Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

Nchi hii haina wazee wengi hivyo, maana ccm sio chama cha vijana bali wazee, na kinatumia nguvu za dola kushurutisha kionekane kinakubalika. Chama kinachokubalika hakiwezi kuogopa tume huru ya uchaguzi na katiba bora ya wananchi.

Ukiona chama kinasema kinakubalika, halafu kinategemea wahesabu kura, kura za maporini na hujuma za kupita bila kupingwa, ujue chama hicho kimejaa wajinga ndio maana kinaamini kinakubalika.
Utafiti haupingwi kwa hisia. Utafiti unapingwa kwa utafiti.
 
Sawa mkuu chama cha CCM ni chama kizuri ila nakushauri usimamie maslahi ya chama bali ya taifa ili tusijigawe sisi ni kitu kimoja na hii ni nchi yetu sote na kwamba tuchukulie vyama vya siasa ni kama sehemu ndogo tu kwenye taifa.
Mdugu, haya yanauhusiano wowote na utafiti wangu?
 
Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati. Hawa ndo wenye akili timamu uvccm? Akili timamu umeipimaje? Kwa mizani (uzito), kibakuli, ndoo (volume) au written tests? Unapingana na hii
Mwenye akili timamu yupoje?
 
Kazi ipo. Kama ni kweli tunasafari ndefu sana kufikia maendeleo kama Nchi.
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
Bingwa wa kinyume nyume
Hivi wenye akili wangeipemda ccm wangeishi kama mashetani??
Au hujui kuwa wenye akili nchi hii wanaishi kama mashetani
 
Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati. Hawa ndo wenye akili timamu uvccm? Akili timamu umeipimaje? Kwa mizani (uzito), kibakuli, ndoo (volume) au written tests? Unapingana na hii
Duh ! Hiyo circle nyekundu iliyochorwa kwenye gazeti kwamba TZ watu ni wajinga kuliko Afrika yote imenisikitisha sana 🙄😱😅
 
Ndugu akija mtu mtu asiye na akili timamu huwezi kumjua?

Mkuu sifa ya research ni kuondoa utata wa jambo unalokusudia kuliwakilisha, tumekuuliza umepimaje akili? Umeendelea na stori tu tangu page ya kwanza. Unatakiwa kutoa definition ya akili timamu kwa vigezo vya utafiti wako! Unaposema akili timamu unamaanisha nini researcher? Is it IQ? Psychometric tests results? GPA? au kadi ya chama? Ulipimaje hao subjects wako ukafikia conclusion zako? Kuweka pie chart hapa kila mtu anaweza.
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
Wanaipenda CCM kwa sababu ya uzembe na loopholes wanazotengeneza ili wachche wafanikiwe
 
Back
Top Bottom