la msingi.
 
Mkuu sifa ya research ni kuondoa utata wa jambo unalokusudia kuliwakilisha, tumekuuliza umepimaje akili? Umeendelea na stori tu tangu page ya kwanza. Unatakiwa kutoa definition ya akili timamu kwa vigezo vya utafiti wako! Unaposema akili timamu unamaanisha nini researcher? Is it IQ? Psychometric tests results? GPA? au kadi ya chama? Ulipimaje hao subjects wako ukafikia conclusion zako? Kuweka pie chart hapa kila mtu anaweza.
Kaka ninaandaa ripoti ndefu sana kwa sasa. Nitatoa definition ya vitu vyote
 
Venus Star 'funds' ya utafiti wako ulipata wapi? Kama inawezekana naomba utume ripoti zima
Kaka wala usiwe na wasiwasi kuhusu fund. Ripoti naiweka sana. NImeona niichape mwenyewe maana kuna mtu nilimpatia aichape naona ameweka makosa mengi
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
Acha dharau wewe! Hao wenye akili umewapima kwa kipimio gani? Na wasio na akili umewapimaje? Kwa taarifa yako hakuna mtanzania asiye na akili kwani huwaongezei chochote katika maisha yao! Kuwa na adabu na watanzania wanaoilipa Kodi serikali!
 
Back
Top Bottom