UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

Mie niko kinyume na huo utafiti wako.... nina milonjo balaa kama ya joti na bado mini skir, gauni na vikaptura ndo vivazi vyangu
 
Maybe! Japo haijasemwa utafiti ulifanyika wapi na idadi ya waliousika ni kiasi gani....etc
Huo ni mtizamo tu.
 
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...

HAMNA BINADAMU AMBAYE HANA IMANI--- na hakuna imani gani inayosema wanawake watembee UCHI???
 
wanunulie mbege aiseee
Aiseeh hii kitu mbege nime imiss sana,mimi napenda mbege kuliko bia za viwandani,itabidi nijifunze kuitengeneza mweneyewe huku nilipo...mwenye ujuzi tafadhari weka recipe hapa
 
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...
Badala ya kufanya tafiti za mana unaandika using
 
Back
Top Bottom