Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
AiseeUtafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....
Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....
Source: Phoenix
watu wanashinda kuelewa wangi udhani kusoma ni kufaulu maisha na kutosoma ni kufeli kimaisha kumbe sivioAisee
Education system = Slavery systemwatu wanashinda kuelewa wangi udhani kusoma ni kufaulu maisha na kutosoma ni kufeli kimaisha kumbe sivio
jamaa yangu alifeli akaamua kushika jembe mwenzie akafaulu lakini huyo aliefeli ndie anaemuajiri mwenzie alie faulu
Wanajenga nyumba kijijini kwa wapi huko? Nilikuwa Dodoma vijijini kama wiki tatu zilizopita, kila kijiji nilichopita nilikutana na tembe tu. Au tembe nazo ni nyumba?Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili.....
Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao Wasio na Kisomo wakisalia vijijini huku wakijenga nyumba zao....
Source: Phoenix
Mkuu Unadharau nyumba ya tembe🤣🤣🤣Wanajenga nyumba kijijini kwa wapi huko? Nilikuwa Dodoma vijijini kama wiki tatu zilizopita, kila kijiji nilichopita nilikutana na tembe tu. Au tembe nazo ni nyumba?
Kama ni nyumba mbona huko mjini hamzijengi?Mkuu Unadharau nyumba ya tembe🤣🤣🤣
Nyumba ni nyumba tu😊😊
Kuna point hapo umeiongea nacho jua wewe sio mtu wa kawaida....Ni Watanzania wachache sana wana ilo jicho....Education system = Slavery system
elimu hii tuliyopewa tukiwa watumwa
Bado utakuta kuna wazaz wapo na kaulimbukeni eti mwanang PCM, CJUI PCB inachekesha sana.
Wahindi wa kariakoo wanatuchora tu!!
Mm nipo kijijini huku 🌝 MwabagaluKama ni nyumba mbona huko mjini hamzijengi?
Mwabagalu huko ni kwa wazee wa kupaua nyasi tu. Sijui mtaacha lini kugombania nyasi na mifugo.Mm nipo kijijini huku 🌝 Mwabagalu
Una maanisha ELIMU halali ya kupambana na mazingira.... ELIMU ya mtaaniNaam.Kisomo walichonacho ndicho huwa ni halali.
😊😊🤣🤣😀😀🤓🤓 Center ni malyaMwabagalu huko ni kwa wazee wa kupaua nyasi tu. Sijui mtaacha lini kugombania nyasi na mifugo.
Maneno ya kujifariji🤣🤣🤣mwenye elimu ni bora kuliko asie na elimu.kujenga nyumba sio issue kiviile mtu yoyote anaweza kujenga nyumba akijipanga.