Red: Cross-sectional...longitudinal/cohort or case-control?Tatizo la Kiswahili halina maneno mengi... Hii kwa kiingereza tungeweza kuiita Survey... Njia kubwa niliyotumia ni observation at random sampling...
Sasa shida yako ni kutaka kuonyesha unajua sana au? Mbona majibu yako dhahiri! Hivi survey kama hii inaweza kuwa longitudinal? Yaani jamaa akomae kwa miaka 50 kwa lengo la kuleta matokeo yake jf? Kwa hiyo ni dhahiri ni cros-sectional!Red: Cross-sectional...longitudinal/cohort or case-control?
Blue: Simple, systematic, cluster or stratified random sampling?
.... Na pia wana mikia ya mbuzi!khee kumbe ?
Keleuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi!! [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mtibwaaa....Weeeeee una utaniMe na miguu yangu kama miwa ya mtibwa napiga tu umino[emoji156] [emoji156]
As u can see..vigezo na masharti sielewi kama yanazingatiwaUtafiti umekua rahisi sikuhizi ee
[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85]Mtibwaaa....Weeeeee una utani
Mi sioni vigezo wala mashartiAs u can see..vigezo na masharti sielewi kama yanazingatiwa
Hatareee....Tukuache na Miguu kama miwa ya Mtibwaaa!![emoji28] [emoji28] Umenifurahisha kwa kweli[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85]
Mi sioni vigezo wala masharti
Akajipange upyaMimi sijaona vigezo na masharti vya kunishawishi juu ya huu utafiti kutoka kwa mtoa mad
Hivi unadhani Utafiti ni kitu cha kuamka kutoka huuko tusipokujua uje tu uufanye??
Watz embu tutafautishe kati ya Observation,survey na research. Huenda labda mtoa uzi ameangalia tu wakina dada wa mtaa A, B,C NA D akaleta majumuisho yake hapa akasema ndio utafiti!! [emoji18]
Nadhani uliishiwa na funds, sasa andika recommendations katika research yako pendekeza mwingine aje aendelee kujua KWANINI WANAANIKA MIGUU YAO!!Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...
Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...
Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...
Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...
Strategizt angalia huyo mwenye red yuko kwenye ndoa lakin waona kavaa nini??