UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

Heri kwako unapiga umino, hapa unapigwa ushorts kabsa na hii hot weather. Na huu u fido wajionee tupaja twa kuku, kwa raha zao na ma utafiti yao.
Hahaha that's my girl. .. hatuna habari eti
 
  • Thanks
Reactions: kui
Naunga mkono hoja ni kweli niko stendi huku nawaona kila siku[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...
mbona kuna binti mmoja mkuu,miguu yako yote miwili ndio yeye mguu mmoja na anavaa suruali,apo ni vipi
 
sasa kama miguu ilikuwa imefunikwa na suruali / sketi ndefu, ulijuaje kama ni myembamba?
 
Mtaalamu wa mitishamba asili ...anatibu mapungufu ya nguvu za kiume ..0744069527.....pia anatibu magonjwa ya wakina dada ..maumivu chini ya kitovu ..kukosa hamu ya tendo .bleed isiyo na mpangilio...kushindwa kushika mimba...nitafute kupitia 0744069527..dr kanyas mtaalamu wa tiba asili
 
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...
Mmh!
 
Uliwezaje kuwafahamu wanawake hao wanaovaa sketi ndefu na suruali kwamba wana usafiri mwembamba wakati usafiri wao umefunikwa na hizo sketi ndefu?
 
Hayo wenye miguu midogo ndio wenye papuchi mnato kwa taarifa yako sasa nikwambie. ..by Utafiti wangu binafsi
 
Back
Top Bottom