Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #41
🤣🤣Dunia tunapita,unajengaje barabarani!?
Unanunua mabati je yakikukata!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Dunia tunapita,unajengaje barabarani!?
Unanunua mabati je yakikukata!?
Sio mchezoAisee
Binafsi siamini kama kumiliki nyumba (Bila kujali ubora, ukubwa wake na eneo ilipo) kuwa ni kipimo cha maendeleo.Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....
Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....
Source: Phoenix
😊😊Nyuzi za nyumba zimeanza mtiririko ni ule ule wabeba box, Ndoa, tusio na magari na nyumba... vifaa vya Ujenzi sio ghari na vingi vinaagizwa Nje ya Nchi ni kuiomba Serikali ipunguze makali ya Kodi nyuzi hizi zitapungua maana inaonekana kujenga nako ni swala Gumu sana...
Nyuzi za nyumba zimeanza mtiririko ni ule ule wabeba box, Ndoa, tusio na magari na nyumba... vifaa vya Ujenzi sio ghari na vingi vinaagizwa Nje ya Nchi ni kuiomba Serikali ipunguze makali ya Kodi nyuzi hizi zitapungua maana inaonekana kujenga nako ni swala Gumu sana...
Kwaio diamond platnum anaweza mdharau Dr au prof. Kwa kua yeye ameachive zaidi ya hao wasomi?Tajiri ambaye hakusoma wakati huo anahangaika kumtafutia elimu mwanaye.Mtu mwenye ahueni tu ya maisha labda ana nyumba na gari,duka Yuko busy kufuatilia maisha ya waliofaulu yeye akafeli.Ujuha ni kuzani elimu Haina maana eti kwa sababu ya pessa.
Siku ukiumwa si unamhitaji daktari aliyepanga,si umekamatwa na polisi si unamhitaji mwanasheria aliyepanga.Msomi anamhitaji tajari layman ili apate pesa kutokana na huduma aliyompa.
Niseme Leo ukiona mtu anadharau elimu jua huyo anapesa tu ya kumtosha yeye na sio tajiri lakini tajiri ambaye hakusoma anaipa heshima elimu kwa kuwa mambo yake yanaendeshwa na wasomi.Pesa hata mtu ambaye hakugusa darasi anaitafuta lakini utaalamu una njia zake na si wote wanaupata.
😊🙂 Asante sana Kwa haya maarifa...Binafsi siamini kama kumiliki nyumba (Bila kujali ubora, ukubwa wake na eneo ilipo) kuwa ni kipimo cha maendeleo.
Nilipokuwa nasoma masomo ya uchumi enzi hizo yalinifundisha kuwa;, kwa watu wenye kipato cha kawaida kama huku Africa, haiwezekani kufanya vitu vyote kwa pamoja hivyo kila mmoja atafanya kulingana na vipaumbele vyake huku wote wakiwa sahihi..
Mfano:
Mwisho; mazingira ya mjini hufanya watu wachelewe kujenga
- mmoja ana amua kujenga, Mwingine ana amua kufungua biashara ndio ajenge baadae
- Mmoja ana amua kujenga mwingine ana amua kununua gari atajenga baadae
- Mwingine ana amua kujenga mwingine anaamua kusomesha wototo shule za gharama, akajenge baadae
- Mmoja anamua kujenga nyumba ya udongo chumba kimoja, mwingine anajikusanya akajenge baadae nzuri
- Nyongeza; mkianza maisha wote, mmoja akaanza kununua Godoro (huku hana TV), na mwingine aka amua kununua TV (huku akilala chini) wote wapo sawa na hakuna mwenye akili kuliko mwingine, tofauti yake vipaumbelle binafsi au niseme opportunity cost.
- Kwanza nyumba za kupanga zipo hivyo kuna mbadala wa haraka
- Ubora wa Nyumba za mjini upo juu hivyo watu hawavutiwi kujenga ilimradi waonekane waamejenga
- Gharama za maisha na ujenzi kwa ujumla kuwa juu sana mjini kuliko vijijini
Kwaio diamond platnum anaweza mdharau Dr au prof. Kwa kua yeye ameachive zaidi ya hao wasomi?
Kikubwa tuheshimiane au nasema uongo ndugu zangu...In JPM voice..
kupata mahitaji ya msingi kama mwanadamu.Hapa Duniani Isue Ni Nini??
Ujue kutofautisha Nyumba na Vibanda.Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....
Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....
Source: Phoenix
Sawa mkuuUjue kutofautisha Nyumba na Vibanda.
Waafrika wenye nyumba ni wachache sana.
Wasomi huwa hawapendi kujenga vibanda.
Kwa sasa nyumba ina cost kama milioni 50 wakati kibanda mil10-20 unajenga.
Somshauri msomi ajenge kubanda wala sishituki mtu akijenga kibanda.