Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

Umechambua vyema
 
Unawezaje kumtofautisha Mtanzania aliyesoma Harvard au MIT na Mtanzania aliyesoma UDOM kama wote wameajiriwa wizara moja hapa hapa bongo?
Uniqueness ipo Kwa mtu mwenyewe ila kunaweza kukawa hakuna utofauti wowote & vice versa is true🤣🤣
 
Unawezaje kumtofautisha Mtanzania aliyesoma Harvard au MIT na Mtanzania aliyesoma UDOM kama wote wameajiriwa wizara moja hapa hapa bongo?
mkuu unerahisisha kidogo kwa kuwa more specific utofauti wao katika aspect gani?

kama ni kujiamini!
huyo wa havard atajiamini kuliko wa udom!

kama ni ufanisi wa kazi!
itategemea ni nani yupo passionate na kile anachokifanya.
 
Kwenye ufisadi
 
Mm nipo industry za Lab na medical issues still sisi wa Tz tumelala sana na hatuna Exposure...
Hivi Dr. Sebi tunamuweka kundi gani?
ni msomi au ?

Kwa upande SEBI ali wa outsmart ngoja niishie hapa.
 
Kwasababu walianza mishe mishe mapema wakati wahitimu wako madarasani. Na sababu yapili kuhusu ajira nakubaliana nao pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…