Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

Nimeusoma summary ya Utafiti huo.

Sababu kuu ni most of uneducated wako Vijijini, ambako kujenga nyumba ni gharama rahisi sana.
Huku Mjini ambako ndiko walipo "educated" gharama za ujenzi ziko juu.
Kiwanja tuu kukipata ni ishu, pia ukijenga expectations ni Nyumba ya Kisasa.
Wengi wanaishia kupanga.

Wakati huko Vijijini, Kiwanja unakatiwa sehemu ya Shamba.

Utafiti pia haujazingatia quality ya nyumba.

Pia utafiti unaonyesha jinsi namba ya ambao hawajavuka sekondari( Uneducated) ni kubwa kuliko Waliofika chuo(educated).
Umechambua vyema
 
Unawezaje kumtofautisha Mtanzania aliyesoma Harvard au MIT na Mtanzania aliyesoma UDOM kama wote wameajiriwa wizara moja hapa hapa bongo?
Uniqueness ipo Kwa mtu mwenyewe ila kunaweza kukawa hakuna utofauti wowote & vice versa is true🤣🤣
 
Unawezaje kumtofautisha Mtanzania aliyesoma Harvard au MIT na Mtanzania aliyesoma UDOM kama wote wameajiriwa wizara moja hapa hapa bongo?
mkuu unerahisisha kidogo kwa kuwa more specific utofauti wao katika aspect gani?

kama ni kujiamini!
huyo wa havard atajiamini kuliko wa udom!

kama ni ufanisi wa kazi!
itategemea ni nani yupo passionate na kile anachokifanya.
 
Kwenye ufisadi
 
Mm nipo industry za Lab na medical issues still sisi wa Tz tumelala sana na hatuna Exposure...
Hivi Dr. Sebi tunamuweka kundi gani?
ni msomi au ?

Kwa upande SEBI ali wa outsmart ngoja niishie hapa.
 
Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....

Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....

Source: Phoenix
Kwasababu walianza mishe mishe mapema wakati wahitimu wako madarasani. Na sababu yapili kuhusu ajira nakubaliana nao pia
 
Back
Top Bottom