Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

Uchunguzi wa kisayansi unafanyika mahabara Uchunguzi wa kisiasa unafanyika kwa kura weka polls tuone hapo
Sayansi ya Jamii maabara yake ni kwenye jamii kaka. Chemistry, Biology na Physics ndio unaingia kwenye chumba.
 
Kaka siyo ripoti tu bali nitaweka Data Source yaani raw data ili wanazuoni waweze kuchata na kupata ripoti wanavyopenda.

Source fake? Tunawajua kwa kubumba data, mshasema mmechakata kila kitongoji so hata data zako za kuchakata nani atazibeba? Tunataka kuona methodology not data za kukaa chumbani kwako na excel sheet kama za Redet
 
Ninaweka na nambari za simu za watu waliopitiwa na utafiti wangu. Utaweza kuwapigia. Wewe kaa mkao wa kula
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
Sema wamejaa ubinafsi na uchawa
 
Utafiti sahihi wa kukubalika ni kupitia sanduku la kura. Sasa nenda kwa hao wana CCM kawaambie wakubali uchaguzi huru na wa haki ili tuthibitishe hicho unachodai ni itafiti wako. Waambie polisi wakae mbali na masanduku ya kura tuthibitishe hicho unachokisema.
 
Umetumia kipimo gani kupima tuanze hapo
Ninategemea kuomba kipindi kwenye Crown Media. Nitakuja na wataalam wangu, nakuhakikishia wataeleza kila kitu. Ninauhakika na wewe utafurahi
 
Utafiti sahihi wa kukubalika ni kupitia sanduku la kura. Sasa nenda kwa hao wana CCM kawaambie wakubali uchaguzi huru na wa haki ili tuthibitishe hicho unachodai ni itafiti wako. Waambie polisi wakae mbali na masanduku ya kura tuthibitishe hicho unachokisema.
Dunia nzima watu wanafanya utafiti wa kisayansi kabla hata ya kupiga kura. Ndio maana nchi zinasomesha watu.
 
1724563830584-jpeg.3078545

Ccm tunaipenda, kuelekea miaka 70 ya uhuru kimaendeleo tupo mbali.
 
Hofu itawaua kmmke...mnakaa hamna amani,hii milio inayoendelea inashiria kwamba huko mliko hakuna amani..kwanza mnasigana wenyewe kwa wenyewe ...kwa nje mnajifanya mna amani ila ndani moto unawaka..
 
Ninategemea kuomba kipindi kwenye Crown Media. Nitakuja na wataalam wangu, nakuhakikishia wataeleza kila kitu. Ninauhakika na wewe utafurahi
Nimeuliza Umetumia kipimo gani au formula gani kupima siasa kwenye sayansi labda umegundua formula mpya hapo tukupeleke NASA, au space X
 
Hapa kaka siongei siasa, hapa naongea sayansi. Je, unaijua sayansi ya jamii?
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
Nani alikufadhili? Lengo la utafiti' wako ni nini? Hao uliowahoji wana akili timamu? Wewe mwenyewe una akili timamu?
 
Mimi sikukatalii kwa utafiti wako ulio fanya upo sahihi kabisa sasa waambie waache hofu waruhusu uchaguzi uwe huru ns haki. Siyo kuweka vizingiti vizingiti vya ujanja ujanja. Kwa mfano uchaguzi wa viongozi wa mtaa badala ya kuweka siku moja tu yakurudisha form waweke wiki nzima ili watu wapate frusa zuri wakurudisha form bila msongomano. Kwani kwa staili hii kuna hatari hata wakuja kusema kuwa awazioni baadhi ya form za wagombea
 
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.

Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-

  • CCM
  • CUF
  • CHADEMA
  • ACT Wazalendo

Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.

Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638

Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.

20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.

Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.

Karibuni
ambapo ni 98% ya watu milioni 60.
 
Back
Top Bottom