Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....

Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....

Source: Phoenix
 
Aisee
 
watu wanashinda kuelewa wangi udhani kusoma ni kufaulu maisha na kutosoma ni kufeli kimaisha kumbe sivio

jamaa yangu alifeli akaamua kushika jembe mwenzie akafaulu lakini huyo aliefeli ndie anaemuajiri mwenzie alie faulu
Education system = Slavery system

elimu hii tuliyopewa tukiwa watumwa
Bado utakuta kuna wazaz wapo na kaulimbukeni eti mwanang PCM, CJUI PCB inachekesha sana.
Wahindi wa kariakoo wanatuchora tu!!
 
Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....

Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....

Source: Phoenix
Wanajenga nyumba kijijini kwa wapi huko? Nilikuwa Dodoma vijijini kama wiki tatu zilizopita, kila kijiji nilichopita nilikutana na tembe tu. Au tembe nazo ni nyumba?
 
Mkuu Unadharau nyumba ya tembe🤣🤣🤣
Nyumba ni nyumba tu😊😊
 
Education system = Slavery system

elimu hii tuliyopewa tukiwa watumwa
Bado utakuta kuna wazaz wapo na kaulimbukeni eti mwanang PCM, CJUI PCB inachekesha sana.
Wahindi wa kariakoo wanatuchora tu!!
Kuna point hapo umeiongea nacho jua wewe sio mtu wa kawaida....Ni Watanzania wachache sana wana ilo jicho....
 
Nimeusoma summary ya Utafiti huo.

Sababu kuu ni most of uneducated wako Vijijini, ambako kujenga nyumba ni gharama rahisi sana.
Huku Mjini ambako ndiko walipo "educated" gharama za ujenzi ziko juu.
Kiwanja tuu kukipata ni ishu, pia ukijenga expectations ni Nyumba ya Kisasa.
Wengi wanaishia kupanga.

Wakati huko Vijijini, Kiwanja unakatiwa sehemu ya Shamba.

Utafiti pia haujazingatia quality ya nyumba.

Pia utafiti unaonyesha jinsi namba ya ambao hawajavuka sekondari( Uneducated) ni kubwa kuliko Waliofika chuo(educated).
 
Back
Top Bottom